Kikulacho ki nguoni mwako, RIP Magufuli

Kikulacho ki nguoni mwako, RIP Magufuli

Kwani Mwenzetu upon Nchi gani,huyo Mama alikuwa aachie ngazi toka kitambo sababu walikuwa hawapikiki yeye na Magufuli,bahati nzuri tu akina Mkapa na Kikwete wakamshauri akarudi.
Sasa mwenzetu unataka aendelee na kile kile ambacho alikuwa hakitaki.
Sijui watu wanakuwa wapi kuyajua haya. Mama alikwepo kwenye ule utawala "basi tu" ila Mungu alikuwa na mpango wake.

YESU NI MWOKOZI
 
Tabia ya CCM kuponda mtangulizi wake.inaelekea watanzania tunapenda.kiongozi ambaye akupondwa ni Nyerere tu.
Punguza uchungu.tofauti mh dk JPM ameenda mbele ya haki
 
Kitu ambacho hamkijui ni kwamba tupo kwenye wakati mgumu kiuchumi, kidplomasia, ata umoja wetu wa ndani haupo vizuri. Mama anakazi kubwa sana ya kurekebisha hayo mambo na hakika umeanza vyema.

Tatizo letu sisi tunaleta uzalendo fake wa kumpenda mtu badala ya nchi. Kwangu mimi kama njia pekee ya kuliponya nchi ni kuibokoa legacy ya mwendazake basi wacha ibomoke.

Kwa sasa ni lazima tumuunge mkono Rais mama Samia na serikali yake, Hayati Magufuli kashamaliza yake hivyo tumwache apumzike
 
Umenena vema mkuu ingawa wengi watakupinga ila ndio ukweli halisi

Ingawaje nilikuwa sikubaliani na HAYATI MAGUFURI kwa kiasi kikubwa kutokana na mtindo wa utawala wake
Ila moto anaokuja nao MAMA SAMIHA inapaswa atumie HEKIMA katika kuzungumza
Akumbuke MANENO ndio yaliokuwa yanamponza HAYATI MAGUFURI mpk kuwa na MAADUI wengi hasa,wananchi wake

MAMA SAMIHA asiwe mwingi wa maneno
Awe mwingi wa kutekeleza ili vitendo vimtofautishe na HAYATI MAGUFURI
ameanza vizuri ila anapokwenda wanaomzunguka watampoteza na kumfanya haonekane mbaya kwa wananchi wake

Ni km hivi saaa WANAFIQ kwa HAYATI MAGUFURI walivyoanza kuonekana sasa hata HITIMA hatujasoma

Katika UISLAM tunaamini
Ili uwe kiongozi bora unapaswa
Uwe na ELIMU HEKIMA na BUSARA
Hvyo kama ukiwa na ELIMU kubwa lkn ukashindwa kuzitawala HEKIMA na BUSARA katika maneno na matendo yako
Unakosa TUNU ya kiongozi BORA
Lakini pia ukashindwa kuitumia ELIMU yako vizuri kwa unaowaongoza inakuwa HASARA kubwa kwa unaowaongoza
Leo na Kesho QIYAMA

Dunia tunapita vyote tutaviacha
MAGUFURI kaiacha Tanzania na tumeshaanza kumsahau ingawa tutamkumbuka kwa maneno na vitendo vyake kwa idadi ya mazuri yake na mabaya yake
Tujitahidi tuishi kwa wema na uzuri ili tukishatangulia mbele ya HAKI tukumbukane kwa uzuri

Yote kwa yote
Hakuna BINADAMU aliyekamilika sote tunakosea tunakoseana na hata tunamkosea MUNGU
Ila tujitahidi kuchunga KAURI ZETU 7bu
Maneno yakishatoka hayarudi
Maneno yakishatoka kila mtu anaelewa vile anavyoona yeye kaelewa
Sio wote watakuelewa ulivyomaanisha
Kunywa soda mjomba nitalipa,Ajue na yeye aseme asemavyo hapo hatakaa milele.Hata kama mtangulizi wake alikosea yeye hapaswi kurudia makosa.Akikosa hekima ataumbuka.
 
Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.

Ahsante,Nianze ka kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama yetu ,Samia Suluhu kwa hotuba mzuri,hotuba iliyobeba matumaini kwa Watanzani.

Hotuba ya leo hakika imejaa faraja na imani kubwa kwa watanzani kwamba huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi.

Katika Quraan sura ya 104(Surat Hummazah) aya ya kwanza ,Allah amewaonya walamba Visogo/Wasengenyaji "Backbiters".

