Nyani unakumbuka jinsi Zap Judah alivyopigwa na Kosta Zyu au Rick Hatton alivyopopolewa na Paciao? Duh! Rais kayeyuka ka vile mlenda, tena alishaanza mapema kwa kusita kutamka kitu fulani.
Watadai ni Swaumu na upup mwingi, je hakuwa amepumzika vya kutosha kabla ya kwenda kuhutubia? Je kwa nini hawakubadilisha muda ukizingatia kuwa kitendo hiki kilitokea tena 2005?
Asante mkuu1st post edited
Ebana eeeh huyu jamaa si mzima huyu. Nimeona clip ya jinsi alivyoishiwa nguvu na kuanza kuanguka....something is seriously not right with him...
YouTube - down
Cha kuongea alikuwanacho. ila waduwanzi walimtolea sana jicho kodo alikuwa tu anawakwepa asije akapofuka bure.Labda anapata kizungu zungu kwa ajili ya kuogopa kuongea pumba.manake umati wa watu mkubwa kama ule alafu huna cha maana cha kuongea zaidi ya hadithi za abunuwasi lazima jasho likutoke.
.Wabongo kwa censorship bwana, rais anaanguka badala ya kurecord event to posterity wapiga picha wanahamisha focus na kuonyesha audience badala ya rais alivyoanguka.
The people of Tanzania need to know what happenned precisely.
Si kweli kwamba ule ni usanii. Mzee aliishiwa kabisa nguvu pale. Hata hivyo alisense kwamba anaishiwa nguvu na akaguna kabisa. Lakini ningekuwa mimi nisingesubiri hadi nianguke ningewahi kiti. Sasa yeye alitaka kuendelea wakati tayari alishazidiwa. Nimesikia huruma sana, mtu mzima kuanguka vile haileti sense kabisa. I am sorry to him. Lakini kura sitampa pamoja na huruma hiyo kwake.umecheki eee yaani full usanii kwa kwenda mbele, ndiyo maana naona kama ni style ya kuwahadaa watu wake
Nasikia TV za nyumbani nyingi hazikulionesha tukio hili kwenye taarifa za usiku, ni kumlinda rais? Kwani ni aibu kuonwa na watanzania? Ni rais wa CCM au Rais wa watanzania?Madhara ya kutokuwa na vyombo huru vya habari, kamera imegeuzwa kwa halaiki
:focus:
samahani mkuu, ni wewe uliyeandika ama?
mbona umekuwa mkali sana we ni mdhamini wa mambo ya giza kwani??? samahani lakini!!!
nini cha ajabu? huu ni wakati wa Ramadhan kama hujui!
Mkuu kuna sehemu ya kwanza ya hotuba ya JK nimeiongeza kwenye post yangu ya kwanza unaweza kui-edit pls.1st post edited