GE2010 Kikwete aanguka ghafla Jangwani...!

Dr Slaa hana kifafa! Dr Mkwere inajulikana
Masa hivi kifafa ni kejeli enh! Maana naona the way unavyoiweka hii ishu hapa unakuwa unawanyanyapaa wenye matatizo hayo. Unaonaje km tukiheshim utu wa watu? Na pia maisha ni safari ndefu saana.
 
Kikwete kaanguka akizindua kampeni,Dkt Slaa alianguka alipoteuliwa tu kuwa mgombea,akavunjika mkono.Wote inaonesha wana ugonjwa wa kuanguka anguka.
Hatujui dkt Slaa ataanguka tena wapi.Na ile picha ya dkt Slaa alipoanguka ****** mbona haikuletwa hapa JF,au ndio tatizo la kutegemea source kichama.

Kikwete ameanguka mara nne sasa hadharani .... na mara kibao behind the scene.

Dr Slaa so far ameanguka mara moja ..... bafuni ..... hotelini ... sasa hiyo picha nani alikuwa naye bafuni ili aichukue?
 
Masa hivi kifafa ni kejeli enh! Maana naona the way unavyoiweka hii ishu hapa unakuwa unawanyanyapaa wenye matatizo hayo. Unaonaje km tukiheshim utu wa watu? Na pia maisha ni safari ndefu saana.

kwani mtu mwenye kifafa akisemwa kuwa ana kifafa hiyo inakuwa kejeli?
 
Masa hivi kifafa ni kejeli enh! Maana naona the way unavyoiweka hii ishu hapa unakuwa unawanyanyapaa wenye matatizo hayo. Unaonaje km tukiheshim utu wa watu? Na pia maisha ni safari ndefu saana.

mkuu umemsoma huyu!
quote_icon.png
Originally Posted by Ami
Kikwete kaanguka akizindua kampeni,Dkt Slaa alianguka alipoteuliwa tu kuwa mgombea,akavunjika mkono.Wote inaonesha wana ugonjwa wa kuanguka anguka.
Hatujui dkt Slaa ataanguka tena wapi.Na ile picha ya dkt Slaa alipoanguka ****** mbona haikuletwa hapa JF,au ndio tatizo la kutegemea source kichama.

Nadhani umeelewa nimemjibu!
 
Haita saidia, wakina MS wakija na propaganda zao a udini nasi tutajibu tu. Wakija kwa issues ni kheri, Acha kumtisha Rev kwa kuamua kuufuta udini hapa huoni sasa kuwa thread za Slaa ni Padri zimepungua kama sio kwisha?
Mkuu kuna tofauti kuba kati ya kusema Dr.Slaa ni Padre na kusema Waislaam ni hivi ama vile. Na ktk issue hii sikuona mtu akizungumzia swala lolote la udini isipokuwa tunazungumzia tukio hili..Yeye kesha vaa njuga na kuingiza Uislaam.

Wakuu zangu msifikirie kuna mtu anawasoma hao kina MS zaidi ya kundi lenu wenyewe. Amini maneno yangu ni mada chache sana alizoanzisha huyo MS nimewahi kuzisoma au hata kupitia tu. Hivyo hutegemea ugonvi wenu mnaupeleka huko mnakokutana lakini kila mnapokuja huku ambako huyu MS hayupo na kuendeleza kutukana waislaam woote ni kutuvunjia wengine heshima. Na ukweli ni kwamba, mnaweza kuki cost chama kwa maneno yenu..
 
mkuu umemsoma huyu!

quote_icon.png
Originally Posted by Ami
Kikwete kaanguka akizindua kampeni,Dkt Slaa alianguka alipoteuliwa tu kuwa mgombea,akavunjika mkono.Wote inaonesha wana ugonjwa wa kuanguka anguka.
Hatujui dkt Slaa ataanguka tena wapi.Na ile picha ya dkt Slaa alipoanguka ****** mbona haikuletwa hapa JF,au ndio tatizo la kutegemea source kichama.

