chokochoko kati ya tanzania na rwanda zinazidi kuongezeka
tunawahitaji majirani zetu zaidi ya tunavyowahitaji wachina na wamarekani
jana tulikuwa tunajibizana na malawi, leo rwanda; kesho itakuwa kenya, na keshokutwa uganda...
Hatutafika mahali...
kama vile kikwete alivyomshauri kagame, kwa roho safi na kwa nia njema kabisa kuwa akae na fdlr waongee, nami basi napenda kumshauri kikwete, kwa roho safi na kwa nia njema, akae na kagame waongee, wayamalize, tuendelee kuwa na ujirani mwema...
lakini mkuu unawajua watusi.?????hawa watusi wanawaita watanzania ni wahutu.huko rwanda wanaamini kuwa wahutu ni watumwa wao.watoa rushwa wakubwa ,ni watu wasiri sana,wana ukatili uliovuka mipaka,ukabila ni wao,wamekaa kishushushu zaidi,ubinafsi ni wao.ukweli ni kwamba wameitumia sana tanzania kwa manufaa yao.ni hodari kujipenyeza ofisi nyeti na kuwapenyeza watusi wenzake na kufanya maamuzi kama watanzania.hapa tanzania wanajiita waha au wahaya.waliweza kuitumia tanzania (na rasilimali zake) kumwandaa na kumpeleka ikulu rais kabila.SASA WAMEKUJA NA SINGO YA JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI.LAKINI UKICHUNGUZA SANA UTAONA NI BAHIMA EMPIRE INAJENGWA!JK ANATUMIKA BILA KUJIELEWA.WAMEKUWA NA HAMU SANA NA ARDHI YETU.WANASEMA WANATAWALA TANZANIA.
USHAURI WANGU KWA JK NI KWAMBA AKAE MBALI NA HUYU MTU.AKAE MBALI NA WATU HAWA .AWARUDISHE KWAO.NCHI YAO INA AMANI SASA HIVI.KWA NINI WANANG'ANG'ANIA TANZANIA.HAKUNA DHARAU KUBWA KAMA MTU KUKUTUMIA BILA YA WEWE KUJUA.HUYU MTU ANANUKA DAMU.KILA MTU ANAJUA.