Kikwete ajisafisha Dowans

Kikwete ajisafisha Dowans

Kama alivyokuja mmoja hapa hoja nzima ya JK inaanguka na kusimama hapa:

Baada ya hapo kampuni ya Richmond ikauza mkataba wake kwa kampuni ya Dowans ambayo ilileta mitambo na uzalishaji wa umeme ukafanyika na kupunguza kabisa makali ya mgao.

Ningefurahi sana angetuambia huo mkataba uliuzwa lini? Au kama kuna mtu atamuuliza hilo. Maana kununua umeme haiwezi kuwa ndio uhalali wa mkataba; niliuliza huko nyuma je wezi wakiingia mkataba kuiba mahali na kugawana na mmoja akavunja mkataba huo wanaweza kwenda mahakamani kudai haki?
 
Mbona cc ya ccm ilisema wanawategemea wanaharakati waliopeleka suala la kukataa kuilipa dowans mahakama kuu,leo jk anasema wanasheria wa serikali na wa tanesco ndio wanaofuatilia suala hilo?hapo nimechanganyikiwa
Hii ni dalili za kuparaganyika kwa serikali. Sijui tumwamini nani maana kila mmoja ana maelezo yake. Yaelekea Kikwete hapa anajaribu kujisafisha tu na anamfahamu vyema huyo Dowans na hata Richmond. Inakuwaje kama yeye ni kiongozi makini kama anavyotaka tuamini kuridhia mkataba wa Richmond uliothibitishwa na Bunge kama batili urithiwe na Dowans ambayo hata hiyo kuna kila dalili za kuwa Batili kama ile Richmond? Naona hapa Kikwete anajaribu kucheza na akili zetu. Hili ndilo tatizo la chama kuwakumbatia matajiri kama alivyodokeza katika hotuba yake hii. Hali iliyofikiwa na nchi hii sasa inahitaji harakati za kuikomboa toka kwenye makucha ya wezi na vibaka wanaovalia majoho ya kijani - CCM.
 
Nikiwa naangalia Tbc1 kwenye taarifa ya habr leo uck, Mh Raisi amesema kuhusu katiba, maandalizi yameshanza na yanaendelea kuandaa mswada kwa ajili ya kuupeleka bungeni. Swali langu, je Mh Raisi amesoma alama za nyakati juu ya hoja binfs ya Mh Mnyika? Je Mh Rais anaanza kutekeleza maono ya CDM? Je Mh Mnyika aendelee na kusimamia hoja yake? Tujadili
 
rais kuongea maneno ya namna hii ni mpumbafu na ujinga wa hali ya juu...asifanye watu watoto hapa na majibu yake ya hovyohovyo...kwanza nani kamuuliza mpaka anaanza kufafanua ...stupid

are u on drugs or there is something loose in ur head?...WHATEVER WILL YOU PLEASE SHUT THE FKUP,you stinker
 
Ndg waumgwana kama Rais wetu hawajui Dowans,Je walipwa wakina nani.???Pia anasema hana hisa wa urafiki na wahusika wa dowans sasa nani analipwa na serikali yake.?:msela:
 
hawa wanatuchezea akili. ina maana baraza la mawaziri lilimpitisha kurithi mkataba bila kumfahamu huyo dowans? this is crap prsdent!!!!!
 
Kikwete anahusika!!! Kusimama jukwaani na kusema huhusiki haimaniishi kuwa ni kweli hahusiki, HAYO ni maneno tu

Elli

Nakubaliana na wewe kwa 100%.

Hii yote ni longolongo tu ya KIWETE, CCM na UVCCM. Hivi wakti Mwanasheria Mkuu Werema amang'ana na Mh. Ngeleja-Waziri wa Nishati na Madini wanatoa matamko ya KUSEMA KUWA MALIPO YA TOZO LA DOWANS HAYAKWEPEKI yeye KIWETE alikuwa wapi??????

Kama mtu anaweza kuisoma katika ya mistari hii HOTUBA YA MKWERE leo ni wazi KUWA KIWETE AMEINGIWA NA HOFU BAADA YA KUONA WIMBI LA MAGEUZI YALIYOTOKEA TUNISIA last week na sasa YANAENDELEA NDANI YA MISRI!!Ameanza kusoma ALAMA ZA NYAKATI!Huo ndiyo ukweli. Kuwa sasa hivi CHOCHOTE CHAWEZA KUTOKEA KIWETE NA CCM WAKIENDELEA NA HUU UPUUZI WAO WA KUWADHARAU WATANZANIA.

