Kikulacho ki nguoni mwako, RIP Magufuli

Kutoka lumumba buku7 , mataga, sukumer gang mpaka team kulialia...!! shikamoo bimkubwa nakusalimu katika jina la Jamhuri ya muunganiko
Aisee Mzee alikuwa na roho mbaya yule
Ata sahaulika ndani ya mwezi tu!
Kwa tarifa yao Mama tunampa miaka 30 aongoze Jamuhuri na kazi ziendelee!
 
magufuli alikuwa mkemia mwanasayansi,sijui wewe una taaluma gani mkuu!!!

ndio maana aliyokuwa akinena,ndio yanatokea kwa sasa.

kama ni hivyo kwa HIV,umesikia balaa la corona,ina wave bro na tz tuna ya kwetu tofauti,endelea kutafakari.
Variation za covid no tof
magufuli alikuwa mkemia mwanasayansi,sijui wewe una taaluma gani mkuu!!!

ndio maana aliyokuwa akinena,ndio yanatokea kwa sasa.

kama ni hivyo kwa HIV,umesikia balaa la corona,ina wave bro na tz tuna ya kwetu tofauti,endelea kutafakari.
Variation za covid ziko tofauti na HIV
Tuna variations Kama vile B.1.427 B.1.429 na hii nyingine B.1.351tofauti kabisa na strains za HIV

Yeye alkua mkemia ukemia unaingiaje kwenye taaluma yetu ya udaktari eti HIV haina chanjo that was the stupid question ya century
 
Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.

Ahsante,Nianze ka kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama yetu ,Samia Suluhu kwa hotuba mzuri,hotuba iliyobeba matumaini kwa Watanzani.

Hotuba ya leo hakika imejaa faraja na imani kubwa kwa watanzani kwamba huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi.

Katika Quraan sura ya 104(Surat Hummazah) aya ya kwanza ,Allah amewaonya walamba Visogo/Wasengenyaji "Backbiters".

Kifo cha Rais magufuli kimenifunza mambo mengi .Mosi Dunia ni mapito,tujitahidi kufanya mema kwa aiili ya baadae

Pili ,nimebaini Rais Magufuli alizungukwa na walamba visogo ,Watu ambao akiwa nao walikuwa wanamchekea akitoka wanamng'ong'a.

Hata Siku 21 za maombolezo hazijakamlika watu hao tyr wametanua makucha yao.

JPM alizungukwa na wasaidizi wanafiki.Makamu wa Rais ni mshauri namba moja wa Rais,kama Rais alisema jambo na ww ukachekelea ukaona linafaa leo hii hayupo unasema halifai ,ww tukuelewe vp?, Ni kama ulikuwa unasubir anguko lake ili umvue nguo hadharani.

Wakati mama anazungumzia miradi,kuna mahali alisema kuna miradi mingine ipo kwenye makaratasi sijui itawezekana ila nataka niione.Hivi alikuwa na maana gani?.

Afu akasema kuna Issue alikuwa anasolve baadae ikamshinda nguvu akaachana nayo.

Any way,naochotaka kusema hapa,Binadamu huwezi kupatia kila kitu,Yale ambayo Rais Magu aliteleza ni vema kuyarekebisha kwa hekima ukiangalia mzee hajatoka madarakani kwa kustaafu bali ni kifo.

Staili aliyoanza nayo ya kumponda mtangulizi wake na walikuwa wakifanya kazi pamoja itamletea shida.

RIP JPM
"Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Kazi iendelee"
Mwache Mama apambane ila ajue tu viatu vya JPM ni vikubwa sana!
 
Alikuwa haambiliki, kuna kuna wakati aliwaambia wastaafu wanawashwa washwa!
 
