Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,751
hizi ni hoja za kuleta chokochoko miongoni mwa watu. hamna maana hata kidogo. ongeza sababu nyingine 510 ziwe 561 hoja yako itapata nguvu kutokana na maamuzi ya watanzania siyo wahuni wa blog hii.
uhuru usio na mipaka ni vurugu. Rais wa zamani wa marekani siyo Klinton wala MABUSH aliwahi kusema DON'T ASK WHAT US WILL DO TO YOU; ASK WHAT WILL YOU DO TO US!
badala ya kuangalia kwa darubini kali nini Kikwete aliahidi na hajafany jiulize umefanya nini.....
am sorry kuita blog ya wahuni ..... sina jina jingine kuipa nadhani hili lafaa na siachi membership ng'oooooooooo
Tunajua kuwa huwezi kuacha membership kwa sababu WEWE ni mhuni........... Ndo nyie kina Tambwe Hizza