Kikwete ajisafisha Dowans

Kikwete ajisafisha Dowans

we chezo usifanye chezo la kumtusi rais kiasi hicho,kumbuka domo liliponza kichwa,uliona wapi duniani mtu anamtusi rais kama ulivofanya wewe leo,shaur yako,dola ina mkono mrefusanasana,ni ushaur tu kwafaida yako.

Hacha kutishia watu, kama hauna mchango silazima uandike
 
Hivi wakuu kwanini hamumtendei haki Rais. Mmesema hajazungumza kuhusu Dowans mkaandika hapa thread kibao, Dr Slaa nae akata Rais azungumze. Sasa amezungumza mnaanza tena Rais hajasema ukweli, hivi nyie mnaotaka Rais azungumze mnataka aseme nini hasa!!!! hamjiatambui kuwa wanaJF tunaonekana watu wa kulalamika na kutoridhika na jambo lolote Rais wa Jamhuri wa muungano analolifanya kwa ufupi mnaonekana watu wenye wivu usio na maana. Hembu tujadili vp tusiwalipe Dowans.

Rais ametoa hotuba. Njia hii ya communication ambayo ni kama mahubiri ambayo hayaruhusu maswali is the worst kind of communication ikiwa unaloliongea una uhakika nalo kuwa ni kweli. Kama yeye ni jasiri aongee waziwazi na vyombo vya habari na aruhusu maswali ya wazi. Kikwete kama unataka uaminike thubutu kufanya hivyo. I chalenge you..... Kama Rais unasema huwajui Dowans unawalipa nani.... Dont fool us.
 
[QUOTE=Arafat;1588519]Duh!!! nashindwa hatanianzie wapi kuchangia hivi jamani Rais kama taasisi, labda watu watusaidie ni Taasisi zipi zinapaswa kulaumiwa katika ili swala la Rais kuachiwa kuongea mambo ambayo yanamtia aibu kiasi hichi!! maana Rais amekuwa alipewa hutuba za kumdhalilisha mara zote na hivyo kuonekana ni mtu wa ovyo wakati kuna watu wanalipwa kwa ajili ya kazi hizo, Ruhanjo anafanya nini na TISS kwanini hawa-wajibishwi kama hawataki kujiuzuru; aibu inapozidi kiasi hiki ni aibu pia kwa Taifa letu sote, tunaonekana wote ni wapumbavu kumbe la hasha, ebu angali haya mambo: -


  1. CC-CCM Chini ya Uwenyekiti wa Rais mara baada ya kikao Mr. Chiligati alitangaza kuwa wamekubaliana Serikali ifanye haraka ilipe hilo deni; baadae Wabunge wa CCM wakakutana na Waziri Mkuu akatangaza Wabunge wamesema hapana, Dowans hailipiki! Wanafanya jitihada kuzuia malipo! Hii ni nini maana hao wabunge wengi wao wanaingia CC kwanini hawakufanya hivyo tokea awali ndani ya kikao cha CC, hivi siyo kumdhalilisha Kikwete hapo kweli!!, kuenyesha kuwa hawezi kusimamia vikao vikatoka na maamuzi ambayo yana Maslahi kwa Watanzania.

  2. Hotuba hii ni vichekesho au katoka nayo kwake watendaji wa Umma hawakuiona maana pia yawezekana, Nyerere aliwai kutwambia kuna viongozi wakikaa kwenye vikao kujadili mambo ya Umma baadae kesho akitoka kwake kuonana na Mkewe anakuja na majibu tofauti kabisa na yale mliokubaliana jana; Hivi kweli Rais Kikwete Hamjui Rostam Jamani!!! kama ni kweli hamjui kuwa ndio Mmiliki wa Dowans anasubiri nini kumjua Mmiliki wa Dowans, nini maana ya Ikulu!! Kweli pamoja na Dola yote na Mizinga 21 aliyopigiwa huyu jamaa anasema hamjui Mmiliki wa Dowans, tumempa TISS, JWTZ, POLISI, MAGEREZA, PCCB nk hanashindwa nini leo katika hotuba kama hiyo kutangaza kuwa Jamani watanzani Mmiliki wa Dowans ni fulani, bado anasema hamjui anafanya nini Ikulu huyu Bwana Mkubwa!!anasema hamjui Kama ni kweli pamoja na hata kesi kwenda ICC bado Kikwete hamjui mmiliki wa Dowans basi aondoke Ikulu haiwezi amepwaya hajui hata maana ya Rais.

