Kikwete ajisafisha Dowans

Kikwete ajisafisha Dowans

Haya ngoja .
-wezi wakiingia mkataba.
-mapato ya wizi.
-wakagawana hayo mapato ya wizi.
-mmoja akamzurumu mwizi mwingine je anahaki kudai mapato ya wizi alodhulumiwa?
This is according to u.
Mazee mtu ili aitwe mwizi sharti wizi utake place na iwe proved kwamba mwizi kaiba.
Ili watu wagawane mapato ya wizi sharti wizi utokee na mapto yawepo ili kuyagawana SAME APPLIED kwenye kudhulumiana maana hawawezi kudhulumiana hewa.
Hawa dowans wamezalisha umeme na wakalipwa.
Hizi bilion 94 ni FAINI NA HAZIJALIPWA sasa wamezigawana saa ngapi,wamedhulumiana saa ngapi?
Hawa mahakimu wa mahakama ya kimataifa tuseme ni majuhb ama wamekula mlungula.
i dare anyone to come with evidence WHERE DID DOWANS STOLE OUR MONEY
 
Ok..tatizo langu hapa liko kwenye neno MAPATO YA WIZI in relation to this saga i dont see any evidence of stealing what i see naona kwenye mikataba kulitokea lobbying na ten pacent sorry kwa mispel mi ni mkulima tu.
But those guys supplied electricity then out of nowhere politician terminated the contracter HENCE THE FINE.
Wapi hawa dowans wameiba? Dat is ma guestion

Mapato ya wizi: Ni MKATABA BATILI. Richmond waliipa mkataba Dowans bila/kabla ya kuihusisha TANESCO. Tanesco iliingia mkataba na Dowans long way baada ya Richmond kupeana mkataba na Dowans kisiri amabayo haikuwa halali.
 
Ahaa,haya mi bana mjasiliamali nimeskia kuna tenda ya kusupply matunda kwenye shule wilayani kwangu nimelobby nikapata tenda.haya tatizo sina mtaji wa kufanya tenda hiyo na wamekataa kunipa downpayment ila kwa ujasilimali wangu nimempata jamaa mmoja ana mtaji akanikatia changu kisha mi nikawambia wilayani nimegawa dili wakakubali yule jamaa akakamata tenda na kusupply matunda bila tabu katikati ya tenda wafukunyungu wakasema no japo umeleta matunda stop tenda umeipata ndivo sivo.kumbe jamaa wana issue zao sasa jamaa amekodi mashamba ya matunda ina maana ataingia hasara kusitishiwa tenda amenda mahakamani ikaamliwa alipwe FIDIA.
wapi wizi hapo?
Mazee mikataba batri sio MAPATO YA WIZI unless kiswahili kimenipiga chenga ama karl max was indeed an arab.
 
haya walipeni basi ni kitu gani kinawafanya wasite. Kama ni mapato halali wanasita nini? Kama mkataba nihalali kwanini JK anabembeleza wananchi maana kama ni mapato halali ni halali kulipa 94 billioni walipe tu yaishe? Ama hawana uhakika ulionao wewe au ni woga wa kiuongozi hawana ujasiri wa kusimamia mambo halali?

Maana inashangaza kwa watu wanaosema "utawala wa sheria" wanashindwa kutekeleza sheria na badala yake wanacheza na maneno. LIPENI YAISHE.
 
Ndo maana hata miye nasema hawa viongozi wetu mabwege issue simple wanazunguka mbuyu .ila hiyo hela ikilipwa mi nalia na WALOVUNJA MKATABA..Halafu mazee siko kwenye system nko bush .struggling like other village WALIPE WASILIPE HAINIPI HEADACHE huwa nachoka tu kila sku dowans dowans i get fedup
 
Hi hamchoki kubadilisha hizi ID's, ina maana ukitumia ID yako ya siku zote hoja inakuwa haijengeki???????????
 
huyu rais mpuuzi kwel jaman !! does it mean haelewi power of attoney aliyopewer RA katika kudai malipo ya dowans???
 
vijana wanataka mabadiliko ya mwelekeo wa tanzania ccm haina mpango wa kuleta madaliko yoyote its a very conservative party no one is interested to the member!! i'm sure hata JK asingekua rais amin amin nawambia leo hii angejiunga cdm.
 
Jamani hajaongea lolote la maana na nina uhakika ndo kazidisha moto, alichofanya ni kupiga story na alikua wapi sikuzote hizo hadi aje kuongea leo? kwa nini asubiri hadi wengine wawe wakali na kukataa malipo hayo ndio leo ajitutumue azungumzie Dowans, tena kwenye sherehe za CCM ili mambo yakiwa magumu aseme kuwa alizungumza kama Mwenyekiti wa CCM na sio RAIS, na mtaamini maneno yangu

Kwa kweli alichozungumuza misioni kama ni cha msingi. kama mkuu wa nchini unaongea kwa masihara tu hakuna chochote kinacho onekana, kwa swala kubwa kama hili nalo unakua unategea kulitolea tamko mpaka watu wakushinikize nijinsi gani hayuko makini.
 
