Kikulacho ki nguoni mwako, RIP Magufuli

Kikulacho ki nguoni mwako, RIP Magufuli

Tatizo mna mermory fupi au mmeanza kufuatilia mambo juzi.

Kilichomsitiri Magu ni yeye kuwa rais, lakini ukweli ni kwamba watu waliokuwa wanafahamu how the government should work walikuwa hawampendi na hawakupenda aina yake ya uongozi.

Yale maongezi ya Nape, Kinana et al; ndio ulikuwa ukweli moyoni wa wengi. Na tutaona mengi
 
Mama alikua na wakati mgumu sana kufanya kazi na yule mtu, yani nae atakua ameteseka kama sisi wananchi wa kawaida.

"mimi sio mtu wa kushauriwa, tena ukinishauri ndio unaharibu"

JPM- shujaa wa zamani.
Mama sio mgeni kwenye utawala mkuu,anarekebisha mauza uza.
Mama amerahisisha kazi ya uchumi wa kati.
Magufuli akiwa waziri wa barabara alisimamia vizuri ujenzi wa mioundo mbinu,lakini alipoukwaa uraisi hakuweka njia nyepesi ya kukusanya kodi.
Huyu Waziri wa fedha wa nyuma Bwana Mpango anatakiwe atusaidie tulikwama wapi,na kwa lipi?
 
Ni mapema kumjudge mama kuhusu misimamo yake na magufuli. Mi naona yuko committed kwa course ya magufuli huenda hujamuelewa tu. Pia ujue style ya mama itatofautiana. Mi hofu ni opportunists na majasusi wa ubeberu kumpotosha. Tuombe mungu mama aweze kuhimili mawimbi kutupeleka kwenye vision ya magufuli.
Sidhani kama watu walikuwa na shida na vision ya Magu, tatizo lilikuwa execution. Kila mtu anataka kodi ikusanywe lakini sio kwa ubabe.
 
Marehem mwenyewe alikua na Mdomo mchafu kuchafuafua wenzake kama yeye ndo msaidizi wa malaika Gabriel(Jibril)
 
Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.

Ahsante,Nianze ka kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama yetu ,Samia Suluhu kwa hotuba mzuri,hotuba iliyobeba matumaini kwa Watanzani.

Hotuba ya leo hakika imejaa faraja na imani kubwa kwa watanzani kwamba huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi.

Katika Quraan sura ya 104(Surat Hummazah) aya ya kwanza ,Allah amewaonya walamba Visogo/Wasengenyaji "Backbiters".

Kifo cha Rais magufuli kimenifunza mambo mengi .Mosi Dunia ni mapito,tujitahidi kufanya mema kwa aiili ya baadae

Pili ,nimebaini Rais Magufuli alizungukwa na walamba visogo ,Watu ambao akiwa nao walikuwa wanamchekea akitoka wanamng'ong'a.

Hata Siku 21 za maombolezo hazijakamlika watu hao tyr wametanua makucha yao.

JPM alizungukwa na wasaidizi wanafiki.Makamu wa Rais ni mshauri namba moja wa Rais,kama Rais alisema jambo na ww ukachekelea ukaona linafaa leo hii hayupo unasema halifai ,ww tukuelewe vp?, Ni kama ulikuwa unasubir anguko lake ili umvue nguo hadharani.

Wakati mama anazungumzia miradi,kuna mahali alisema kuna miradi mingine ipo kwenye makaratasi sijui itawezekana ila nataka niione.Hivi alikuwa na maana gani?.

Afu akasema kuna Issue alikuwa anasolve baadae ikamshinda nguvu akaachana nayo.

Any way,naochotaka kusema hapa,Binadamu huwezi kupatia kila kitu,Yale ambayo Rais Magu aliteleza ni vema kuyarekebisha kwa hekima ukiangalia mzee hajatoka madarakani kwa kustaafu bali ni kifo.

Staili aliyoanza nayo ya kumponda mtangulizi wake na walikuwa wakifanya kazi pamoja itamletea shida.

RIP JPM
"Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Kazi iendelee"
Acha unafiki ndugu....wewe umekuwepo kwenye makutano yao ya ndani?una uhakika gani kwamba Mama Samia alimchekea kwenye kila Jambo na hakuonesha kutokubaliana nae kwenye baadhi ya Mambo?Ni lazima amkosoe hadharani? Kumbuka wapo wanaokulosolewa lakini hawakosoleki,na wapo ambao hawataki kukosolewa,duniani unaoewa unachohitaji...ukihitaji kukosolewa ili kuoneshwa njia sahihi watu watakukosoa na kukuonesha mema,ukiweka mabega juu na kugoma kukosolewa tutaogopa kukukosoa na tutakuacha uharibikiwe na ukiondoka tutachambua,mazuri tutachukua mabaya tutayatupilia mbali.
 
Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.

Ahsante,Nianze ka kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama yetu ,Samia Suluhu kwa hotuba mzuri,hotuba iliyobeba matumaini kwa Watanzani.

