Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,751
- 3,691
Hakuna misuli tena
Dhulma ni laanaaa
Laana ya upande mmoja tu. Mkiiba kodi kupitia icd zenu sio laana . Ila waiba kodi wakibanwa warudishe walicho iba ni laana. Tutashuhudia mengi safari hii.
Hakuna misuli tena
Dhulma ni laanaaa
Rejea kauli yaa magufuli alisema ukimshauri ndio unafanya nini vile!?Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.
Ahsante,Nianze ka kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama yetu ,Samia Suluhu kwa hotuba mzuri,hotuba iliyobeba matumaini kwa Watanzani.
Hotuba ya leo hakika imejaa faraja na imani kubwa kwa watanzani kwamba huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi.
Katika Quraan sura ya 104(Surat Hummazah) aya ya kwanza ,Allah amewaonya walamba Visogo/Wasengenyaji "Backbiters".
Kifo cha Rais magufuli kimenifunza mambo mengi .Mosi Dunia ni mapito,tujitahidi kufanya mema kwa aiili ya baadae
Pili ,nimebaini Rais Magufuli alizungukwa na walamba visogo ,Watu ambao akiwa nao walikuwa wanamchekea akitoka wanamng'ong'a.
Hata Siku 21 za maombolezo hazijakamlika watu hao tyr wametanua makucha yao.
JPM alizungukwa na wasaidizi wanafiki.Makamu wa Rais ni mshauri namba moja wa Rais,kama Rais alisema jambo na ww ukachekelea ukaona linafaa leo hii hayupo unasema halifai ,ww tukuelewe vp?, Ni kama ulikuwa unasubir anguko lake ili umvue nguo hadharani.
Wakati mama anazungumzia miradi,kuna mahali alisema kuna miradi mingine ipo kwenye makaratasi sijui itawezekana ila nataka niione.Hivi alikuwa na maana gani?.
Afu akasema kuna Issue alikuwa anasolve baadae ikamshinda nguvu akaachana nayo.
Any way,naochotaka kusema hapa,Binadamu huwezi kupatia kila kitu,Yale ambayo Rais Magu aliteleza ni vema kuyarekebisha kwa hekima ukiangalia mzee hajatoka madarakani kwa kustaafu bali ni kifo.
Staili aliyoanza nayo ya kumponda mtangulizi wake na walikuwa wakifanya kazi pamoja itamletea shida.
RIP JPM
"Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Kazi iendelee"
Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.
Ahsante,Nianze ka kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama yetu ,Samia Suluhu kwa hotuba mzuri,hotuba iliyobeba matumaini kwa Watanzani.
Hotuba ya leo hakika imejaa faraja na imani kubwa kwa watanzani kwamba huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi.
Katika Quraan sura ya 104(Surat Hummazah) aya ya kwanza ,Allah amewaonya walamba Visogo/Wasengenyaji "Backbiters".
Kifo cha Rais magufuli kimenifunza mambo mengi .Mosi Dunia ni mapito,tujitahidi kufanya mema kwa aiili ya baadae
Pili ,nimebaini Rais Magufuli alizungukwa na walamba visogo ,Watu ambao akiwa nao walikuwa wanamchekea akitoka wanamng'ong'a.
Hata Siku 21 za maombolezo hazijakamlika watu hao tyr wametanua makucha yao.
JPM alizungukwa na wasaidizi wanafiki.Makamu wa Rais ni mshauri namba moja wa Rais,kama Rais alisema jambo na ww ukachekelea ukaona linafaa leo hii hayupo unasema halifai ,ww tukuelewe vp?, Ni kama ulikuwa unasubir anguko lake ili umvue nguo hadharani.
Wakati mama anazungumzia miradi,kuna mahali alisema kuna miradi mingine ipo kwenye makaratasi sijui itawezekana ila nataka niione.Hivi alikuwa na maana gani?.
Afu akasema kuna Issue alikuwa anasolve baadae ikamshinda nguvu akaachana nayo.
Any way,naochotaka kusema hapa,Binadamu huwezi kupatia kila kitu,Yale ambayo Rais Magu aliteleza ni vema kuyarekebisha kwa hekima ukiangalia mzee hajatoka madarakani kwa kustaafu bali ni kifo.
Staili aliyoanza nayo ya kumponda mtangulizi wake na walikuwa wakifanya kazi pamoja itamletea shida.
RIP JPM
"Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Kazi iendelee"
Vitu anavyo andika na kupost sasa hivi vinaleta ukakasi juu ya mahusiano yake na hayati. Kilangila.Mpeni salamu zangu Hamis Kigwangalla
Yaani huyo bwana mnafiki kweliVitu anavyo andika na kupost sasa hivi vinaleta ukakasi juu ya mahusiano yake na hayati. Kilangila.