Muacheni #Mama afanye kazi.
Ana kazi kubwa ya kuweka sawa nchi iloharibiwa kila seem, kuirudisha katika truck nzuri sio kazi ndogo.
MF. Ajira, kufufua biashara zilizofungwa, Kuongeza mishahara wafanyakazi, Kuondoa Genge la mwendazake, Deni LA taifa likoje sasa
Mama kwa 21 days only ameonyesha where the country was going wrong and where we are going now..
Wenye akili wamepata tumaini jipya.Viva Samia
 
Kila zama na kitabu chake, mama wala hana haja ya kuwa committed kwa cause ya jiwe
Ni mapema kumjudge mama kuhusu misimamo yake na magufuli. Mi naona yuko committed kwa course ya magufuli huenda hujamuelewa tu. Pia ujue style ya mama itatofautiana. Mi hofu ni opportunists na majasusi wa ubeberu kumpotosha. Tuombe mungu mama aweze kuhimili mawimbi kutupeleka kwenye vision ya magufuli.
 
"JPM alizungukwa na wasaidizi wanafiki.Makamu wa Rais ni mshauri namba moja wa Rais,kama Rais alisema jambo na ww ukachekelea ukaona linafaa leo hii hayupo unasema halifai ,ww tukuelewe vp?, Ni kama ulikuwa unasubir anguko lake ili umvue nguo hadharani".
 
Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.

Ahsante,Nianze ka kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama yetu ,Samia Suluhu kwa hotuba mzuri,hotuba iliyobeba matumaini kwa Watanzani.

Hotuba ya leo hakika imejaa faraja na imani kubwa kwa watanzani kwamba huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi.

Katika Quraan sura ya 104(Surat Hummazah) aya ya kwanza ,Allah amewaonya walamba Visogo/Wasengenyaji "Backbiters".

Kifo cha Rais magufuli kimenifunza mambo mengi .Mosi Dunia ni mapito,tujitahidi kufanya mema kwa aiili ya baadae

Pili ,nimebaini Rais Magufuli alizungukwa na walamba visogo ,Watu ambao akiwa nao walikuwa wanamchekea akitoka wanamng'ong'a.

Hata Siku 21 za maombolezo hazijakamlika watu hao tyr wametanua makucha yao.

JPM alizungukwa na wasaidizi wanafiki.Makamu wa Rais ni mshauri namba moja wa Rais,kama Rais alisema jambo na ww ukachekelea ukaona linafaa leo hii hayupo unasema halifai ,ww tukuelewe vp?, Ni kama ulikuwa unasubir anguko lake ili umvue nguo hadharani.

Wakati mama anazungumzia miradi,kuna mahali alisema kuna miradi mingine ipo kwenye makaratasi sijui itawezekana ila nataka niione.Hivi alikuwa na maana gani?.

Afu akasema kuna Issue alikuwa anasolve baadae ikamshinda nguvu akaachana nayo.

Any way,naochotaka kusema hapa,Binadamu huwezi kupatia kila kitu,Yale ambayo Rais Magu aliteleza ni vema kuyarekebisha kwa hekima ukiangalia mzee hajatoka madarakani kwa kustaafu bali ni kifo.

Staili aliyoanza nayo ya kumponda mtangulizi wake na walikuwa wakifanya kazi pamoja itamletea shida.

RIP JPM
"Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Kazi iendelee"
MITANO TENA KWA MAMA
 
Weka namba ya simu wee mlamba kisogo.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Mama alikua na wakati mgumu sana kufanya kazi na yule mtu, yani nae atakua ameteseka kama sisi wananchi wa kawaida.

"mimi sio mtu wa kushauriwa, tena ukinishauri ndio unaharibu"

JPM- shujaa wa zamani.
Sijaacha kukupenda wewe mwanamke hata siku Moja ulichoandika ndio nilichokua nawaza kuandika,Sasa siandiki nimekupa laiki.
Hii maneno Broo aliitamka mbele ya maiki na makamera.
Inasemwa mama aliwahi taka sepa Mara kadhaa lakini wahenga wakamsihi.
Kumshauri Jiwe ilikua Ni sawa na kujilipua.
"Na ilifikiriwa kuwa washauri wake wote yeye ndio huwashauri".
 
Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.

Ahsante,Nianze ka kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama yetu ,Samia Suluhu kwa hotuba mzuri,hotuba iliyobeba matumaini kwa Watanzani.

Hotuba ya leo hakika imejaa faraja na imani kubwa kwa watanzani kwamba huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi.