Gazeti la THE EAST AFRICAN la Monday this week,kwa wale ambao hamkupata bahati ya kulisoma LILIWEKA MAMBO HADHARANI KABISA KUWA ROSTAM AZIZ NDIYE MWENYE MAMLAKA YA KISHERIA KUDAI,KUIDHINISHA MALIPO,KUWEKA PESA BENKI,KUSHTAKI(Kama alivyoipeleka TANESCO kwenye Mahakama ya ICC)!!!!!!!!KWA MAANA HIYO YEYE NDIYE MMILIKI WA DOWANS. SASA KAMA RA NI MMILIKI WA DOWANS NA NI MBUNGE WA IGUNGA KUPITIA CCM,NA ALISHAWAHI KUWA MWEKA HAZINA WA CCM NA HIVI JUZI KWENYE KAMPENI ZA CCM NDIYE ALIYEGHARAMIKIA ZILE HELIKOPTA 2 ZA KUMBEBA KIWETE? SASA KIKWETE ATASEMAJE HANA HABARI NA DOWANS!

CHADEMA WALISHAONYESHA NJIA PALE ARUSHA. ARUSHA DEMO WAS JUST A TIP OF AN ICEBERG!!!!
 
Nimeona watu wakianguka na kupiga kelele kama wamepandisha mapepo wakati kikwate akihutubia. Je ndo ugonjwa wa jk wa kuanguka anguka ashawaambukiza wanachama wenzake wa ccm???
 
Ha ha haaa!

Kikwete ni kilaza tu. Anabwabwaja ili mradi amalizie muhula wake wa pili. Hatuna raisi ikulu.
 
Hivi wakuu kwanini hamumtendei haki Rais. Mmesema hajazungumza kuhusu Dowans mkaandika hapa thread kibao, Dr Slaa nae akata Rais azungumze. Sasa amezungumza mnaanza tena Rais hajasema ukweli, hivi nyie mnaotaka Rais azungumze mnataka aseme nini hasa!!!! hamjiatambui kuwa wanaJF tunaonekana watu wa kulalamika na kutoridhika na jambo lolote Rais wa Jamhuri wa muungano analolifanya kwa ufupi mnaonekana watu wenye wivu usio na maana. Hembu tujadili vp tusiwalipe Dowans.
 
Kama alivyokuja mmoja hapa hoja nzima ya JK inaanguka na kusimama hapa:



Ningefurahi sana angetuambia huo mkataba uliuzwa lini? Au kama kuna mtu atamuuliza hilo. Maana kununua umeme haiwezi kuwa ndio uhalali wa mkataba; niliuliza huko nyuma je wezi wakiingia mkataba kuiba mahali na kugawana na mmoja akavunja mkataba huo wanaweza kwenda mahakamani kudai haki?


Hawezi kujibu hili swali.
 
Hi Jakaya. Salaam. Hongera kwa kuadhimisha miaka 34 sijui ya chama chenu. Nina ombi moja la ziada baada ya wewe kukana katakata kuhusika na DOWANS. Tupatie orodha ya marafiki zako wa karibu 20, nasi tutakupa orodha ya mwenendo wako wa mwangazani na gizani. Wasalaam aliyekunyima kura, wewe na sijui mafiga yako matatu.
 
Mkwere amepayuka tu. Yeye kama hahusiki kama mmiliki au kama rafiki wa wamiliki,basi yeye kama rais atueleze na kututajia wamiliki halisi wa DOWANS.

AMANDLA.
 


Rais wa JMT amejisafisha kuwa si mliki wala hawalindi marafiki zake katika sakata la DOWANS. Ameeleza kila kitu kuhusu mchakato wa Richmond hadi Dowans. Aisee naona sasa jamaa ameshutuka amefafanua mpaka basi, ameweka bayana Richmond ni kampuni ya mfukoni na kugusia maamuzi ya CC ya CCM.
Walioona taarifa hiyo jamani tuijadili kidogo.
Source TBC1 Time 02:19


Hapo kwenye red! Haitoshi kusema tu hivyo anatakiwa aseme mmiliki wa Richmond na sasa Dowans ni Rostam Aziz na kwamba hatalipwa hizo fedha! Uthibitisho kwamba RA ni mmiliki huu hapa;

(Source: The East African)

Powerful businessman and ruling party MP for Igunga in Tabora, Rostam Aziz, is to be a beneficiary in the Dowans Tanzania award.

According to the proceedings from the International Court of Arbitration of the International Chamber of Commerce also known as the International Commercial Court (ICC), which recently awarded Dowans Holdings S.A. and Dowans Tanzania $65 million as compensation for breach of contract by the Tanzania Electric Supply Company (Tanesco), Mr Aziz was appointed Dowans’ attorney-in-fact as far back as 2005 “to manage the company’s affairs outside the Republic of Costa Rica.”

