GE2010 Kikwete aanguka ghafla Jangwani...!

GE2010 Kikwete aanguka ghafla Jangwani...!

mara ya kwanza alianguka akiashiria kuwa hali ya maisha ya watanzania itaanguka vibaya mno!! Kama tulivyoona,,
anguko hili la pili shemu moja linaashiria kuwa kutakuwa na hali mbaya zaidi endapo watamchagua tena,

kwshakuwa kakakuona jama du! Ama kweli wabongo nuksi
 
Jamani huyu aliyeanguka ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ni lazima tulichukue tokeo hili with this in mind. The fact that this is the third time it is occuring is even more worrying. Nafikiri kuna haja kamati kuu ya CCM pamoja na Halmashauri Kuu kulifikiria hili kwa mapana yake na implications kwa nchi. The fate of the 44 miilion Tanzanians may be in their hands.

Tunamtakia na kumwombea Mheshimiwa Kikwete afya njema and a speedy recovery from the ailment he is suffering from. Pili wale wanaosimamia afya yake na ratiba zake inabidi pia wawe wakali na kumzuia kuto kuji over-extend. Kama kweli alilala saa mbili tu hiyo jana na ukichanganya na swaumu - I think it was irresponsible for them to allow HE the President to deliver a long speech at 15:00hrs in the afternoon in hot Jangwani Grounds.

God Bless the President; God Bless Tanzania.
 
Kwa idhini ya ICHONDI



Source: JF: Uchaguzi Tanzania 2010: Thread: Kikwete aanguka ghafla Jangwani 😛ost no.190.

hukua na haja ya thread mpya wewe ni kazi tu, na ushabiki usio na analysis
 
Ebana eeeh huyu jamaa si mzima huyu. Nimeona clip ya jinsi alivyoishiwa nguvu na kuanza kuanguka....something is seriously not right with him...

 
Last edited by a moderator:
Je kesho atakwenda bagamoyo au waganga wanatembea nae kwa sasa?
 
Dr Slaa ni mstaarabu na ndio maana katuma salaam za pole lakini wafuasi wake hawajui kwamba kwa kushindwa kutoa pole kwa kikwete ni ishara ya vita. Kete hii sio ya ushindi.

pole haiji kwako inaenda kwake na unajuaje kama hawajmpa?
Slaa ni maarufu kuliko wafuasi wake na ndiyo maana kila atakalo lifanya utajua,
si atakalolifanya mfuasi wewe utasikia, hata kikwete akianguka tena utasikia kwa urahisi
kulingana na taito yake lakini ukianguka wewe itajua familia yako tu
 
039898]mara ya kwanza alianguka akiashiria kuwa hali ya maisha ya watanzania itaanguka vibaya mno!! kama tulivyoona,,
anguko hili la pili shemu moja linaashiria kuwa kutakuwa na hali mbaya zaidi endapo watamchagua tena,


umepata wapi ufunuo huo "nabii" Anyisile?
 
Dr. Slaa amemtumia pole na kumtakia afueni.

pamoja na tofauti za kiitikadi kati ya mzee Mwanakijiji,na serikali ya kikwete kama ilivyojitokeza katika mijadala mbalimbali ameshindwa kukejeri yaliyompata jangwani. Heshima yako mkuu, huo ndio utu. Huo ndio utanzania.
 
Kuanguka Jk tu'mbona Sio bilal,au shein,kila mwaka yeye tu. kwani swaumu ni yeye tu.
 
Welcome, leo JF itapata wageni wengi sana, Invisible vipi sever yetu iko imara.

Luiza Gama

Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date Sat Aug 2010
Posts 1
Thanks : 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power 0
niliomba mods wasimamishe new membrs for a week tuone mambo

btw, nimesikitika rais wangu kuanguka vile ... hivi daktari wake alijiandaa?
 
sijui huwa mnalipwa shilling ngapi,kuneutralize mambo hapa...?
JF kuanguka ni dhahiri,ana matunguri :becky::becky::becky::becky::becky: aibu!
usijihangaishe mie sio chadema wala ccm..:becky:😛layball:😛layball:
Halafu wanajiita wana busara. Mwee!
 
Back
Top Bottom