Hotuba ya leo hakika imejaa faraja na imani kubwa kwa watanzani kwamba huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi.

Katika Quraan sura ya 104(Surat Hummazah) aya ya kwanza ,Allah amewaonya walamba Visogo/Wasengenyaji "Backbiters".

Kifo cha Rais magufuli kimenifunza mambo mengi .Mosi Dunia ni mapito,tujitahidi kufanya mema kwa aiili ya baadae

Pili ,nimebaini Rais Magufuli alizungukwa na walamba visogo ,Watu ambao akiwa nao walikuwa wanamchekea akitoka wanamng'ong'a.

Hata Siku 21 za maombolezo hazijakamlika watu hao tyr wametanua makucha yao.

JPM alizungukwa na wasaidizi wanafiki.Makamu wa Rais ni mshauri namba moja wa Rais,kama Rais alisema jambo na ww ukachekelea ukaona linafaa leo hii hayupo unasema halifai ,ww tukuelewe vp?, Ni kama ulikuwa unasubir anguko lake ili umvue nguo hadharani.

Wakati mama anazungumzia miradi,kuna mahali alisema kuna miradi mingine ipo kwenye makaratasi sijui itawezekana ila nataka niione.Hivi alikuwa na maana gani?.

Afu akasema kuna Issue alikuwa anasolve baadae ikamshinda nguvu akaachana nayo.

Any way,naochotaka kusema hapa,Binadamu huwezi kupatia kila kitu,Yale ambayo Rais Magu aliteleza ni vema kuyarekebisha kwa hekima ukiangalia mzee hajatoka madarakani kwa kustaafu bali ni kifo.

Staili aliyoanza nayo ya kumponda mtangulizi wake na walikuwa wakifanya kazi pamoja itamletea shida.

RIP JPM
"Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Kazi iendelee"
Si unakumvuka alisema kuna watu alikuwa anawaambia PUMBAVU... Hasa wale waliotokea Jalalani. Sasa hapo sijui unategemea nini?
 
kuna washauri wanamshauri mama pengine wanamshauri hivi ila nasema tu kufuta legacy ya JPM ni miaka 100 labda
Legacy gani aliyoacha magufuli hapa Tanzania.uondoeni utumwa wa kifikra kwa magu hana maajabu yoyote aliyoyafanya nchi mambo aliyoyafanya jk hamfikii hata robo
 
Laana ya upande mmoja tu. Mkiiba kodi kupitia icd zenu sio laana . Ila waiba kodi wakibanwa warudishe walicho iba ni laana. Tutashuhudia mengi safari hii.
Hata wewe mwizi unasema haya!?
 
kuna washauri wanamshauri mama pengine wanamshauri hivi ila nasema tu kufuta legacy ya JPM ni miaka 100 labda
Hayo ni matamanio yako!ombea Mungu yawe hivyo angalau miaka hata kumi tu,vinginevyo legacy inaweza kupotea hata ndani ya miaka mitano tu Mungu akiamua.
 
Nilichoelewa kwenye uzi huu ni kuwa kumbe mmemaliza siku za kuomboleza!
Poleni wafiwa.
 
Samora machel alisema ukiona watu wananiongelea vizuri ujue ninawasaliti leo mpaka wakina zitto na boniface jacob wanamsifia mama yajayoyanafurahisha...walindeni watoto wenu na madawa ya kulevya, sinza kila siku bar zinajaa sasa na mzee hata hajaoza daaaah so sad
 
Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.

Ahsante,Nianze ka kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama yetu ,Samia Suluhu kwa hotuba mzuri,hotuba iliyobeba matumaini kwa Watanzani.

Hotuba ya leo hakika imejaa faraja na imani kubwa kwa watanzani kwamba huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi.

Katika Quraan sura ya 104(Surat Hummazah) aya ya kwanza ,Allah amewaonya walamba Visogo/Wasengenyaji "Backbiters".

Kifo cha Rais magufuli kimenifunza mambo mengi .Mosi Dunia ni mapito,tujitahidi kufanya mema kwa aiili ya baadae

Pili ,nimebaini Rais Magufuli alizungukwa na walamba visogo ,Watu ambao akiwa nao walikuwa wanamchekea akitoka wanamng'ong'a.

Hata Siku 21 za maombolezo hazijakamlika watu hao tyr wametanua makucha yao.

JPM alizungukwa na wasaidizi wanafiki.Makamu wa Rais ni mshauri namba moja wa Rais,kama Rais alisema jambo na ww ukachekelea ukaona linafaa leo hii hayupo unasema halifai ,ww tukuelewe vp?, Ni kama ulikuwa unasubir anguko lake ili umvue nguo hadharani.

Wakati mama anazungumzia miradi,kuna mahali alisema kuna miradi mingine ipo kwenye makaratasi sijui itawezekana ila nataka niione.Hivi alikuwa na maana gani?.

Afu akasema kuna Issue alikuwa anasolve baadae ikamshinda nguvu akaachana nayo.