Katika Quraan sura ya 104(Surat Hummazah) aya ya kwanza ,Allah amewaonya walamba Visogo/Wasengenyaji "Backbiters".

Kifo cha Rais magufuli kimenifunza mambo mengi .Mosi Dunia ni mapito,tujitahidi kufanya mema kwa aiili ya baadae

Pili ,nimebaini Rais Magufuli alizungukwa na walamba visogo ,Watu ambao akiwa nao walikuwa wanamchekea akitoka wanamng'ong'a.

Hata Siku 21 za maombolezo hazijakamlika watu hao tyr wametanua makucha yao.

JPM alizungukwa na wasaidizi wanafiki.Makamu wa Rais ni mshauri namba moja wa Rais,kama Rais alisema jambo na ww ukachekelea ukaona linafaa leo hii hayupo unasema halifai ,ww tukuelewe vp?, Ni kama ulikuwa unasubir anguko lake ili umvue nguo hadharani.

Wakati mama anazungumzia miradi,kuna mahali alisema kuna miradi mingine ipo kwenye makaratasi sijui itawezekana ila nataka niione.Hivi alikuwa na maana gani?.

Afu akasema kuna Issue alikuwa anasolve baadae ikamshinda nguvu akaachana nayo.

Any way,naochotaka kusema hapa,Binadamu huwezi kupatia kila kitu,Yale ambayo Rais Magu aliteleza ni vema kuyarekebisha kwa hekima ukiangalia mzee hajatoka madarakani kwa kustaafu bali ni kifo.

Staili aliyoanza nayo ya kumponda mtangulizi wake na walikuwa wakifanya kazi pamoja itamletea shida.

RIP JPM
"Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Kazi iendelee"
Jiwe alikua hashauriki mkuu ,
Yeye. Mwenyewe alishawahi kusema kua ukimshauri ndio umeharibu kabisa
Sasa unadhania kwa hali hiyyo watu watafanyaje watamuacha afanye anavyotaka na kwa sababu katiba ilikua inambeba kulikua hakuna namna .

Na za chini chini huyu mama na jiwe walikua hawaendani kabisa alikua hakubaliani na jiwe na alitaka kujizuru šema jk na mkapa walimsihi aendelee
 
Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.

Ahsante,Nianze ka kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama yetu ,Samia Suluhu kwa hotuba mzuri,hotuba iliyobeba matumaini kwa Watanzani.

Hotuba ya leo hakika imejaa faraja na imani kubwa kwa watanzani kwamba huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi.

Katika Quraan sura ya 104(Surat Hummazah) aya ya kwanza ,Allah amewaonya walamba Visogo/Wasengenyaji "Backbiters".

Kifo cha Rais magufuli kimenifunza mambo mengi .Mosi Dunia ni mapito,tujitahidi kufanya mema kwa aiili ya baadae

Pili ,nimebaini Rais Magufuli alizungukwa na walamba visogo ,Watu ambao akiwa nao walikuwa wanamchekea akitoka wanamng'ong'a.

Hata Siku 21 za maombolezo hazijakamlika watu hao tyr wametanua makucha yao.

JPM alizungukwa na wasaidizi wanafiki.Makamu wa Rais ni mshauri namba moja wa Rais,kama Rais alisema jambo na ww ukachekelea ukaona linafaa leo hii hayupo unasema halifai ,ww tukuelewe vp?, Ni kama ulikuwa unasubir anguko lake ili umvue nguo hadharani.

Wakati mama anazungumzia miradi,kuna mahali alisema kuna miradi mingine ipo kwenye makaratasi sijui itawezekana ila nataka niione.Hivi alikuwa na maana gani?.

Afu akasema kuna Issue alikuwa anasolve baadae ikamshinda nguvu akaachana nayo.

Any way,naochotaka kusema hapa,Binadamu huwezi kupatia kila kitu,Yale ambayo Rais Magu aliteleza ni vema kuyarekebisha kwa hekima ukiangalia mzee hajatoka madarakani kwa kustaafu bali ni kifo.

Staili aliyoanza nayo ya kumponda mtangulizi wake na walikuwa wakifanya kazi pamoja itamletea shida.

