Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 71
Hakuzimia
Wewe usituhubirie miinjili yako hapa, Kikwete alianguka kule mwanza mwaka ule, kule kumebarikiwa na nani?Inaelekea CCM na watu wake wamesahau kuwa Jangwani ni sehemu iliyobarikiwa na Papa Yahane Paulo II mwaka 1990, na hivyo ni patakatifu zaidi ya hata Ikulu anakokung'ang'ania. Wachawi wengi huanguka pale bila kujua kuwa wanakatiza eneo ambalo si la kuchezea na linalostahili heshima zote. JK kaanguka wakati akiongea maneno ambayo kwangu naweza kukiri ni uwongo, hakuyamalizia na Mungu akaamua kumnyamazisha kwa muda.
Isipokuwa udini tu unakusumbuwa!Mimi si CHADEMA na wala si CUF, siegemei upande wowote...
Ulikuwepo. Maana ya kuanguka ni nini? Ana kifafa?Hakuzimia
Ebana eeeh huyu jamaa si mzima huyu. Nimeona clip ya jinsi alivyoishiwa nguvu na kuanza kuanguka....something is seriously not right with him...
YouTube - down
Ebana eeeh huyu jamaa si mzima huyu. Nimeona clip ya jinsi alivyoishiwa nguvu na kuanza kuanguka....something is seriously not right with him...
YouTube - down
:focus:Wewe usituhubirie miinjili yako hapa, Kikwete alianguka kule mwanza mwaka ule, kule kumebarikiwa na nani?
Kama hapo Jangwani pamebarikiwa na huyo papa mbona pamekuwa ni "maskani" ya vibaka na wakabaji usiku, au papa hakubariki vibaka wadhurike?
Isipokuwa udini tu unakusumbuwa!
nafikiri ni moja ya kupashana habari tu tukio kwa tukio, sijaona kibaya kwa upande wanguWabongo kwa censorship bwana, rais anaanguka badala ya kurecord event to posterity wapiga picha wanahamisha focus na kuonyesha audience badala ya rais alivyoanguka.
The people of Tanzania need to know what happenned precisely.
Ebana eeeh huyu jamaa si mzima huyu. Nimeona clip ya jinsi alivyoishiwa nguvu na kuanza kuanguka....something is seriously not right with him...
YouTube - down
Wabongo kwa censorship bwana, rais anaanguka badala ya kurecord event to posterity wapiga picha wanahamisha focus na kuonyesha audience badala ya rais alivyoanguka.
The people of Tanzania need to know what happenned precisely.
Anyisile Obheli;1 [SIZE="4" said:umepata wapi ufunuo huo "nabii" Anyisile?[/SIZE]
nalikuwa nimejilaza kidogo baada ya futari ndipo ukanijia huo wahyi ''mtume'' Junius.
hahahaaaaaaaaaaaaNyani unakumbuka jinsi Zap Judah alivyopigwa na Kosta Zyu au Rick Hatton alivyopopolewa na Paciao? Duh! Rais kayeyuka ka vile mlenda, tena alishaanza mapema kwa kusita kutamka kitu fulani.
Watadai ni Swaumu na upup mwingi, je hakuwa amepumzika vya kutosha kabla ya kwenda kuhutubia? Je kwa nini hawakubadilisha muda ukizingatia kuwa kitendo hiki kilitokea tena 2005?