According to the resolutions of the Dowans Holdings board of directors, two directors of the company, Bernal Zamora Arce and Noemy del Carmen Cespedes Palma, granted in the name and on behalf of the company, a power of attorney in favour of Mr Aziz.

Powers granted to Mr Aziz include: “To transact, manage, carry on and do all and every business matters and things requisite and necessary or in any manner connected with or having reference to the business and affairs of the company and, for such purposes, to conduct all correspondences appertaining to such businesses and affairs.”

The directors further granted Mr Aziz the power “to open and to close bank accounts... and to draw cheques on our accounts... and to sign all kinds of documents in connection with our accounts or money,” read part of the resolutions signed by the firm’s secretary, Mrs Palma.

It goes further to give Mr Aziz, the immediate former CCM treasurer and shareholder in the short lived RVR Rail Consortium that brought together Kenya and Uganda railways, the power to “pay, settle, deduct and allow all taxes, rates, charges, deductions, expenses and all other payments and outgoings whatsoever due and payable or to become due and payable for or on account of any property, whether movable or immovable and whether in possession or in action, now or hereafter belonging to us or to which we may become entitled.”

Mr Aziz has consistently denied having any links to the Richmond company that was involved in the scandal that saw former prime minister Edward Lowassa resign his post (see Box). Dowans is the successor company to Richmond.

According to documents tabled in the arbitration proceedings, which The EastAfrican has seen, one Mr Gire, a cofounder of Richmond (REDVCO) who faces a court case in Tanzania over the same issue, is said to have told the ICC that the owner of the company is Mr Aziz.

The ICC was told Mr Aziz was such a “powerful and influential” individual that some laws were amended in his favour. The Richmond scandal was the subject of a Parliamentary probe that led to the resignation of the Mr Lowassa.

According to the report of the proceedings, the ICC accepted the finding that Mr Aziz was so “powerful and influential” as to have diverted the contract to the claimant, Dowans, outside the Public Procurement Act.

The contract went to favour “his friends and himself through the claimant and to have influenced the MEM (Ministry of Energy and Minerals) to force Tanesco’s Mr Hans Lottering to sign the POA (agreement for emergence power supply).”

Mr Lottering testified before the ICC that he was told that “something would happen” to him if he did not sign the POA. He was formerly Tanesco’s general manager-transmission under Net Group Solutions of South Africa.

The evidence presented before the Tribunal shows the involvement of Mr Aziz in getting the whole procurement out of the PPA and diverting the lucrative contract to a “business of him and his business friend” derived from the testimony of Henry Surtee.

The Tribunal accepted the testimony of Mr Lottering that, “even using the international tendering (open tender method) which is the most inefficient and the longest method, if not interfered with, Tanesco would have procured the POA more efficiently and within a much shorter period than the period of 18 months that the Ministry of Energy and Minerals took to procure POA through the committee formed outside the law.”

Last week, Minister for Energy and Minerals William Ngeleja named the owners of Dowans Tanzania as Dowans Holdings S.A and Portek Systems and Equipment PTE Ltd.

He named the directors of Dowans Tanzania as Tice (Canadian), Gopalakrishnan Balachandran (Indian) and Hon Sung Woo (Singapore). Others are Guy Arthur Picard (Canadian), Suleiman Mohammed Yahya Al Adawi (Oman) and Stanley Munai from Kenya.

Under the country’s Company Ordinance Act, there is no restriction on owners’ citizenship or country of origin of a company.

A firm can be registered in Tanzania even if its owners are 100 per cent foreigners.
“The nature of owners is not a concern when opening a company in the country; it could be owned 100 per cent by foreign individual(s) or corporate firm(s),” Business Registration and Licensing Agency chief executive officer Esteriano Mahingila said.

The CEO also confirmed that the Dowans files contained the same list of directors as mentioned by the minister of energy and minerals.

“These files are public documents, whoever wants to peruse or even photographing them are allowed,” Mr Mahingila told The East African, “the file is here.”

The government was yet to decide whether to pay the $65.8milion (about Tshs 94 billion) to the owners of Dowans Holdings SA and Dowans Tanzania.

It is noted in the award ruling presented for registration at the high court that the practice regarding arbitrations is that an award has to be registered with the High Court for it to be a decree as if one issued by the High Court.

However, if a party isn’t satisfied with an award, “there are two routes available either to apply to the Tanzanian court to remit the award to the arbitrators for reconsideration of certain issues or to apply to the high court to set aside the Award.