RIP JPM
"Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Kazi iendelee"
Umesahau au ulikuwa hujui jinsi alivyoishi kwa shida hasa ktk utendaji kazi wakati akiwa na mtangulizi wake.

Acheni ninyi timu mwenda zake, nia yenu kumkwamisha.
Mmeona ulaji umekata
Hatutalifumbia macho hilo, tutakula nanyi sahani moja
 
Mkuu huu ukweli ni mgumu saaana kuutafuna ila ndio hivyo ushausema.

Katika maisha yangu yoooote na utu uzima wangu wooote hua naamimi saana katika maufunzo ya muda.

Mpaka sasa kashapishana na makamu wake

Makamu; tutahakikisha miradi yoote inakamilika ili kumuenzi

Rais; miradi mingine iko kwenye makaratasi mpaka niione kwanza.

Maana yake kuna vitu viingi kwa hizi sentensi.
Kwa wachambuzi watagundua vitu vingi katika hili.

Mungu ibariki mama Tanzania
Mmemuweka makamu ili amwongoze mama ili zama za magufuli zisipotee
Mmeula wa chuya
 
Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.

Ahsante,Nianze ka kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama yetu ,Samia Suluhu kwa hotuba mzuri,hotuba iliyobeba matumaini kwa Watanzani.

Hotuba ya leo hakika imejaa faraja na imani kubwa kwa watanzani kwamba huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi.

Katika Quraan sura ya 104(Surat Hummazah) aya ya kwanza ,Allah amewaonya walamba Visogo/Wasengenyaji "Backbiters".

Kifo cha Rais magufuli kimenifunza mambo mengi .Mosi Dunia ni mapito,tujitahidi kufanya mema kwa aiili ya baadae

Pili ,nimebaini Rais Magufuli alizungukwa na walamba visogo ,Watu ambao akiwa nao walikuwa wanamchekea akitoka wanamng'ong'a.

Hata Siku 21 za maombolezo hazijakamlika watu hao tyr wametanua makucha yao.

JPM alizungukwa na wasaidizi wanafiki.Makamu wa Rais ni mshauri namba moja wa Rais,kama Rais alisema jambo na ww ukachekelea ukaona linafaa leo hii hayupo unasema halifai ,ww tukuelewe vp?, Ni kama ulikuwa unasubir anguko lake ili umvue nguo hadharani.

Wakati mama anazungumzia miradi,kuna mahali alisema kuna miradi mingine ipo kwenye makaratasi sijui itawezekana ila nataka niione.Hivi alikuwa na maana gani?.

Afu akasema kuna Issue alikuwa anasolve baadae ikamshinda nguvu akaachana nayo.

Any way,naochotaka kusema hapa,Binadamu huwezi kupatia kila kitu,Yale ambayo Rais Magu aliteleza ni vema kuyarekebisha kwa hekima ukiangalia mzee hajatoka madarakani kwa kustaafu bali ni kifo.

Staili aliyoanza nayo ya kumponda mtangulizi wake na walikuwa wakifanya kazi pamoja itamletea shida.

RIP JPM
"Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Kazi iendelee"
Umetumwa kumponda rais kiaina? Haya kamwambie aliyekutuma, ujumbe umefikisha.
 
Mbona Magu alikuwa anamponda Kikwete waziwazi na hujawahi kusema kitu hapa. Hadi akasema kuna wastaafu wanawashwa washwa! Hilo ni tusi kubwa. Kila mtu anajua Magu alikuwa haambiliki! Na ukijaribu kumshauri anaweza sema umetumwa na mabeberu. Kila mtu aliishi kwa hofu, Salama pekee ilikuwa Ni kunyamaza. Watu wanapumua sasa
 
Napendekeza kwanza mama atimize ile ndoto ya hayati ya kuifanya Chato kuwa kitovu cha utalii na si utitiri kama akina fulani wanavyotaka iwe
Utamlazimisha mzungu aache kwenda Serengeti aende chato kwenye wanyama wa kuhesabu wa kubebwa na malori. Akili zako Ni sawa na za marehemu kiongozi wa malaika waasi
 
Back
Top Bottom