rais kasema baada ya kusikiliza ushauri mbalimbali wengine wakitaka tulipe,wengine tusilipe,wengine tusiharakishe... "uamuzi wangu ukawa tusiharakishe kulipa( please note hajasema tusilipe ...amesema tusiharakishe..).
Maswali yangu kwa kikwete:
1.chiligati alisema mmekubaliana kulipa dowans kwa kuwa ndio uungwana kuheshimu sheria na hicho kikao wewe ndio ulikuwa mwenyekiti na hatujasikia kuwa ulikana ile statement ya chiligati. Je sasa ile statement ya chiligati ni kweli au la?manake kama ulivyosema mwenyewe wewe ndio ulikuwa mwenyekiti wa hicho kikao na mlisema mtalipa ..
2.pinda alisema kuwa dowans italipwa kwa kuwa tumeshindwa kesi .nini maoni yako >? Manake umetuambia kuwa ulikuwa kimya kwa kuwa waziri mkuu kashaongea.
3.watu pekee ambao wamesema kuwa dowans isilipwe ni sita na mwakyembe .. Wewe umesema tusiharakishe kulipa hujasema tusilipe ila tusiharakishe wenzako wamesema wazi tusilipe.
4. Vipi kuhusu ngeleja .. Alisema tulipe ...vipi utamfukuza kazi?
5. Vipi kuhusu mwanasheria mkuu amesema tulipe wewe unasema tusiharakishe( nasisitiza hujasema tusilipe)..nae vipi utamfukuza kazi?
6. Aisee....
halsu waandidhi wa habari hasa television hivi hamuwezi kuandaa taarifa hivi kuonyesha mtililiko wote wa hii issue kwa ubunifu?kwa mfano mnaanza pale ngeleja aliposema tunalipa,kisha mnamuweka chiligati aliposema tunalipa,kisha pinda ..kisha mnamuweka pinda tena baada ya kikao cha wabunge...halfu mnamweka jk..kaclip kama cha dakika tano hivi kwenye taarifa ya habari ..kwani zile recordings si bado zipo?au mnaogopa ...
aisee....