Kikwete afanye nini Kuuokoa Urais wake?

Kikwete afanye nini Kuuokoa Urais wake?

.... hawajawahi kusema chochote dhidi ya Udikteta wa Mbowe na Mzee Mtei.

Baadaye kanda2 anaendelea hapa chini

kanda2 said:
Kwanza lini ulimuongelea yule naniliii, yule nanilliii wa kule naniliii, ahh

yule naniliii, sio kibona, sio kolimba, sio Stan Katabalo, sio mama mbatia, sio kabeho, sio rutihinda, sio kombe, yule nanilihii yule..

Shehe ohstamdafru, unamkumbuka yule nanilihiii wa kanisa katoliki la ilala?

....
 
Baadaye atamalizia kwa shehe wa "kishua" maamuna boko ahmdu haramu
Muda huu tayari umeshabadilika na kuwa kinyonga?unabadilika kutokana na mada inavyokwenda.naona unajidanganya mwenyewe kila mtu anajua mchezo wako wa kitoto kama huu.
 
Umeingia lini CCM?huko umehama? kwenye mijadala mizito ya Chadema ambayo inahusu pande mbili ya Zitto na Mbowe,wewe lini uliandika au kutuma post kwa jina hili?kazi yako kuandika habari za CCM zenye ubaya na JK.
ameuliwa Wangwe,Zitto kazuiwa kugombea uenyekiti,Kafulila kafukuzwa hawajawahi kusema chochote dhidi ya Udikteta wa Mbowe na Mzee Mtei.

mambo ya Chadema waachie Chadema.. ya kwetu ni ya kwetu!
 
Mkuu Mwanakijiji, sababu za JK kutogombea ni nyingi lakini moja tu ndio yenye uzito mkubwa nayo ni""

1) Kushindwa kuongoza nchi kwa faida ya wananchi wa TZ. Kwa maneno mengine ni kushindwa kuboresha maisha ya watanzania, huku akiachia makampuni ya nje yakimaliza madini yetu yenye thamani kubwa mno kwenye soko la dunia na sisi kuambulia NOTHING, na mwisho kuruhusu wizi mkubwa wa mali za umma unaofanywa na kikundi kilichomweka madarakani hence complicity yake.
 
Utake Usitake JK atagombea 2010 na bila ubishi ndiye Rais wetu mpaka 2015.Haya mengine ni kama gumzo la kitaa...
 
Haya mambo muulize Nkapa! JK anajitahidi kurekebisha uozo wake..sasa contract iliyofanyika kisheria huwezi kuzivunja bila kufuata taratibu za kisheria...labda kama unataka awe dicteta...na huo si ushauri mzuri ndio hajishughulishi na watu kama nyinyi
 
Anawajua wahujumu uchumi na wala rushwa kwa majina (staff wa TRA na TISCAN) lakini hawachukulii hatua.
Fedha kidogo za EPA "zilizorejeshwa" toka kwa mafisadi zinarejeshwa kwa mafisadi kwa hoja ya "kilimo kwanza"
 
Zaidi naelekea kwenye ukitimoto, ukinyonga siuwezi. Mifupa yao ina sumu
tangu jana unakula kitimoto hujavimbiwa duh naona sasa una harufu mbaya kama nguruwe mwenywe ulafi mbaya...
 
Haya mambo muulize Nkapa! JK anajitahidi kurekebisha uozo wake..sasa contract iliyofanyika kisheria huwezi kuzivunja bila kufuata taratibu za kisheria...labda kama unataka awe dicteta...na huo si ushauri mzuri ndio hajishughulishi na watu kama nyinyi

ha ha ha ... dicteta

mkataba wa barrick buzwagi nao uliandikwa na mkapa!!!!!
 
tangu jana unakula kitimoto hujavimbiwa duh naona sasa una harufu mbaya kama nguruwe mwenywe ulafi mbaya...

ingekuwa tende (au mahindi ya kuchoma kama ya madrassa yako ile) labda, kitimoto ..... inateleza kama kumsukuma shehe bokoso haramu ramu kule mogadishu
 
Utake Usitake JK atagombea 2010 na bila ubishi ndiye Rais wetu mpaka 2015.Haya mengine ni kama gumzo la kitaa...

Kweli kabisa Mtarajiwa,

Ukichukulia kuwa ameanza kupimwa akili - Cuba. Inawezekana asiishie 2015, atabadili katiba kama Museveni aendelee "kutawala" milele utake usitake.
 
aliahidi atapitia na kurekebisha mikataba mibovu ya madini, hakuna chochote kilichorekeishwa hadi sasa hivi...hatoa sababu kwa nini hajairekebisha, hajatoa hata tamko la kumshutumu yoyote aliiyesaini hiyo mikataba
 
akiwa kama mwenyekiti wa ccm hajatoa agizo la kumnyan'ganya kadi ya ccm Lowassa na mafisadi wenzie walio jiuzulu baada ya kashfa ya Richmond...
 
aliahidi atapitia na kurekebisha mikataba mibovu ya madini, hakuna chochote kilichorekeishwa hadi sasa hivi...hatoa sababu kwa nini hajairekebisha, hajatoa hata tamko la kumshutumu yoyote aliiyesaini hiyo mikataba

nadhani hii ni mojawapo ya sababu kubwa zaidi...
 
Chuo kikuu cha dodoma hukioni? Au kimekuja chenyewe mkuu?
hiko chuo mbona ni idea ya Mkapa na isitoshe hela zote za mikopo kuanzia Uarabuni mpk Amerka! Ina maaana hata chuo nchi hii inashindwa kujenga wakati zaidi ya dola million mia mbili zimeingia mifukoni wa wachache wasiozidi 10! Chuo kile kinatutangazia umaskini! Isitoshe kimekuwa tiketi ya kuondoa scholarship kwa wanafunzi walalahoi!
 
please tafadhali sana usimwite Rais wa watanzana anapiga bla bla bla na usimbeze sura aliyozaliwa nayo. kama wewe hakufai na nchi hii haikufai tafadhali tupishe kwa usalama. hii sasa too much how dare yo can just mock on the country's president easy that way. don't be fool nor stupid that much we have to adhere to respect to our leaders. they don't fit to we blog members, they fit to the rest millions tanzanians.
I will be hard now and onwards hadi kieleweke Rais wangu hawezi kutukanwa na watoto wadogo..... I chief says
Kwenda zako kwani? amekuwa babako akifanya ujinga lazma aambiwe ni Rais wa nchi na sio wako wewe peke yako siwezi pata ada leo kwa ajili ya urafiki wake ndani ya Uongozi ameweka mambumbumbu wengi kwenye uongozi! kuanzia wakina Sofia Simba mpk wakina Hawa Ghasia hawajui hili wala lile katika uongozi!
 
Back
Top Bottom