Kikulacho ki nguoni mwako, RIP Magufuli

Kikulacho ki nguoni mwako, RIP Magufuli

Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.

Ahsante,Nianze ka kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama yetu ,Samia Suluhu kwa hotuba mzuri,hotuba iliyobeba matumaini kwa Watanzani.

Hotuba ya leo hakika imejaa faraja na imani kubwa kwa watanzani kwamba huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi.

Katika Quraan sura ya 104(Surat Hummazah) aya ya kwanza ,Allah amewaonya walamba Visogo/Wasengenyaji "Backbiters".

Kifo cha Rais magufuli kimenifunza mambo mengi .Mosi Dunia ni mapito,tujitahidi kufanya mema kwa aiili ya baadae

Pili ,nimebaini Rais Magufuli alizungukwa na walamba visogo ,Watu ambao akiwa nao walikuwa wanamchekea akitoka wanamng'ong'a.

Hata Siku 21 za maombolezo hazijakamlika watu hao tyr wametanua makucha yao.

JPM alizungukwa na wasaidizi wanafiki.Makamu wa Rais ni mshauri namba moja wa Rais,kama Rais alisema jambo na ww ukachekelea ukaona linafaa leo hii hayupo unasema halifai ,ww tukuelewe vp?, Ni kama ulikuwa unasubir anguko lake ili umvue nguo hadharani.

Wakati mama anazungumzia miradi,kuna mahali alisema kuna miradi mingine ipo kwenye makaratasi sijui itawezekana ila nataka niione.Hivi alikuwa na maana gani?.

Afu akasema kuna Issue alikuwa anasolve baadae ikamshinda nguvu akaachana nayo.

Any way,naochotaka kusema hapa,Binadamu huwezi kupatia kila kitu,Yale ambayo Rais Magu aliteleza ni vema kuyarekebisha kwa hekima ukiangalia mzee hajatoka madarakani kwa kustaafu bali ni kifo.

Staili aliyoanza nayo ya kumponda mtangulizi wake na walikuwa wakifanya kazi pamoja itamletea shida.

RIP JPM
"Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Kazi iendelee"
Mkuki kwa nguruwe kwa mwanadamu mchungu....
 
Umetupa angalizo zuri na lenye mantiki. Nakupa kongole!

Yaani wewe uko kichwani mwangu, nawaza iweje mtu alifanya nae kazi ila yote walofa nya wote leo hayafai.
Kwakweli mm ni kati ya watu walioumizwa na kifo cha jpm nimeumia saaaana.

Nikawaza dk zake za mwisho atakuwa aliumia sana maana alijua haya yote yatatokea.

Wiki ijayo naenda chato. Nikamlilie kwa mara ya mwisho.sikubahatika kwenda mazishini. Maana naona maumivu hayaishi.

Kikulachooooo.
Rip jpm.
Yaan we acha tu,Mzee kaniuma sana huyu.

Sasa hivi naanza kuconnect dots kuhusu kifo cha huyu mzee kuhusu yale ninayoyasikia.Taarifa itakujae hapa soon
 
Huyu mama lazima arejeshe imani ya wafadhili na wawekezaji ambao mtangulizi wake aliua kabisa kwa ubabe tu wa kijinga akifikiri angetawala milele.
 
Kutoka lumumba buku7 , mataga, sukumer gang mpaka team kulialia...!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shikamoo bimkubwa nakusalimu katika jina la Jamhuri ya muunganiko
Kazi iendelee [emoji106]
20210406_214821.jpg
 
Stalin baada ya kifo chake alirithiwa na Nikita Khrushchev., Siku mmoja akiwa ana hutubia Kamati Kuu huku akipinga sera nyingi ya mtangulizi wake, Mjumbe mmoja bila ya kujitambulisha alikereka na akamundikia ki note cha kumshutumu na kumlaumu, "we Nikita ulikua msaidizi wa Stalin, "kwa nini hukusema haya kipindi hicho Stalin akiwa hai?" Khrushchev akakisoma na akaomba Mjumbe aliye andika anyooshe mkono juu amtambue ili amjibu .Hakuna mkono uliyo nyooshwa, Khrushchev akasema "kinacho kushinda wewe kunyoosha mkono leo , ndo hicho hicho kilicho nishinda mimi kusema enzi hizo"
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji106]
 
Kwa hiyo mama acopy ya JPM? Mbona yeye hakukopi ya JK?. Mfano mmoja JK aliishi na wapinzani kama Katiba inavyotaka lakini yeye kashindwa. Mlimpa U MUNGU ambao umemponza.
 
Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.

Ahsante,Nianze ka kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama yetu ,Samia Suluhu kwa hotuba mzuri,hotuba iliyobeba matumaini kwa Watanzani.

Hotuba ya leo hakika imejaa faraja na imani kubwa kwa watanzani kwamba huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi.

Katika Quraan sura ya 104(Surat Hummazah) aya ya kwanza ,Allah amewaonya walamba Visogo/Wasengenyaji "Backbiters".

Kifo cha Rais magufuli kimenifunza mambo mengi .Mosi Dunia ni mapito,tujitahidi kufanya mema kwa aiili ya baadae

Pili ,nimebaini Rais Magufuli alizungukwa na walamba visogo ,Watu ambao akiwa nao walikuwa wanamchekea akitoka wanamng'ong'a.

Hata Siku 21 za maombolezo hazijakamlika watu hao tyr wametanua makucha yao.

JPM alizungukwa na wasaidizi wanafiki.Makamu wa Rais ni mshauri namba moja wa Rais,kama Rais alisema jambo na ww ukachekelea ukaona linafaa leo hii hayupo unasema halifai ,ww tukuelewe vp?, Ni kama ulikuwa unasubir anguko lake ili umvue nguo hadharani.

Wakati mama anazungumzia miradi,kuna mahali alisema kuna miradi mingine ipo kwenye makaratasi sijui itawezekana ila nataka niione.Hivi alikuwa na maana gani?.

Afu akasema kuna Issue alikuwa anasolve baadae ikamshinda nguvu akaachana nayo.

Any way,naochotaka kusema hapa,Binadamu huwezi kupatia kila kitu,Yale ambayo Rais Magu aliteleza ni vema kuyarekebisha kwa hekima ukiangalia mzee hajatoka madarakani kwa kustaafu bali ni kifo.

Staili aliyoanza nayo ya kumponda mtangulizi wake na walikuwa wakifanya kazi pamoja itamletea shida.

RIP JPM
"Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Kazi iendelee"
Yeye alipokuwa anawasema watangulizi wake kwamba hawajafanya kitu we ulikuwa nchi gani?
 
Laana ya upande mmoja tu. Mkiiba kodi kupitia icd zenu sio laana . Ila waiba kodi wakibanwa warudishe walicho iba ni laana. Tutashuhudia mengi safari hii.

Unaposema mkiiba
Hapo sijaelewa ila hayo ni maneno kuntu
Ingawa dhulma na Wizi vinashabihiana
 
Kama kuna watu walioamua kuachana na sera za watangulizi wake ni dead stone. Jamaa alihakikisha anawachafua watangulizi wote na kujiimarisha yeye kwenye mioyo ya wajinga kwamba yeye ndio Messiah.

Hatutaki kabisa mambo yake tunajua alikuwa mpigaji sana ndio maana Rais amesema kuna miradi ambayo ipo kwenye makaratasi yani in English wanaita "white elephant projects" yani haitekelezeki na ukiutekeleza hautaleta return za investment ulivyofanya.

Kuna miradi hewa mingi tu kama uwanja wa ndege wa Chato at the same time unahamisha Chato kutoka Geita wakati Geita ndio inahitaji uwanja kuliko hapo Chato. Pia uwanja wa mpira Chato wa nini kule? Yani kweli kabisa? Haya Ile Hotel 3 star kule chato inajengwa ya nini??????? Hii ni miradi ambayo kiukweli ipo kwenye makaratasi tu.
 
Mkuu huu ukweli ni mgumu saaana kuutafuna ila ndio hivyo ushausema.

Katika maisha yangu yoooote na utu uzima wangu wooote hua naamimi saana katika maufunzo ya muda.

Mpaka sasa kashapishana na makamu wake

Makamu; tutahakikisha miradi yoote inakamilika ili kumuenzi

Rais; miradi mingine iko kwenye makaratasi mpaka niione kwanza.

Maana yake kuna vitu viingi kwa hizi sentensi.
Kwa wachambuzi watagundua vitu vingi katika hili.

Mungu ibariki mama Tanzania

Kujua mambo haya unahitaji Hekima kubwa sana. Lakini kwa sababu tuna macho wala hatuoni na tuna masikio ila hatusikii si rahisi kueleweka. Ila mbele liko jambo kikubwa uzima.
 
Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.

Ahsante,Nianze ka kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama yetu ,Samia Suluhu kwa hotuba mzuri,hotuba iliyobeba matumaini kwa Watanzani.

Hotuba ya leo hakika imejaa faraja na imani kubwa kwa watanzani kwamba huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi.

Katika Quraan sura ya 104(Surat Hummazah) aya ya kwanza ,Allah amewaonya walamba Visogo/Wasengenyaji "Backbiters".

Kifo cha Rais magufuli kimenifunza mambo mengi .Mosi Dunia ni mapito,tujitahidi kufanya mema kwa aiili ya baadae

Pili ,nimebaini Rais Magufuli alizungukwa na walamba visogo ,Watu ambao akiwa nao walikuwa wanamchekea akitoka wanamng'ong'a.

Hata Siku 21 za maombolezo hazijakamlika watu hao tyr wametanua makucha yao.

JPM alizungukwa na wasaidizi wanafiki.Makamu wa Rais ni mshauri namba moja wa Rais,kama Rais alisema jambo na ww ukachekelea ukaona linafaa leo hii hayupo unasema halifai ,ww tukuelewe vp?, Ni kama ulikuwa unasubir anguko lake ili umvue nguo hadharani.

Wakati mama anazungumzia miradi,kuna mahali alisema kuna miradi mingine ipo kwenye makaratasi sijui itawezekana ila nataka niione.Hivi alikuwa na maana gani?.

Afu akasema kuna Issue alikuwa anasolve baadae ikamshinda nguvu akaachana nayo.

Any way,naochotaka kusema hapa,Binadamu huwezi kupatia kila kitu,Yale ambayo Rais Magu aliteleza ni vema kuyarekebisha kwa hekima ukiangalia mzee hajatoka madarakani kwa kustaafu bali ni kifo.

Staili aliyoanza nayo ya kumponda mtangulizi wake na walikuwa wakifanya kazi pamoja itamletea shida.

RIP JPM
"Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Kazi iendelee"
Kwani Marehemu hakuwa anapiga makofi Bungeni na kumsifikia Kikwete? Alipoingia Madarakani hakupinga baadhi ya aliyemtangulia? Mwacheni afanye kazi, unalako wewe?
 
Magufuli hakuwahi kupokea ushauri wa mtu
 
Urais huu ni matokeo ya ajali ya kikatiba. Utasababisha maumivu makubwa sana kwa taifa.
Mwenyezi Mungu ninaemwamini hana hulka ya kuruhusu mambo yakafanyika kwa ajali na kikatiba...vinginevyo nisingetumia maneno Mungu ametwaa...kwenye maombolezo ya niwapendao....
 
Huyo kakandamiza wengi na ameweka uchumi wa nchi ICU, acheni kumsingizia mama eti ndo anamponda...
 
Ni mapema kumjudge mama kuhusu misimamo yake na magufuli. Mi naona yuko committed kwa course ya magufuli huenda hujamuelewa tu. Pia ujue style ya mama itatofautiana. Mi hofu ni opportunists na majasusi wa ubeberu kumpotosha. Tuombe mungu mama aweze kuhimili mawimbi kutupeleka kwenye vision ya magufuli.
Hofu yako kama yangu...Hasa pale aliposema wazi kwamba tunawahitaji wao zaidi...Believe me mabeberu hapo watatuma ndoana kadhaa kumnasa pasipo kujua...Maana wametuaminisha hayo na ndiyo wimbo wao kwetu tuamini hivyo...Contrary, wao wanatuhutaji zaidi kuliko sisi..Nitaeleza

Sisi kama nchi maendeleo yetu si makubwa kiasi hicho na kama ni kupanda basi tumepanda kwenye kichuguu tu kwahiyo hata tungefungiwa kila kitu bado tunaweza kujiendesha kwakua asilimia kubwa ya raia wetu tofauti na nchi nyingi za Africa, ina access kwenye ardhi

Nchi za wenzetu hasa zilizoendelea, wameshakuwa tegemezi kwa technology na dunia inayokuja madini 80% yapo Africa hivyo hawawezi tena kuishi pasipo Africa na maliasili zake...Hapo sasa nani anayemhitaji mwenzake zaidi?

Yet wamesha i define Africa kama resource base, kwahiyo any move tofauti na hiyo trajectory wanai monitor vilivyo...So the only way ilikuwa kuwaonyesha we know they have everything to loose kama hawata negotiate vizuri yetu we have nothing to loose because we are already loosers kwakua hatufaidiki kwa chochote zaidi ya kutumyonya; BUT siyo kwakuwapigia makelele.... Ni ngumu kupigana na mtu ambaye hana chakupoteza na aliyepoteza matumaini hii ndiyo tungeionyesha wazi wazi hata kama ndani mwetu tuna ka uwoga fulani hivi...Hiki ndicho kili chowaogopesha hao whites kutoka kwa hayati Dr. JPM he was ready even to die kuliko ku compromise na kwakweli ndiyo maana alisakamwa sana ili wengine wasije wakam join ikawa tabu kwao....Sasa unaweza usiwa confront ila wakajua basically you are not that much worried kama wanavyotaka tuwe
 
Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.

Ahsante,Nianze ka kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama yetu ,Samia Suluhu kwa hotuba mzuri,hotuba iliyobeba matumaini kwa Watanzani.

Hotuba ya leo hakika imejaa faraja na imani kubwa kwa watanzani kwamba huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi.

Katika Quraan sura ya 104(Surat Hummazah) aya ya kwanza ,Allah amewaonya walamba Visogo/Wasengenyaji "Backbiters".

Kifo cha Rais magufuli kimenifunza mambo mengi .Mosi Dunia ni mapito,tujitahidi kufanya mema kwa aiili ya baadae

Pili ,nimebaini Rais Magufuli alizungukwa na walamba visogo ,Watu ambao akiwa nao walikuwa wanamchekea akitoka wanamng'ong'a.

Hata Siku 21 za maombolezo hazijakamlika watu hao tyr wametanua makucha yao.

JPM alizungukwa na wasaidizi wanafiki.Makamu wa Rais ni mshauri namba moja wa Rais,kama Rais alisema jambo na ww ukachekelea ukaona linafaa leo hii hayupo unasema halifai ,ww tukuelewe vp?, Ni kama ulikuwa unasubir anguko lake ili umvue nguo hadharani.

Wakati mama anazungumzia miradi,kuna mahali alisema kuna miradi mingine ipo kwenye makaratasi sijui itawezekana ila nataka niione.Hivi alikuwa na maana gani?.

Afu akasema kuna Issue alikuwa anasolve baadae ikamshinda nguvu akaachana nayo.

Any way,naochotaka kusema hapa,Binadamu huwezi kupatia kila kitu,Yale ambayo Rais Magu aliteleza ni vema kuyarekebisha kwa hekima ukiangalia mzee hajatoka madarakani kwa kustaafu bali ni kifo.

Staili aliyoanza nayo ya kumponda mtangulizi wake na walikuwa wakifanya kazi pamoja itamletea shida.

RIP JPM
"Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Kazi iendelee"
huwa sishauriki
 
Back
Top Bottom