  3. Rais anadiliki kutangazia umma kuwa Richmond ilikuwa hewa, "Kwanza Hongera za Dr. Mwakyembe kwa hili" lakini Jamani Rais ana msaada gani kwetu sisi Watanzania kama anajua Richmond ilikuwa hewa na bado hajachua hatua yoyote kwa watu walioileta hiyo Richmonduli, anasubiri nini??? au yeye sio Rais, nguvu za Rais zipo wapi Jamani!!!! Kama anaweza kujua kitu hatari kwa mustakabali wa Taifa na bado akatulia tu!! hii tafsi yake nini???


[SIZE="4"
]Nimekuwa nikicheka mara nyingi juu ya kutokufahamu kwa Kikwete, lakini hii ya leo imenisikisha sana, nani atawajibisha wahujumu wa uchumi na wahalifu wakubwa kama Rais anajua Richmond ilikuwa hewa walioilete wapo, wanakula kuku wanaitwa Waziri mkuu Mstaafu, analindwa na fedha za Umma anakula Pension ya Umma, Waziri wa Nishati wa sasa ndie alikuwa Naibu wakati hiyo hewa inaletwa iweje aendelee kuwa katika ofisi za Umma!!?? Rais Zinduka acha kulala, wakati mwingine uwa nafurahi nahisi labda anasaidia Upinzani ije ishinde kilaini, sijui kama ndivyo hivyo!![/SIZE][/QUOTE]

HAYO YOTE NI USHADI KUWA TUNADANGANYWA. HUHITAJI JUHUDI SANA KUTETEA UKWELI. KWA JUHUDI NA MATAMKO KIBAO YANAYOTOFAUTIANA YA WATENDAJI NI DHAHIRI KUWA WANASEMA UWONGO. HATA WANA CCM WENYEWE WANAONA AIBU. WENGI HATA HUKU URAIANI WANASHIDWA KUTEMBEA KIFUA MBELE KAMA WANA CCM. NA BADO.....KINACHOFUATA NI DILI YA KUCHELEWESHA MAAMUZI YA MAHAKAMA. LAKINI HILI HALITASAIDIA IKIWA WANANCHI WATAENDELEA KUWA NA HAMU YA KUFUATILIA....!!!
 
Sijawahi kumwona rais mnafiki kama kikwete! Mi nikimwona anaongea kwenye tv, huwa lazima nibadilishe channel mana lazima atanikera!
 
Ok.. labda tukubaliane kwa ajili ya hoja kuwa 'hajui' kwamba hajui Dowans ni kina nani, wametoka wapi n.k Swali ambalo inabidi kulipeleka mbele kidogo ni "kwanini hajui"? Wamejadiliana kwenye CC, na Kamati ya Wabunge, na hili suala limeandikwa kwa kirefu na kujadiliwa huko nyuma n.k na yeye hajui. Kwa hiyo mijadala yote ya tuhuma kuwa nyuma ya Dowans wapo watu wakubwa serikalini haijawafanya watake kujua?

Nauuliza KWANINI HAJUI?
 