nadni umeelewa nimemjibu!
Its real sad. Ni vyema tukiwa waungwana. Leo Dr Slaa kamtumia salam za pole Kikwete km Kikwete alivyofanya kwa Slaa. Sie huku washabiki tunabaki kurushiana maneno ya ajabu na wakati fulani kujenga uadui usio na maana. Tushindane kwa hoja na si kejeli ambazo upande mwingine zinawagusa hata wasiohusika. Naamini JF inawatu walioelimika ambao kwao utu ni suala la msingi. Siasa isitusababishie matatizo mengine. Na pia hata kama kifafa ni ugonjwa let address it in a right manner.
 
Nashukuru umeona tatizo lilipo!
 
Mkuu kuna tofauti kuba kati ya kusema Dr.Slaa ni Padre na kusema Waislaam ni hivi ama vile. Na ktk issue hii sikuona mtu akizungumzia swala lolote la udini isipokuwa tunazungumzia tukio hili..Yeye kesha vaa njuga na kuingiza Uislaam.

Wakuu zangu msifikirie kuna mtu anawasoma hao kina MS zaidi ya kundi lenu wenyewe. Amini maneno yangu ni mada chache sana alizoanzisha huyo MS nimewahi kuzisoma au hata kupitia tu. Hivyo hutegemea ugonvi wenu mnaupeleka huko mnakokutana lakini kila mnapokuja huku ambako huyu MS hayupo na kuendeleza kutukana waislaam woote ni kutuvunjia wengine heshima. Na ukweli ni kwamba, mnaweza kuki cost chama kwa maneno yenu..

Huo ni mfano mmoja! MS na jamaa zake wamekuwa wakiharibu mijadala hapa lakini naona watu wengi wa mrengo wako wamekuwa na makengeza. Mambo ya kunyatia kipofu yafike mwisho, kuna kundi la wadini hapa kila kitu kilikuwa wakristo, maaskofu na slaaa, Tzania haiongozwi tokea vatican and all those of kinds. Kama wewe ulikuwa husomi wengine tumezisoma na sasa ni jino kwa jino. Zikija hoja basi tutajibu hoja. Viroja na sisi twaweza. Si kwamba alikuwa anavunjia heshima Rev Masa peke yake bali kudhalilisha wakristo wote Tanzania. KIbaya zaidi yeye ni MOD na amekuwa akipewa taulo na mbereko, lakini kwa sasa tutakula sahani moja.
 
mzee wangu masa,

inaonekana kuna watu wameanza kuona udini baada ya ms kuanza kujibiwa hapa.

kabla ya hapo, watu walikuwa kimya tu.
 
jamani tuachane na huu udini, Hali ya mgonjwa ni aje? yupo muhimbili/nyumbani kwake anapumzika au wamempeleka nje ya nchi?
 
mzee wangu masa,

inaonekana kuna watu wameanza kuona udini baada ya ms kuanza kujibiwa hapa.

kabla ya hapo, watu walikuwa kimya tu.

Inatakiwa wao wasijibiwe ili tusiwe wadini lool kazi kweli kweli....free ride haipo tena! wajue kabisa
 
imekuwaje hiyo coz hata mimi nemeipata mchana but issue sijaelewa,sasa baada ya hapo kapelekwa wapi?
 
Tumia busara kidogo ili uweze kuelewa.Aliye-upoload hiyo clip youtube ni Michuzi.Sasa kama huna uzoefu na uploading and hotlinking huwezi kuelewa nachoongea.Anyway,ngoja nikupe shule ya chapchap.Ukiweka video kwenye hosting site kama youtube kisha mie nikaikopo kwenye tovuti yangu,ukiiondoa basi na kwangu itakuwa haipatikani.Only way ya ku-access ni kama mtu mwingine alii-save somewhere.Kwa kifupi,Michuzi kaondoa clip yake,na hivyo kila aliyekopi clip hiyo from him hataweza kuiona.