Any way,naochotaka kusema hapa,Binadamu huwezi kupatia kila kitu,Yale ambayo Rais Magu aliteleza ni vema kuyarekebisha kwa hekima ukiangalia mzee hajatoka madarakani kwa kustaafu bali ni kifo.

Staili aliyoanza nayo ya kumponda mtangulizi wake na walikuwa wakifanya kazi pamoja itamletea shida.

RIP JPM
"Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Kazi iendelee"
Mwendazake aende, suku zote Tanzania itaendelea kuwepo
 
Kunywa soda mjomba nitalipa,Ajue na yeye aseme asemavyo hapo hatakaa milele.Hata kama mtangulizi wake alikosea yeye hapaswi kurudia makosa.Akikosa hekima ataumbuka.
Kama alivyoumbuka huyo mwendazake kwa kuwananga wenzie wazwaz had kuwakejer akina lowasa kwa kupiga pushap akijiona yuko fit kuliko lowasa ,leo hii lowasa yup tu anapeta wakat mwingine akitafunwa na funza ardhini ,

Kama alivyoumbuka yule aliyemsengenye jk wazwaz kuwa anawashwa washwa na kusahau kuwa jk alimpa uwazir kwa miaka 10 frequently .
 
Ni mapema kumjudge mama kuhusu misimamo yake na magufuli. Mi naona yuko committed kwa course ya magufuli huenda hujamuelewa tu. Pia ujue style ya mama itatofautiana. Mi hofu ni opportunists na majasusi wa ubeberu kumpotosha. Tuombe mungu mama aweze kuhimili mawimbi kutupeleka kwenye vision ya magufuli.
Sentensi ya mwisho imeharibu comment yako.
 
Mleta mada unateseka ukiwa wapi hizi n zama za Samia siyo magufenga kwanza toa mawazo ya Magufuli kichwan mwako tungekuwa na katiba imara haya ya kumtukuza mtu yasingekuwepo wakat mungu wenu anaisigina katiba mlifurahi Leo uozo unaonekana mnnajifanya mama mnafki

Endeleni hvyo hvyo. Sisi tunasonga mbele Kama kawaida mama akizingua na yeye tunamuachia Mungu aamue Kama alivyolamba kichwa cha mungu wenu
 
Mleta mada nenda ukapitie hotuba na kauli za jiwe kipindi alipoingia madarakani jinsi alivyokuwa akiuponda uongozi wa mtangulizi wake Kikwete ili hali alikuwa katika baraza lake la mawaziri akiwa waziri wa ujenzi . Mimi naona Mama yupo sawa kusema waziwazi mambo ambayo yaliyokuwa sio sawa kwa mtangulizi wake.
#jamhuri ya muungano wa Tanzania kazi iendelee
Ni kweli. Kichaa akiwa ameshika mpini, halafu jifanye wewe ndio mamaangu uko upande wa makali utafanyaje?
 
Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.

Ahsante,Nianze ka kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama yetu ,Samia Suluhu kwa hotuba mzuri,hotuba iliyobeba matumaini kwa Watanzani.

Hotuba ya leo hakika imejaa faraja na imani kubwa kwa watanzani kwamba huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi.

Katika Quraan sura ya 104(Surat Hummazah) aya ya kwanza ,Allah amewaonya walamba Visogo/Wasengenyaji "Backbiters".

Kifo cha Rais magufuli kimenifunza mambo mengi .Mosi Dunia ni mapito,tujitahidi kufanya mema kwa aiili ya baadae

Pili ,nimebaini Rais Magufuli alizungukwa na walamba visogo ,Watu ambao akiwa nao walikuwa wanamchekea akitoka wanamng'ong'a.

Hata Siku 21 za maombolezo hazijakamlika watu hao tyr wametanua makucha yao.

JPM alizungukwa na wasaidizi wanafiki.Makamu wa Rais ni mshauri namba moja wa Rais,kama Rais alisema jambo na ww ukachekelea ukaona linafaa leo hii hayupo unasema halifai ,ww tukuelewe vp?, Ni kama ulikuwa unasubir anguko lake ili umvue nguo hadharani.

Wakati mama anazungumzia miradi,kuna mahali alisema kuna miradi mingine ipo kwenye makaratasi sijui itawezekana ila nataka niione.Hivi alikuwa na maana gani?.

Afu akasema kuna Issue alikuwa anasolve baadae ikamshinda nguvu akaachana nayo.

Any way,naochotaka kusema hapa,Binadamu huwezi kupatia kila kitu,Yale ambayo Rais Magu aliteleza ni vema kuyarekebisha kwa hekima ukiangalia mzee hajatoka madarakani kwa kustaafu bali ni kifo.

Staili aliyoanza nayo ya kumponda mtangulizi wake na walikuwa wakifanya kazi pamoja itamletea shida.

RIP JPM
"Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Kazi iendelee"
Mbona yeye alikuwa anamponda Jakaya? Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu. Tulieni dawa iwaingie.
 
Back
Top Bottom