Mie sina ID ingine nyambala bora ujibu hoja mazee unapindisha mada am new here in jf .beliave it or not i dont care.
Deal with da ball not the fotballer
 
''Mimi hata baraza la mawaziri linanijua, huwa ni msema ovyo'' Maneno hayakatasema JK wakati akihutubia wanasisiem kule Dodoma.
Nimestuka sana!! Hivi huyu jamaa tulimto wapi jameni?
Halafu anasema hana uwezo kama wa Mungu wa kufanya mvua inyeshe bwawa la Mtera ili tupate umeme. Kweli huyu i msema ovyo!! Anasahau kuwa poor planning ya matumizi ya maji ndiyo sababu ya mabwawa kukauka hata kwa ukosefu wa mvua wa wiki mbili tu!!
Oneni haya nyie mliomchagua!!! Mi simo....

Kama ninyi bado mnamsikiliza huyu bwana shauri yenu. Mtaugua BP bure!!
 
Ndg zangu wanaJF,
Wakati wa kampeni za uchaguzi wa rais na wabunge, jk alimsifu sana Edward Lowassa mbele ya wapiga kura wake kuwa ni mchapa kazi. Jana mjini Dodoma alikiri kwa Richmond iliyopigiwa upatu na EL ilikuwa ni kampuni hewa. Hivi huyu mkwere mbona anatuchanganya wananchi? Sasa taratibu nimeanza kuamini wasiwasi wa wadau wengi kuhusu uwezo wa huyu kiongozi. Kauli zake zinajichanganya sana.
 
Yaani anasoma neno kwa neno, maana yake hotuba hiyo kaandaliwa na mwingine.
Ndio maana tunataka Marais madokta, maprofesa wanajua to represent, is wanajeshi wastaafu.
Anafanya kama hajawahi kurepresent tesis

hotuba iliandaliwa na katibu wa ccm (makamba) unategemea nini..
 
Mie sina ID ingine nyambala bora ujibu hoja mazee unapindisha mada am new here in jf .beliave it or not i dont care.
Deal with da ball not the fotballer

Mkuu unasahau kitu kimoja kwamba in this digital age kila unapopita unaacha digital foot prints!!!!!!! Na after all hiyo unayoita hoja ya kuijibu ni ipi ambayo haijawahi kuongelewa humu JF. Do ur homework !!!!!!!!!!! Hatuwezi kila siku kuwa bize kuelezana mambo yale yale na watu wale wale.
 
hotuba iliandaliwa na katibu wa ccm (makamba) unategemea nini..

Makamba hana uwezo hata kidogo wa kuandaa hotuba hata ya mwalimu wa shule ya msingi itakuwa ya raisi, bora usema mtu mwingine
 
Hao ndiyo Viongozi tuliobaki nao Tanzania kwa sasa, tusipo kubali kijitoa tutaendelea kunungunika chini kwa chini: na wala sisi hatupendi kuona mifano ktk nchi za kiarabu, Ona Misri na Tunisia wananchi wanafanya mambo ya huakika.
 
eti wameimarisha jeshi la polisi kitengo cha ffu!na kaonya maandamano zaidi yataumiza watu zaidi.anatia hrma.tucmwangalie usoni tushushe vitofa tu!
 
Kikwete ni msafi hana doa hata kidogo, ila kwa kutuchagulia mawaziri ka kina karamagi, msabaha, ngeleja utaujua usafi wake.
 
Elungata said:
Ajue mmiliki kwani yeye BRELA?mbona bac anakazi ajue wamiliki wa makampuni yote TZ ?common gv him a break.
According to u guys the owner is RA as EAST AFRICA paper said..So what?isnt he allowed to own a company if so BY WITCH LAW?.
Haya tuseme ndio mmiliki ni vije bac tunamkaba hapa kwa kudandia mkataba toka kampuni feki na tanesco wakakubali ama alihonga WHAT EVIDENCE DO YOU HAVE HERE IF IS SO.
Ooho it is that dowans acguired unlawfull contracter from richmond..ok WHAT MAKE IT UNLAWFULL.
I have lot of maswali dont see any answer here
Elungata said:
Ndo maana hata miye nasema hawa viongozi wetu mabwege issue simple wanazunguka mbuyu .ila hiyo hela ikilipwa mi nalia na WALOVUNJA MKATABA..Halafu mazee siko kwenye system nko bush .struggling like other village WALIPE WASILIPE HAINIPI HEADACHE huwa nachoka tu kila sku dowans dowans i get fedup
Kwa hiyo uliyekuwa unamtetea ni b wege?
 
Back
Top Bottom