Kifo cha Rais magufuli kimenifunza mambo mengi .Mosi Dunia ni mapito,tujitahidi kufanya mema kwa aiili ya baadae

Pili ,nimebaini Rais Magufuli alizungukwa na walamba visogo ,Watu ambao akiwa nao walikuwa wanamchekea akitoka wanamng'ong'a.

Hata Siku 21 za maombolezo hazijakamlika watu hao tyr wametanua makucha yao.

JPM alizungukwa na wasaidizi wanafiki.Makamu wa Rais ni mshauri namba moja wa Rais,kama Rais alisema jambo na ww ukachekelea ukaona linafaa leo hii hayupo unasema halifai ,ww tukuelewe vp?, Ni kama ulikuwa unasubir anguko lake ili umvue nguo hadharani.

Wakati mama anazungumzia miradi,kuna mahali alisema kuna miradi mingine ipo kwenye makaratasi sijui itawezekana ila nataka niione.Hivi alikuwa na maana gani?.

Afu akasema kuna Issue alikuwa anasolve baadae ikamshinda nguvu akaachana nayo.

Any way,naochotaka kusema hapa,Binadamu huwezi kupatia kila kitu,Yale ambayo Rais Magu aliteleza ni vema kuyarekebisha kwa hekima ukiangalia mzee hajatoka madarakani kwa kustaafu bali ni kifo.

Staili aliyoanza nayo ya kumponda mtangulizi wake na walikuwa wakifanya kazi pamoja itamletea shida.

RIP JPM
"Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Kazi iendelee"
ki

Kila Rais anaunda timu yake..hata JPM aliponda mengi ya watangulizi wake....
Kuna haja gani ya kuwa na Rais mwingine kama hakuna mabadiliko..
JPM ameongoza jahazi kwa namna yake, huyu nae aongoze kwa namna yake. ndivyo ilivyo
 
Binadam tunasahau mapema sana ,mm nakumbuka magufuru alivyoingia madarakan kulikua na mirad ming tu mmoja wapo bandar ya bagamoyo ,akaupga chin kwa maneno meng tu ,je mtoa uz ulioj ilo ,na pia sio kwa mama samia ata ungekua ww ndio umeingia madaraka si rais kufanya yale yale ya aliekutangulia kuna mengne ungechukua na meng ungeacha sio kusema et anamnanga au anamponda au vip ndio hulka ya binadam na ndio maana si rahis kurith tabia zote za mzaz wako
 
Mkuu nadhani unasahau mapema sana ,unakumbuka hotuba ya JPM wakati anazindua bunge? Uliona alivyokuwa anamponda JM Kikwete? Halafu kumbuka kwamba JIWE alikuwa hakubali ushauri rejea Makamba Snr alivyosema...Kutokubali ushauri ndio maana wasiadizi wake wakaamua kumlamba kisogo tu.

JPM alisema kabisa watu walikuwa wanashinda nje ya nchi kuliko kutembelea kijijini kwao,watu walikuwa watumia mabilioni kwa ajili ya matibabu ya nje tu,alikuwa anampa za chembe JK waziwazi,mwache na yeye serikali yake isemwe.
Sawasawa. Kila serikali haiwezi kufanana na nyingine....tuomboleze kisha tuangalie mbele
 
Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.

Ahsante,Nianze ka kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama yetu ,Samia Suluhu kwa hotuba mzuri,hotuba iliyobeba matumaini kwa Watanzani.

Hotuba ya leo hakika imejaa faraja na imani kubwa kwa watanzani kwamba huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi.

Katika Quraan sura ya 104(Surat Hummazah) aya ya kwanza ,Allah amewaonya walamba Visogo/Wasengenyaji "Backbiters".

Kifo cha Rais magufuli kimenifunza mambo mengi .Mosi Dunia ni mapito,tujitahidi kufanya mema kwa aiili ya baadae

Pili ,nimebaini Rais Magufuli alizungukwa na walamba visogo ,Watu ambao akiwa nao walikuwa wanamchekea akitoka wanamng'ong'a.

Hata Siku 21 za maombolezo hazijakamlika watu hao tyr wametanua makucha yao.

JPM alizungukwa na wasaidizi wanafiki.Makamu wa Rais ni mshauri namba moja wa Rais,kama Rais alisema jambo na ww ukachekelea ukaona linafaa leo hii hayupo unasema halifai ,ww tukuelewe vp?, Ni kama ulikuwa unasubir anguko lake ili umvue nguo hadharani.

Wakati mama anazungumzia miradi,kuna mahali alisema kuna miradi mingine ipo kwenye makaratasi sijui itawezekana ila nataka niione.Hivi alikuwa na maana gani?.

Afu akasema kuna Issue alikuwa anasolve baadae ikamshinda nguvu akaachana nayo.

