Kikulacho ki nguoni mwako, RIP Magufuli

Kikulacho ki nguoni mwako, RIP Magufuli

Inaonekana wapambe wengi munaumia mama kupanga safu yake eeh? Sikilizeni zama za magu zimeisha na mama hawezi fuata ya magu 100% .itakuwa haina maana yoyote akifuata hayo ya hayati.

Acheni kujipa msongo wamawazo kubalini hali halisi kuwa jpm hatunae tena na maombolezo yamekwisha
 
Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.

Ahsante,Nianze ka kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama yetu ,Samia Suluhu kwa hotuba mzuri,hotuba iliyobeba matumaini kwa Watanzani.

Hotuba ya leo hakika imejaa faraja na imani kubwa kwa watanzani kwamba huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi.

Katika Quraan sura ya 104(Surat Hummazah) aya ya kwanza ,Allah amewaonya walamba Visogo/Wasengenyaji "Backbiters".

Kifo cha Rais magufuli kimenifunza mambo mengi .Mosi Dunia ni mapito,tujitahidi kufanya mema kwa aiili ya baadae

Pili ,nimebaini Rais Magufuli alizungukwa na walamba visogo ,Watu ambao akiwa nao walikuwa wanamchekea akitoka wanamng'ong'a.

Hata Siku 21 za maombolezo hazijakamlika watu hao tyr wametanua makucha yao.

JPM alizungukwa na wasaidizi wanafiki.Makamu wa Rais ni mshauri namba moja wa Rais,kama Rais alisema jambo na ww ukachekelea ukaona linafaa leo hii hayupo unasema halifai ,ww tukuelewe vp?, Ni kama ulikuwa unasubir anguko lake ili umvue nguo hadharani.

Wakati mama anazungumzia miradi,kuna mahali alisema kuna miradi mingine ipo kwenye makaratasi sijui itawezekana ila nataka niione.Hivi alikuwa na maana gani?.

Afu akasema kuna Issue alikuwa anasolve baadae ikamshinda nguvu akaachana nayo.

Any way,naochotaka kusema hapa,Binadamu huwezi kupatia kila kitu,Yale ambayo Rais Magu aliteleza ni vema kuyarekebisha kwa hekima ukiangalia mzee hajatoka madarakani kwa kustaafu bali ni kifo.

Staili aliyoanza nayo ya kumponda mtangulizi wake na walikuwa wakifanya kazi pamoja itamletea shida.

RIP JPM
"Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Kazi iendelee"
Ni kweli aisee. Busara nyingi inahitajika kuwasilisha mipango Kwa manufaa ya Tanzania.
 
Marehemu alikuwa kichaa, hashauriki
 
Wanafiki walilindwa na magufuli mwenyewe
 
Kwani Mwenzetu upon Nchi gani,huyo Mama alikuwa aachie ngazi toka kitambo sababu walikuwa hawapikiki yeye na Magufuli,bahati nzuri tu akina Mkapa na Kikwete wakamshauri akarudi.
Sasa mwenzetu unataka aendelee na kile kile ambacho alikuwa hakitaki.
Nawe mnafiki tu, alikwambia lini alitaka kuachia ngazi?. Achaneni na habari za vijiweni zisizo na kichwa wala miguu.
 
Sijakuelewa, so unataka kusema kwamba asitengue wale watumishi wabovu, asisimamishe miradi ambayo haina tija kwa sababu ilikuwa ya dead stone sio???

Au ulitaka abadili akiwa kajifungia na, Mpango na Majaliwa sio?

By your information huyu mama Magu hakuwa anamtaka na hata mama alikuwa hamuelewi ilitokea tu sababu Magu alienda kugombea kichwakichwa ngoma ikamuangukia tu.

Kumbuka mama ana experience yake ya malezi, kazi na siasa so huwezi kutarajia mambo yatakuwa kama zamani pia kumbuka tabia na approach za wanaume sio sawa na wanawake.

Mtulie tu mjipange mbona ni mwanachama mwenzenu tu.
 
Stalin baada ya kifo chake alirithiwa na Nikita Khrushchev., Siku mmoja akiwa ana hutubia Kamati Kuu huku akipinga sera nyingi ya mtangulizi wake, Mjumbe mmoja bila ya kujitambulisha alikereka na akamundikia ki note cha kumshutumu na kumlaumu, "we Nikita ulikua msaidizi wa Stalin, "kwa nini hukusema haya kipindi hicho Stalin akiwa hai?" Khrushchev akakisoma na akaomba Mjumbe aliye andika anyooshe mkono juu amtambue ili amjibu .Hakuna mkono uliyo nyooshwa, Khrushchev akasema "kinacho kushinda wewe kunyoosha mkono leo , ndo hicho hicho kilicho nishinda mimi kusema enzi hizo"
shkamoo
 
Kwani Mwenzetu upon Nchi gani,huyo Mama alikuwa aachie ngazi toka kitambo sababu walikuwa hawapikiki yeye na Magufuli,bahati nzuri tu akina Mkapa na Kikwete wakamshauri akarudi.
Sasa mwenzetu unataka aendelee na kile kile ambacho alikuwa hakitaki.