Asubuhi kabla ya kifungua kinywa, Richmond ni kampuni hewa
Baada ya kifungua kinywa si mlitumia umeme wao kwa miezi tisa?
kabla ya chakula cha mchana tutawaambia wana sheria wetu wafanye manouver ili tusiwalipe
baada ya chakula cha mchana ah watakawalipa Dowans si serikali bali Tanesco
anyway nimeshiba saana ngoja nikapumzike kidogo
 
Kama alivyokuja mmoja hapa hoja nzima ya JK inaanguka na kusimama hapa:



Ningefurahi sana angetuambia huo mkataba uliuzwa lini? Au kama kuna mtu atamuuliza hilo. Maana kununua umeme haiwezi kuwa ndio uhalali wa mkataba; niliuliza huko nyuma je wezi wakiingia mkataba kuiba mahali na kugawana na mmoja akavunja mkataba huo wanaweza kwenda mahakamani kudai haki?


aha,intalekcho,hi?..sasa tuambie issue hapa ni MKATABA ULIFUNGWA LINI ?.JE ilo limetuadhiri kivipi ?i mean tarehe.
Kama issue ni uhalali ama uharamu wa mkataba inahusiana vp na wizi uliofanywa na DOWANS kwa mujibu wako unasema wezi walishirikiana.
Dowans wameleta mashine wakasupply umeme si ndio mazee ama sivyo?
Where do u show HOW THEY DID THE STEALING AND WHERE?.
Kuhusu pesa wanazotaka kulipwa ISNT IT A FINE DUE TO CONTRACT BLEACH ama gani mwanakijiji.
Now tell me how does this relate to our pøor life now THAT MONEY HAVE NOT YET PAID and richmond didnt get DOWNPAYMENT.
 
Wenye akili wanaweza kusoma ujumbe katikati ya mstari. ... "Lakini mmetumiea umeme wao miezi kumi" Hii kutokana na msemo wake Dowans ni halali "Chiligati ametusemea kamati kuu" Tunajua alichosema Chiligati ni uungwana kuwalipa Dowans kama tuzo itasajiliwa mahakama kuu TZ! "Tupige manuva tusiwalipe kabisa" hapa anajikanganya Dowans ni halali tumetumia umeme wao miezi kumi na wakati uhalali wa kutowalipa Dowans unatokana na ukweli kwamba hapana mkataba kati ya Dowans na Tanesco kwani mkataba waliourithi kutoka kwa Richmond haukuapo, kwani Richmond ni kampuni hewa na pilil hapakuwa na makubaliano ya kuurithi. Hivyo basi Dowans kwa kufua umeme miezi 10 ilikuwa si kwa mkataba halali. Kwa hiyo raisi kusema wengine wanasema tusilipe lakini tumetumia umeme wao miezi kumi... halali ni kuhalalisha malipo. Hapo ndio JK anapowachanganya watanzania! Unajua anachokisemea hakitoki moyoni kwamba Dowans wasilipwe!
 
Ajue mmiliki kwani yeye BRELA?mbona bac anakazi ajue wamiliki wa makampuni yote TZ ?common gv him a break.
According to u guys the owner is RA as EAST AFRICA paper said..So what?isnt he allowed to own a company if so BY WITCH LAW?.
Haya tuseme ndio mmiliki ni vije bac tunamkaba hapa kwa kudandia mkataba toka kampuni feki na tanesco wakakubali ama alihonga WHAT EVIDENCE DO YOU HAVE HERE IF IS SO.
Ooho it is that dowans acguired unlawfull contracter from richmond..ok WHAT MAKE IT UNLAWFULL.
I have lot of maswali dont see any answer here
 
Kuna mahali huwa nafika nasema nadhani kuna jambo lingine limejificha nyuma ya hizi chuki kwa Kikwete.:coffee:

hapana siyo chuki, ni ukweli mtupu. kwani we huna macho ukaona mambo yanavyoenda shaghalabaghala!!!! yaani hujui kusoma lakini hata picha huwezi kutambua!!! pole sana...
 