Umeelewa sasa?
Nimekuelewa na mimi nilijua hilo toka mwanzo hata kabla hujaja kunielewesha, lakini wewe kitendo cha kumuita Michuzi Traitor haukuwa sahihi kabisa, kwasababu michuzi hana uhusiano na JF wala hatumlipi kutumia picha na clips zake. Kwa hiyo haukuwa na sababu ya msingi kumshambuli michuzi, na ndicho mimi nilikuwa nataka unipe sababu za kutosha kama unachosema ni sahihi. Umemuita UWT na pia Traitor nadhani hizo sio kauli nzuri. Lakini ulileta hoja nzuri ya kuwa JF iwe na independent reliable sources, hilo ni jambo zuri lakini unapoanza kuattack personalities nilishindwa kukuelewa. Hapo naomba unieleweshe zaidi sijakuelewa.
 
Kwa nini video ya Mheshimiwa K. Kwete kuanguka imeondolewa tena? haionekani. Video ya Bush akikwepa viatu pale Baghdad ipo hadi leo lakini ya Kikwete akilamba sakafu inaondolewa siku hiyo hiyo, kwa nini? Juzi juzi nilikuwa natafuta video ya Kikwete akisema hataki kura za wafanyakazi nikakuta zote zimeshakatwakatwa vipande vipande. Nadhani kuna haja ya kuwasiliana na Google kusudi wawe wanaweka kopi ya pamanenti baada ya video kuwekwa kwa sababu kuifanyia editing kunaharibu maana ya intaneti ambayo wao Google wameapa kuilinda kwa gharama yoyote.
 
JK afuturishwa na sukari ya kichina baada ya kuporomoka jukwaani kama Jokofu Kiwete ...baada ya hapo kila kitu ni sucre kwa kwenda mbele na aweza kurudi tena jukwaani :lol:
 
Huo ni mfano mmoja! MS na jamaa zake wamekuwa wakiharibu mijadala hapa lakini naona watu wengi wa mrengo wako wamekuwa na makengeza. Mambo ya kunyatia kipofu yafike mwisho, kuna kundi la wadini hapa kila kitu kilikuwa wakristo, maaskofu na slaaa, Tzania haiongozwi tokea vatican and all those of kinds. Kama wewe ulikuwa husomi wengine tumezisoma na sasa ni jino kwa jino. Zikija hoja basi tutajibu hoja. Viroja na sisi twaweza. Si kwamba alikuwa anavunjia heshima Rev Masa peke yake bali kudhalilisha wakristo wote Tanzania. KIbaya zaidi yeye ni MOD na amekuwa akipewa taulo na mbereko, lakini kwa sasa tutakula sahani moja.
Mkuu MS huanzisha mada zake mwenye huwa haingii mada zisizokuwa za kishoga shoga. Sasa maadam mnapenda kusikia matusi ya kishoga na kutiana vidole vya macho, hakuna mtu anayewalaumu wala kuwaingilia. tatizo ni pale ushoga huo unapokuja hata kwenye vijiwe vya wanaume rijal.. na bila shaka sisi tunaweza tofauitisha kati ya mwana-mme/mke na shoga hivyo hatuna makengeza ya hoja. Mtu kesha fungiwa bado tu nyie mnaendelea kwa madai ya MS. jamani acheni Ujinga...
Sijui kama umenielewa kwa lugha yangu.
 
Yawezekana, lugha zinafanana...makosa ya ki syntax na ki semantic yanajionesha... Nimembeep kidogo akaingia mtegoni
Nawashangaa sna nyie watu kutafutana uchawi.
Nafikiri hapa mtu yuko huru kutoa anachofikiri sasa haya mambo ya kutafutana yanatokea wapi.. au unatakaka mtazamo wako watu wote waufwate,kila mtu anamtazamo wake kutokana na uwezo wake!!!
.
.
.
.
 
Back
Top Bottom