Huyoo jamaa ni lijinga kama Afandee seleee
 
Tabia ya CCM kuponda mtangulizi wake.inaelekea watanzania tunapenda.kiongozi ambaye akupondwa ni Nyerere tu.
Punguza uchungu.tofauti mh dk JPM ameenda mbele ya haki
Hata huyo Nyerere alikuwa anapondwa ki design.
Mwinyi kwenye mikutano ya hadhara alikuwa anawaambia wananchi. Nimekabidhiwa nchi kulikuwa hakuna hiki na hiki Sasa hivi Kuna hiki na kile. Ukitembelea maduka unakuta frem tupu Sasa hivi vitu vimejaa. Tulikuwa tunasimama msongo (foleni) tunapotaka kununua baadhi ya bidhaa Sasa hivi pesa yako tu.Na kama hayo.
 
Mkuu Ukipenda sifa then unakua satisfied hapa duniani utapata wanafiki wengi sana. Tabia za phonies always they pay attention for the money, hivyo tusipende kusifiwa mda wote wengine sio wazur kwako watakusifia ili tu tonge lizame kwa kinywa [emoji1787]. After that kung'ong'wa lazima
Kung'ong'a ni neno la kwetu natafutaga sana Kiswahili chake kizuri sipati aisee sasa naona umelitumia kama lilivyo au ndo hivihivi na Kiswahili?
 
kuna washauri wanamshauri mama pengine wanamshauri hivi ila nasema tu kufuta legacy ya JPM ni miaka 100 labda
Kutandika mtu risasi 36 sidhani kama ataweza, aliweza shetani kibwengo tu aliyeuliwa na Corona.

Hivi alikamuliwa au alibaki na mavi yake🤣🤣🤣🤣
 
Hata Habari ya magufuli anaumwa na amekufa ilianza Kama Habari ya vijiweni isiyo na kichwa wala miguu
Nawe mnafiki tu, alikwambia lini alitaka kuachia ngazi?. Achaneni na habari za vijiweni zisizo na kichwa wala miguu.
a
 
Jiwe alikuwa hataki ushauri, hivi ndivyo unatakiwa unafahamu, pia hakuwapa nafasi wenzake, na kumbuka hataki kupingwa jambo lolote, kumbuka akitaka kufukuza wabunge 17 wa kusini kisa kuto kubaliana nae kwenye korosho, alimfukuza Ndugulile, kisa kutofautiana namna ya kukabiliana na Covid-19.
Kumbuka VP akuwa mtu wake wa karibu kama unavyofikiri licha ya kuwa ilitakiwa iwe, Jiwe hakustahili nafasi hile ya Urais kwa kwa kuwa Nchi aliiendesha kwa hisia, midadi, mihemko, hivyo kujikuta anatoka nje ya taratibu.
Wengi wamlalamika kuumia kipindi cha yeye akujali, na akifaanya kosa uliendeleza badala ya kusahihisha, usahihisha kosa kwa kuwapa lawama aliowakosea kama wezi, mafisadi wahujumu uchumi, wakati ni wafanya biashara,walipa kodi.
Watu walisema wafanyabiashara wanafunga biashara, yeye hakusikia? Lakini akujali!
 
Kwa hiyo ulitaka waendeleze Mambo ya kipumbavu ya magufuli

Yaani mtu anauliza kaa Nini hamna chanjo ya ukimwi

Hajui kabisa antigenic variations /strains za HIV
Au lentivirus anaropoka tu maskini

magufuli alikuwa mkemia mwanasayansi,sijui wewe una taaluma gani mkuu!!!

ndio maana aliyokuwa akinena,ndio yanatokea kwa sasa.

kama ni hivyo kwa HIV,umesikia balaa la corona,ina wave bro na tz tuna ya kwetu tofauti,endelea kutafakari.
 
kuna washauri wanamshauri mama pengine wanamshauri hivi ila nasema tu kufuta legacy ya JPM ni miaka 100 labda
Kama hutaki kuamini hatu kulazimishi
Magu ana sahaulika 100% ndani ya mwezi tu kwa mwezi parefu!
Atakumbukwa kwa roho mbaya tu
 
We jamaa unakuwa kama ulikuwa humjuwi jiwe.Style yake ya uongozi ndio imefanya watu wawe kama tunavyowaona sasa.Asilaumiwe mtu yoyote isipokuwa hayati
 
Back
Top Bottom