Na saizi wengi wa wateule wa Jiwe amewaweka kuwavutia mda tuu ,wakiteleza unapigwa chini mazima ndivyo alivyofanya kwa wateule wa JK,ngoja mama awe Mwenyekiti wa chama afute woteTeam Chato, mosi, umekosa uteuzi na hiyo imekuuma sana. Pili, hadi Mama ayaseme hayo ujue alishauri akapuuzwa akaamua anyamaze. Unajua wazi jinsi huyu unayempigania alivyokuwa mjuaji wa kila kitu. Sasa Mama amepata fursa lazima ayarekebishe yale yaliyo machafu ayazike kabisa. Hatujui angeamua kujiuzulu leo angeingia mrithi wa baba yako ambaye angekuwa na roho mbaya kuliko marehemu na angeendeleza mateso ya Watanzania. Mungu ameliona hilo.
Tatu, anaposema miradi mingine iko kwenye makaratasi ni kwamba hiyo miradi ipo kwenye concept tu, bado ni mawazo ambayo hayajajengewa picha halisi ili yatekelezwe. Mawazo kama hayo bado yapo kwenye makaratasi. Pengine ilikuwa ni miradi iliyoelekezwa Chato na haina uwiano wala ulazima wa kupelekwa huko. Labda ameona haina tija, ndio maana kahisi haitekelezeki. Hilo siyo kwamba hukuelewa isipokuwa umeona kuwa haikulengi wewe hiyo miradi na umeumia kwa matamshi yake.
Na bahati mbaya ni makamu sio Naibu Rais,Kazi yake ni kumiliki mkasiMakamu ni team Chato ambayo imedhulumu sana watu. Dhuluma siyo njia ya Mama. Lazima watatofautiana tu.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] nimeipenda hiiStalin baada ya kifo chake alirithiwa na Nikita Khrushchev., Siku mmoja akiwa ana hutubia Kamati Kuu huku akipinga sera nyingi ya mtangulizi wake, Mjumbe mmoja bila ya kujitambulisha alikereka na akamundikia ki note cha kumshutumu na kumlaumu, "we Nikita ulikua msaidizi wa Stalin, "kwa nini hukusema haya kipindi hicho Stalin akiwa hai?" Khrushchev akakisoma na akaomba Mjumbe aliye andika anyooshe mkono juu amtambue ili amjibu .Hakuna mkono uliyo nyooshwa, Khrushchev akasema "kinacho kushinda wewe kunyoosha mkono leo , ndo hicho hicho kilicho nishinda mimi kusema enzi hizo"
MATAGA utapata tabu sana. Ulizoea kuishi maisha ya unafiki na kujipendekeza! Ila kwa sasa umebakia njia panda. Baadhi ya Mataga wenzako wameamua kuanzisha kambi isiyo rasmi ya upinzani kumpinga MAMA!nyinyi kenge mtakuwa wa kwanza kupiga yowe,tunawajua vyema.
Kwa kaliba ya mtu kama raisi Magufuli mtamuita mama samia mnafiki kwakumuonea,Magufuli aliongoza nchi kibabe kwakujiona yeye ni alfa na omega,Magufuli alikuwa na dharau kwa viongozi wenzake isio elezeka,watu wanakufa kwa korona raisi hataki wataalamu japo kuwaambia wanandugu wajue mpendwa wao amekufa kwa korona,Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.
Ahsante,Nianze ka kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama yetu ,Samia Suluhu kwa hotuba mzuri,hotuba iliyobeba matumaini kwa Watanzani.
Hotuba ya leo hakika imejaa faraja na imani kubwa kwa watanzani kwamba huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi.
Katika Quraan sura ya 104(Surat Hummazah) aya ya kwanza ,Allah amewaonya walamba Visogo/Wasengenyaji "Backbiters".
Kifo cha Rais magufuli kimenifunza mambo mengi .Mosi Dunia ni mapito,tujitahidi kufanya mema kwa aiili ya baadae
Pili ,nimebaini Rais Magufuli alizungukwa na walamba visogo ,Watu ambao akiwa nao walikuwa wanamchekea akitoka wanamng'ong'a.
Hata Siku 21 za maombolezo hazijakamlika watu hao tyr wametanua makucha yao.
JPM alizungukwa na wasaidizi wanafiki.Makamu wa Rais ni mshauri namba moja wa Rais,kama Rais alisema jambo na ww ukachekelea ukaona linafaa leo hii hayupo unasema halifai ,ww tukuelewe vp?, Ni kama ulikuwa unasubir anguko lake ili umvue nguo hadharani.
Wakati mama anazungumzia miradi,kuna mahali alisema kuna miradi mingine ipo kwenye makaratasi sijui itawezekana ila nataka niione.Hivi alikuwa na maana gani?.
Afu akasema kuna Issue alikuwa anasolve baadae ikamshinda nguvu akaachana nayo.
Any way,naochotaka kusema hapa,Binadamu huwezi kupatia kila kitu,Yale ambayo Rais Magu aliteleza ni vema kuyarekebisha kwa hekima ukiangalia mzee hajatoka madarakani kwa kustaafu bali ni kifo.
Staili aliyoanza nayo ya kumponda mtangulizi wake na walikuwa wakifanya kazi pamoja itamletea shida.