“To apply to set aside an award, it must be that the Award was improperly obtained or that the arbitrators misconducted themselves,” reads part of the ruling by the ICC.

My take;

Nadhani sasa ni wakati wa kuchukua hatua baada ya mjadala wa muda mrefu kuhusu Dowans!
 
Last edited by a moderator:
Shaban Robert aliwahi sema "UKIWA MWONGO USIWE MSAHAULIFU". Sasa Mwenyekiti wa chama chetu kitukufu CCM umesema makampuni hayo ni ya kusadikika. Mbona hao waliopewa nguvu ya kisheria kusimamia maslahi ya makampuni hayo ya kusadikika bado unao na wanavuta viti katika vikao yako vya CC na halmashauri kuu?? Ingekuwa enzi zile ninazozijua hawa unge gonga rungu meza na kuwaambia wabaki wanachama wa kawaida au sivyo unarudisha kadi yako kwa vile CCM si mama wala baba yako. Kwa ufupi unatuhadaa na hakuna jipya tutakalolitegemea ukitoa kauli kama Rais wa nchi hii inayofananishwa na kokolo.
 
Afu eti anasema kua yeye hana uwezo wa kuleta mvua ili uhakika wa umeme upatikane,na mazao yasitawi!

Kama kawaida ya viongozi wetu,wanajadili matokeo badala ya kujadili chanzo na sababu.

Tatizo la umeme husio na uhakika linasababisha na mambo mengi ambayo serikali makini ingeweza kuyakabili na kuepusha tatizo la umeme. Umeme wetu unategemea chanzo kimoja tu,maji! Serikali makini ingekua inawekeza zaidi katika vyanzo mbadala kama upepo,jua na hata bahari,ambapo joto la juu ya sura ya bahari lingeweza kuzalisha umeme. Upepo na jua ni vyanzo vya uhakika ambavyo kwa sehemu kubwa ya TZ havina fluctuations sana kama mvua,ivyo vingeweza kua ni vyanzo vya kufanya tuwe na umeme wa uhakika.

Pia mzalishaji na msambazaji wa umeme TZ yupo mmoja,ivyo amemonopolise sekta na kua na kiburi cha kibiashara kinachomfanye awe huru kufanya madudu yoyote. Umefika wakati muafaka sekta ya umeme iwe liberalised na kutupa waTZ uhuru wa kuchagua wapi tupate umeme wenye uhakika.

Suala la ustawi wa mazao unaotegemea mvua tu:eneo kama Dodoma lina ardhi nzuri sana ambayo wenyeji wake wanalima mara nyingi bila ya kutumia mbolea;ila wanakabiliwa na uhakika wa mvua. Mkwere anasema eti ilo tatizo lipo nje ya uwezo wake, WTF! Serikali inapaswa iwekeze katika kilimo cha umwagiliaji,wizara ya maji iweke muundo imara zaidi wa namna ya kuchimba na kutumia groundwater. Ipunguze urasimu katika kutoa vibali,haki na ruhusa ya kutumia maji hayo.

Pia maeneo ya bonde la mto pangani nayo yana potentiality ya groundwater resources,ni kiasi cha serikali kupitia wizara husika kuweka mikakati thabiti.

AMANDLA.
 
jamani wana jf, kwa hotuba ya rais leo na jinsi ninavyoijua ccm wamepanda kitu kikubwa sana. Sababu hawa makada wake wataanza propaganda muda si mrefu kuanza kuwaelimisha/kuwadanganya/kusisitiza wanachi wengi ambao hawajui kwa kina the all issue because ya magezeti yetu bado hayajaweka bayana. (wanaandika kishabiki zaidi)
na hili swala la dowans limekuwa ndio nguzo yao kwa sasa,( na nina wasi wasi wataandamana kuunga mkono hutuma ya mwenyekiti)

navyoona unless wapiganaji waje na fulf datas. (yaani sawa na arsenal kuongoza kwa 4 goals in the first half .... watu lala salama wanatoa draw) nauliza tena power of attorney ya RA to richmond why? (enzi ya mwalimu watu wako keko tena chumba ambacho hakina mlango)
 
mimi nikila ugali kwa bamia, nasema nimekula pizza na juis............................... KUKANUSHA MAANA YAKE NI KWELI UMEFANYA!!!! KIKWETE ALIINGIA MKENGE KWEYE DILI FEKI................naona raha kweli, rais wa nchi ameingizwa mjini na wazee wa mishen town...... daaaaah
 
Back
Top Bottom