Usilaumu mtu,shekh,JPM alikuwa hashauriki,hata hao wasaidizi wake walikuwa hawawezi kufanya kitu zaidi ya kumwambia anachotaka kusikia,waliopingana nae,yaliwakuta makubwa,wakapoteza ajira zao,umesahau kauli zake za ovyo"Mimi siambiwj hivyo"Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.
Ahsante,Nianze ka kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama yetu ,Samia Suluhu kwa hotuba mzuri,hotuba iliyobeba matumaini kwa Watanzani.
Hotuba ya leo hakika imejaa faraja na imani kubwa kwa watanzani kwamba huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi.
Katika Quraan sura ya 104(Surat Hummazah) aya ya kwanza ,Allah amewaonya walamba Visogo/Wasengenyaji "Backbiters".
Kifo cha Rais magufuli kimenifunza mambo mengi .Mosi Dunia ni mapito,tujitahidi kufanya mema kwa aiili ya baadae
Pili ,nimebaini Rais Magufuli alizungukwa na walamba visogo ,Watu ambao akiwa nao walikuwa wanamchekea akitoka wanamng'ong'a.
Hata Siku 21 za maombolezo hazijakamlika watu hao tyr wametanua makucha yao.
JPM alizungukwa na wasaidizi wanafiki.Makamu wa Rais ni mshauri namba moja wa Rais,kama Rais alisema jambo na ww ukachekelea ukaona linafaa leo hii hayupo unasema halifai ,ww tukuelewe vp?, Ni kama ulikuwa unasubir anguko lake ili umvue nguo hadharani.
Wakati mama anazungumzia miradi,kuna mahali alisema kuna miradi mingine ipo kwenye makaratasi sijui itawezekana ila nataka niione.Hivi alikuwa na maana gani?.
Afu akasema kuna Issue alikuwa anasolve baadae ikamshinda nguvu akaachana nayo.
Any way,naochotaka kusema hapa,Binadamu huwezi kupatia kila kitu,Yale ambayo Rais Magu aliteleza ni vema kuyarekebisha kwa hekima ukiangalia mzee hajatoka madarakani kwa kustaafu bali ni kifo.
Staili aliyoanza nayo ya kumponda mtangulizi wake na walikuwa wakifanya kazi pamoja itamletea shida.
RIP JPM
"Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Kazi iendelee"
Final and conclusive. Umemaliza kazi. Kilangila.Stalin baada ya kifo chake alirithiwa na Nikita Khrushchev., Siku mmoja akiwa ana hutubia Kamati Kuu huku akipinga sera nyingi ya mtangulizi wake, Mjumbe mmoja bila ya kujitambulisha alikereka na akamundikia ki note cha kumshutumu na kumlaumu, "we Nikita ulikua msaidizi wa Stalin, "kwa nini hukusema haya kipindi hicho Stalin akiwa hai?" Khrushchev akakisoma na akaomba Mjumbe aliye andika anyooshe mkono juu amtambue ili amjibu .Hakuna mkono uliyo nyooshwa, Khrushchev akasema "kinacho kushinda wewe kunyoosha mkono leo , ndo hicho hicho kilicho nishinda mimi kusema enzi hizo"
Ni zaidi ya unafiki. Kilangila.Yaani huyo bwana mnafiki kweli
Nakunbuka mtu mmoja mwenye hekima aliwahi kusemaMkuu huu ukweli ni mgumu saaana kuutafuna ila ndio hivyo ushausema.
Katika maisha yangu yoooote na utu uzima wangu wooote hua naamimi saana katika maufunzo ya muda.
Mpaka sasa kashapishana na makamu wake
Makamu; tutahakikisha miradi yoote inakamilika ili kumuenzi
Rais; miradi mingine iko kwenye makaratasi mpaka niione kwanza.
Maana yake kuna vitu viingi kwa hizi sentensi.
Kwa wachambuzi watagundua vitu vingi katika hili.
Mungu ibariki mama Tanzania
Mkuu Ukipenda sifa then unakua satisfied hapa duniani utapata wanafiki wengi sana. Tabia za phonies always they pay attention for the money, hivyo tusipende kusifiwa mda wote wengine sio wazur kwako watakusifia ili tu tonge lizame kwa kinywa 🤣. After that kung'ong'wa lazimaIkiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.
Ahsante,Nianze ka kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama yetu ,Samia Suluhu kwa hotuba mzuri,hotuba iliyobeba matumaini kwa Watanzani.