Huyo ndiye rais wetu wa jamhuri ya muungano wa tanzania, ambayo zanzibar imejitoa kimtindo ila wanakuja bora serikalini kufuata vyeo si tuliolala. Jamani jk hivi nimesema ni rais eeeh!
anyway namtakia kilala kheri
 
Ajue mmiliki kwani yeye BRELA?mbona bac anakazi ajue wamiliki wa makampuni yote TZ ?common gv him a break.
According to u guys the owner is RA as EAST AFRICA paper said..So what?isnt he allowed to own a company if so BY WITCH LAW?.
Haya tuseme ndio mmiliki ni vije bac tunamkaba hapa kwa kudandia mkataba toka kampuni feki na tanesco wakakubali ama alihonga WHAT EVIDENCE DO YOU HAVE HERE IF IS SO.
Ooho it is that dowans acguired unlawfull contracter from richmond..ok WHAT MAKE IT UNLAWFULL.
I have lot of maswali dont see any answer here


Mmh.. labda kukusaidia kufikiri - wezi wakiingia mkataba kwamba baada ya kupata mapato yao ya wizi watagawana hivi au vile; halafu wakishafanya wizi wao mmoja akaamua kuwadhulumu wengine - je wale wengine wanaweza kwenda mahakamani kudai Mahakama iamue kugawanya mali ya wizi?
 
Jk hana mvuto kwa vijana amekwisha ajiandae kuizika ccm, huwezi kutamani kuwa na vijana wakati wanapigwa mabonu vyuoni badala ya kuwasikiliza, amewapiga kule arusha na kuwaua, amepiga kule dodoma, amewapiga kule mwanza, jk hawezi tena kuwavutia vijana ni mpiga mabomu si msikilizaji tena. Vijana wanakimbilia wa dr slaa -mkombozi na mfariji
 
Ok..tatizo langu hapa liko kwenye neno MAPATO YA WIZI in relation to this saga i dont see any evidence of stealing what i see naona kwenye mikataba kulitokea lobbying na ten pacent sorry kwa mispel mi ni mkulima tu.
But those guys supplied electricity then out of nowhere politician terminated the contracter HENCE THE FINE.
Wapi hawa dowans wameiba? Dat is ma guestion
 
Ok..tatizo langu hapa liko kwenye neno MAPATO YA WIZI in relation to this saga i dont see any evidence of stealing what i see naona kwenye mikataba kulitokea lobbying na ten pacent sorry kwa mispel mi ni mkulima tu.
But those guys supplied electricity then out of nowhere politician terminated the contracter HENCE THE FINE.
Wapi hawa dowans wameiba? Dat is ma guestion
 
achukue hatua kama rais wa tanzania kutatua matatizo ya watanzania, na watu waone kweli anafanya badala ya kuzungumza kama vile nayeye ni mtazamaji tu na kwamba kuna mtu mwingine mwenye madaraka ya nchi hivyo awatatulie watanzania matatizo, na kufanya maamuzi magumu ili nchi isonge mbele 'positively'
 
Suala la umeme wa mgao itakuwa ni historia! Mkwere 2010 akiomba kura!
 
''Mimi hata baraza la mawaziri linanijua, huwa ni msema ovyo'' Maneno hayakatasema JK wakati akihutubia wanasisiem kule Dodoma.
Nimestuka sana!! Hivi huyu jamaa tulimto wapi jameni?
Halafu anasema hana uwezo kama wa Mungu wa kufanya mvua inyeshe bwawa la Mtera ili tupate umeme. Kweli huyu i msema ovyo!! Anasahau kuwa poor planning ya matumizi ya maji ndiyo sababu ya mabwawa kukauka hata kwa ukosefu wa mvua wa wiki mbili tu!!
Oneni haya nyie mliomchagua!!! Mi simo....
hivi kweli tanzania uchumi unadidimia sababu hamna umeme kama si upumbavu ni nini, maana naamini serikali ikitaka umeme uwepo permanently inaweza maana hela zipo, makaa ya mawe yapo tele, kihansi inafanyakazi 'below 50%', gesi iko fully, iptl, na tunaweza kununua generators lakini kwa sababu serikali imejaaa watu wa kufikiria kujinemeesha na kuanzia raisi hadi chini suala la national interests hamna na ndiyo maana tuko gizani tu na serikali imeridhika na wamebakia porojo tu, nasisi wananchi tupiga makofi tu
 

Majibu haya hapo. Kama si mchanganyikiwa nini? Aliongea nini kwa donors...


mmmmmmmmmm!!! kichefuchefu, huyo ni mwandishi wa habari.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom