Mkorosho ni mti ambao ndiyo ninaweza kuufananisha na utawala huu wa awamu ya tano na ya sita. Kutokana na kilimo hiki cha korosho kuletewa mizengwe mpaka ikafikia wakulima waone kama wamedhulumiwa kwenye mazao yao, mwisho hata kwenye vikatuni vikimchora mtu kama anakichwa cha korosho. Lakini ukweli mama Samia ndiye mwenye bahati ya korosho, kwani korosho huwa ni kikonyo kinachokaa chini ya tunda la nini kwa bahati mbaya bibo huwa halina thamani kutokana na asili ya ladha yake ya ukafu, ukilila mara linakupalia na kukusababishia kikohozi na kitu cha mwisho watu hufanya Pombe ambayo baadhi ya walevi huitumia. Lakini korosho ndiyo yenye thamani na yenye faida hata katika mwili wa binadamu. Hivyo awamu ya tano ni ilikuwa ya bibo lenye lutengeza Pombe na awamu ya sita ni ya korosho iliyotokana na bibo. Hivyo tutegemee kupata faida kama vile korosho inavyoleta faida kama zao la biashara na chakula chenye kirutubisho mwilini.Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.
Ahsante,Nianze ka kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama yetu ,Samia Suluhu kwa hotuba mzuri,hotuba iliyobeba matumaini kwa Watanzani.
Hotuba ya leo hakika imejaa faraja na imani kubwa kwa watanzani kwamba huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi.
Katika Quraan sura ya 104(Surat Hummazah) aya ya kwanza ,Allah amewaonya walamba Visogo/Wasengenyaji "Backbiters".
Kifo cha Rais magufuli kimenifunza mambo mengi .Mosi Dunia ni mapito,tujitahidi kufanya mema kwa aiili ya baadae
Pili ,nimebaini Rais Magufuli alizungukwa na walamba visogo ,Watu ambao akiwa nao walikuwa wanamchekea akitoka wanamng'ong'a.
Hata Siku 21 za maombolezo hazijakamlika watu hao tyr wametanua makucha yao.
JPM alizungukwa na wasaidizi wanafiki.Makamu wa Rais ni mshauri namba moja wa Rais,kama Rais alisema jambo na ww ukachekelea ukaona linafaa leo hii hayupo unasema halifai ,ww tukuelewe vp?, Ni kama ulikuwa unasubir anguko lake ili umvue nguo hadharani.
Wakati mama anazungumzia miradi,kuna mahali alisema kuna miradi mingine ipo kwenye makaratasi sijui itawezekana ila nataka niione.Hivi alikuwa na maana gani?.
Afu akasema kuna Issue alikuwa anasolve baadae ikamshinda nguvu akaachana nayo.
Any way,naochotaka kusema hapa,Binadamu huwezi kupatia kila kitu,Yale ambayo Rais Magu aliteleza ni vema kuyarekebisha kwa hekima ukiangalia mzee hajatoka madarakani kwa kustaafu bali ni kifo.
Staili aliyoanza nayo ya kumponda mtangulizi wake na walikuwa wakifanya kazi pamoja itamletea shida.
RIP JPM
"Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Kazi iendelee"
Kwa jina la jamhuri ya muungano.
Kazi iendelee.
nilikaa kimya kumuombea mdogo wangu, inatosha.