Any way,naochotaka kusema hapa,Binadamu huwezi kupatia kila kitu,Yale ambayo Rais Magu aliteleza ni vema kuyarekebisha kwa hekima ukiangalia mzee hajatoka madarakani kwa kustaafu bali ni kifo.

Staili aliyoanza nayo ya kumponda mtangulizi wake na walikuwa wakifanya kazi pamoja itamletea shida.

RIP JPM
"Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Kazi iendelee"
Nchi lazima iwe nakiongozi mwenye mtazamo na misimamoyake tusikariri nyakati mh. Hayati kafanya yake na mama nate anamsimamo wake
 
Kwani Jiwe alikua hapondi watangulizi wake?

Kwani kauli ya kusema hii nchi imeibiwa sana alikua ana maana gani?

By the way haya yote uyaonayo na usikiayo jua tu ni sababu utawala wake ulikua ni "iron fist" vyombo vya habari vilizimwa, hao wasaidizi uwasemao walitiwa kwapani hata akijaribu kusema tu ndio ile anapotezwa

Kwa mdomo wake alisema hapangiwi unafikiri nani angempangia au kumshauri?

Japo watangulizi wake walichemka vingi ila kulikua walau na ahueni kwenye utoaji maoni kinzani ila kwake yote aliyapanda yeye mwenyewe! Mimi siafiki kumuhukumu ila yote yasemwayo sasa mi matokeo ya ukweli uliokua ukifichwa...
 
Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.

Ahsante,Nianze ka kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama yetu ,Samia Suluhu kwa hotuba mzuri,hotuba iliyobeba matumaini kwa Watanzani.

Hotuba ya leo hakika imejaa faraja na imani kubwa kwa watanzani kwamba huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi.

Katika Quraan sura ya 104(Surat Hummazah) aya ya kwanza ,Allah amewaonya walamba Visogo/Wasengenyaji "Backbiters".

Kifo cha Rais magufuli kimenifunza mambo mengi .Mosi Dunia ni mapito,tujitahidi kufanya mema kwa aiili ya baadae

Pili ,nimebaini Rais Magufuli alizungukwa na walamba visogo ,Watu ambao akiwa nao walikuwa wanamchekea akitoka wanamng'ong'a.

Hata Siku 21 za maombolezo hazijakamlika watu hao tyr wametanua makucha yao.

JPM alizungukwa na wasaidizi wanafiki.Makamu wa Rais ni mshauri namba moja wa Rais,kama Rais alisema jambo na ww ukachekelea ukaona linafaa leo hii hayupo unasema halifai ,ww tukuelewe vp?, Ni kama ulikuwa unasubir anguko lake ili umvue nguo hadharani.

Wakati mama anazungumzia miradi,kuna mahali alisema kuna miradi mingine ipo kwenye makaratasi sijui itawezekana ila nataka niione.Hivi alikuwa na maana gani?.

Afu akasema kuna Issue alikuwa anasolve baadae ikamshinda nguvu akaachana nayo.

Any way,naochotaka kusema hapa,Binadamu huwezi kupatia kila kitu,Yale ambayo Rais Magu aliteleza ni vema kuyarekebisha kwa hekima ukiangalia mzee hajatoka madarakani kwa kustaafu bali ni kifo.

Staili aliyoanza nayo ya kumponda mtangulizi wake na walikuwa wakifanya kazi pamoja itamletea shida.

RIP JPM
"Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Kazi iendelee"
Hujui ilifika mahala mama SSH akaomba aachie kiti?This means alikuwa anamshauri Jiwe hakubali.

La pili,Kama wewe ni Sukuma gang usituchoshe.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu...Jiwe alimtukana sana Kikwete na kuonesha hajafanya kitu na wote wa nyuma.Leo mama anasema ukweli unamuona mbaya,,,KWA UFUPI JIWE ALIKUA MSANII HAITABADILIKA MAZURI ALIYOFANYA HAYAFIKI HATA ROBO WALIYOFANYA WATANGULIZI WAKE WOTE.
 
Jiwe alivyokua anawaponda akina JK mlikua mnashangilia, yeye ni nani hata asipondwe?
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
😆😅😄😃😂😁😀😃😄😅😅
Inachoma Kama Pasi!!
Tumepoteana Mmepiga Counter Attack Langoni

😥😣😏🙄😶😑😐🙂☺🤗

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Hurry Up Tufike Nchi Ya Ahadi 😚😙
Ya Asali Na Maziwa!!!😗😗😗💋👄
 
Mwenda zake mwenyewe alikuwa bingwa wa kuwajungua wenzie waliopita aliokuwa akifanya nao kazi tena hadharani. Muosha huoshwa.
 
Back
Top Bottom