Majibu haya hapo. Kama si mchanganyikiwa nini? Aliongea nini kwa donors...
Yaani anasoma neno kwa neno, maana yake hotuba hiyo kaandaliwa na mwingine.
Ndio maana tunataka Marais madokta, maprofesa wanajua to represent, is wanajeshi wastaafu.
Anafanya kama hajawahi kurepresent tesis
we chezo usifanye chezo la kumtusi rais kiasi hicho,kumbuka domo liliponza kichwa,uliona wapi duniani mtu anamtusi rais kama ulivofanya wewe leo,shaur yako,dola ina mkono mrefusanasana,ni ushaur tu kwafaida yako.rais kuongea maneno ya namna hii ni mpumbafu na ujinga wa hali ya juu...asifanye watu watoto hapa na majibu yake ya hovyohovyo...kwanza nani kamuuliza mpaka anaanza kufafanua ...stupid
Hata misiri wapo pro mabaaraak lakini hataweza kushindana na umma. Hutaweza kushindana na umma wa watanzania wanaotaka mabadiliko. Tumechoka tunataka utu wetu na sheshima yetu na haki ya kuishi. Maisha tunaoishi ni sawa na wafungwa watu hawewezi hatakushiba kisa bei ya chakula iko juu.
Du sasa punguani wameanza, hivi ulitaka nani akakae Ikulu ataiondoa hali hii ya uchumi? Juzi mwenzako wameshikana mikono wakati wa siku ya Sheria, wanamtambua wwunasema hatuna Rais tena unatumia herufi ndogo wakati tumempa kura haya pasuka kama unauwezo weka mtu wako.
Afrika sasa hali ni mbaya kz mnataka mkaajiriwe bado vyuoni mkasomeshwe uzalendo wa JKT hamna unajiita haki kwanza basi andamana km Tunisia au Misri hali ni ngumu acha matusi subiri 2015 simenti itakuwa sh. 5,000/=
Rais wa JMT amejisafisha kuwa si mliki wala hawalindi marafiki zake katika sakata la DOWANS. Ameeleza kila kitu kuhusu mchakato wa Richmond hadi Dowans. Aisee naona sasa jamaa ameshutuka amefafanua mpaka basi, ameweka bayana Richmond ni kampuni ya mfukoni na kugusia maamuzi ya CC ya CCM.
Walioona taarifa hiyo jamani tuijadili kidogo.
Source TBC1 Time 02:19