RIP JPM
"Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Kazi iendelee"
Yaani wewe uko kichwani mwangu, nawaza iweje mtu alifanya nae kazi ila yote walofa nya wote leo hayafai.Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.
Ahsante,Nianze ka kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mama yetu ,Samia Suluhu kwa hotuba mzuri,hotuba iliyobeba matumaini kwa Watanzani.
Hotuba ya leo hakika imejaa faraja na imani kubwa kwa watanzani kwamba huyu mama atatufikisha nchi ya ahadi.
Katika Quraan sura ya 104(Surat Hummazah) aya ya kwanza ,Allah amewaonya walamba Visogo/Wasengenyaji "Backbiters".
Kifo cha Rais magufuli kimenifunza mambo mengi .Mosi Dunia ni mapito,tujitahidi kufanya mema kwa aiili ya baadae
Pili ,nimebaini Rais Magufuli alizungukwa na walamba visogo ,Watu ambao akiwa nao walikuwa wanamchekea akitoka wanamng'ong'a.
Hata Siku 21 za maombolezo hazijakamlika watu hao tyr wametanua makucha yao.
JPM alizungukwa na wasaidizi wanafiki.Makamu wa Rais ni mshauri namba moja wa Rais,kama Rais alisema jambo na ww ukachekelea ukaona linafaa leo hii hayupo unasema halifai ,ww tukuelewe vp?, Ni kama ulikuwa unasubir anguko lake ili umvue nguo hadharani.
Wakati mama anazungumzia miradi,kuna mahali alisema kuna miradi mingine ipo kwenye makaratasi sijui itawezekana ila nataka niione.Hivi alikuwa na maana gani?.
Afu akasema kuna Issue alikuwa anasolve baadae ikamshinda nguvu akaachana nayo.
Any way,naochotaka kusema hapa,Binadamu huwezi kupatia kila kitu,Yale ambayo Rais Magu aliteleza ni vema kuyarekebisha kwa hekima ukiangalia mzee hajatoka madarakani kwa kustaafu bali ni kifo.
Staili aliyoanza nayo ya kumponda mtangulizi wake na walikuwa wakifanya kazi pamoja itamletea shida.
RIP JPM
"Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Kazi iendelee"
Na sisi tujifunze kubeba mizigo yetu wenyewe na si mizigo ya chawa wanatung'ang'ania Ili tubebe madhambi yao na wao wapete tu.Chawa wake walimnyonya sana na alipenda Chawa
Ni wachumia tumbo, wanafii na watanzania wenye upeo mdogo wa kufikiri pekee, ndiyo wanao mkubali magufuli! No time will tell for magufuli! That is the reality!! He was the worst president!Watu wenye akili fupi hawawezi kuona impact ya Magufuli leo hiii....but time will tell
Acha hekaya za kigogo wewe!Kwani Mwenzetu upon Nchi gani,huyo Mama alikuwa aachie ngazi toka kitambo sababu walikuwa hawapikiki yeye na Magufuli,bahati nzuri tu akina Mkapa na Kikwete wakamshauri akarudi.
Sasa mwenzetu unataka aendelee na kile kile ambacho alikuwa hakitaki.
Urais huu ni matokeo ya ajali ya kikatiba. Utasababisha maumivu makubwa sana kwa taifa.Nakuunga mkono Kwa masikitiko na majonzi makubwa,lkn mungu yupo,wale aliokuwa ametuteua na kutuamini,leo hata 40 yake bado tunaanza kumtukana,ni jambo la kuumiza na kuhuzunisha sana,
Legacy gani ,ya ukabila? Kuvunja katiba au kuiba trillion 1'5? Au kubomolea nyumba watu ubungo, kumara? Au legacy ya kuteka na kupiga risasi watu? Huyu mwehu angekuwa nchi zinazojitambua asingeongoza hata miezi sita angeondolewa the guy was a disgrace thank you God for Divine intervation he is gone mwizi wa kurakuna washauri wanamshauri mama pengine wanamshauri hivi ila nasema tu kufuta legacy ya JPM ni miaka 100 labda
Mama Yuko vizuri sana.Ni mapema kumjudge mama kuhusu misimamo yake na magufuli. Mi naona yuko committed kwa course ya magufuli huenda hujamuelewa tu. Pia ujue style ya mama itatofautiana. Mi hofu ni opportunists na majasusi wa ubeberu kumpotosha. Tuombe mungu mama aweze kuhimili mawimbi kutupeleka kwenye vision ya magufuli.
Kwa taarifa yako aliyokuwa anayafanya Magufuli hayakuwa yanastahili kufanywa na mtu ambaye ni rais. Usitake huyo mama aweke hadharani mambo ya huyo Magufuli maana hata ni aibu na fedheha. Mama ameamua kujitenga na tabia za mtu muovu. Kama ulikuwa unamuona kuwa anakosea ungeleta uzi wa kumkanya tabia zake. Subirini watu watoe mrejesho wa tabia mbaya za viongozi ili siku nyingine mkanyane mkiona mtu anakengeuka.Ikiwa leo tunakamilisha siku 21 za maombolezo ya kifo cha Dkt Magufuli,naomba kaa kimya kwa sekunde kumi kumkumbuka na kumuombea makazi salama huko aliko.