Hotuba ya leo hakika imejaa faraja na imani kubwa kwa watanzani kwamba huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi.
Katika Quraan sura ya 104(Surat Hummazah) aya ya kwanza ,Allah amewaonya walamba Visogo/Wasengenyaji "Backbiters".
Kifo cha Rais magufuli kimenifunza mambo mengi .Mosi Dunia ni mapito,tujitahidi kufanya mema kwa aiili ya baadae
Pili ,nimebaini Rais Magufuli alizungukwa na walamba visogo ,Watu ambao akiwa nao walikuwa wanamchekea akitoka wanamng'ong'a.
Hata Siku 21 za maombolezo hazijakamlika watu hao tyr wametanua makucha yao.
JPM alizungukwa na wasaidizi wanafiki.Makamu wa Rais ni mshauri namba moja wa Rais,kama Rais alisema jambo na ww ukachekelea ukaona linafaa leo hii hayupo unasema halifai ,ww tukuelewe vp?, Ni kama ulikuwa unasubir anguko lake ili umvue nguo hadharani.
Wakati mama anazungumzia miradi,kuna mahali alisema kuna miradi mingine ipo kwenye makaratasi sijui itawezekana ila nataka niione.Hivi alikuwa na maana gani?.
Afu akasema kuna Issue alikuwa anasolve baadae ikamshinda nguvu akaachana nayo.
Any way,naochotaka kusema hapa,Binadamu huwezi kupatia kila kitu,Yale ambayo Rais Magu aliteleza ni vema kuyarekebisha kwa hekima ukiangalia mzee hajatoka madarakani kwa kustaafu bali ni kifo.
Staili aliyoanza nayo ya kumponda mtangulizi wake na walikuwa wakifanya kazi pamoja itamletea shida.
RIP JPM
"Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Kazi iendelee"
Mkuu heshima yako, ila kwa uliyoyaona wewe umeyaona. Tuliyoyaona sisi nasi tumeona, tofauti zinaweza kuwa ni ndogo au kubwa lakini zipo. Jinsi yakuzielezea tutatofautiana. Ila kwa sasa na kwa siku nyingi sana, Rais anagusa pale ambapo wengi sana tulitegemea na furaha inayotawala sasa acha iendelee. Maendeleo hayana vyama lakini sote ni mashahidi. Tumuache Rais afanye kazi yake tumpe kila ushirikiano jamani tuache unafiki.Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.
Ahsante,Nianze ka kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama yetu ,Samia Suluhu kwa hotuba mzuri,hotuba iliyobeba matumaini kwa Watanzani.
Hotuba ya leo hakika imejaa faraja na imani kubwa kwa watanzani kwamba huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi.
Katika Quraan sura ya 104(Surat Hummazah) aya ya kwanza ,Allah amewaonya walamba Visogo/Wasengenyaji "Backbiters".
Kifo cha Rais magufuli kimenifunza mambo mengi .Mosi Dunia ni mapito,tujitahidi kufanya mema kwa aiili ya baadae
Pili ,nimebaini Rais Magufuli alizungukwa na walamba visogo ,Watu ambao akiwa nao walikuwa wanamchekea akitoka wanamng'ong'a.
Hata Siku 21 za maombolezo hazijakamlika watu hao tyr wametanua makucha yao.
JPM alizungukwa na wasaidizi wanafiki.Makamu wa Rais ni mshauri namba moja wa Rais,kama Rais alisema jambo na ww ukachekelea ukaona linafaa leo hii hayupo unasema halifai ,ww tukuelewe vp?, Ni kama ulikuwa unasubir anguko lake ili umvue nguo hadharani.
Wakati mama anazungumzia miradi,kuna mahali alisema kuna miradi mingine ipo kwenye makaratasi sijui itawezekana ila nataka niione.Hivi alikuwa na maana gani?.
Afu akasema kuna Issue alikuwa anasolve baadae ikamshinda nguvu akaachana nayo.
Any way,naochotaka kusema hapa,Binadamu huwezi kupatia kila kitu,Yale ambayo Rais Magu aliteleza ni vema kuyarekebisha kwa hekima ukiangalia mzee hajatoka madarakani kwa kustaafu bali ni kifo.
Staili aliyoanza nayo ya kumponda mtangulizi wake na walikuwa wakifanya kazi pamoja itamletea shida.
RIP JPM
"Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Kazi iendelee"
Wakati JK akiwa Rais, huyu mwendazake alikuwa akimsifia sana. Baada ya kupewa urais akasahau na kumnanga baba wa watu... tena akimkanya aache kiherehere....Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.