nataka kujiridhisha kama kweli naenda ufipa kuwarejeshea kadi yao naenda zangu ccm.mageuzi nchi hii yamesalitiwa
nenda tuwa salimie
nataka kujiridhisha kama kweli naenda ufipa kuwarejeshea kadi yao naenda zangu ccm.mageuzi nchi hii yamesalitiwa
Mimi picha hiyo ya chini nilisema wazi ni edited lakini hiyo ya juu hakika ni halisi kabisa na ni wazi Chadema hawakutaka picha hii ivuje na Mbowe ana sema za kutengenezwa lakini kwa aliyo yasema mbele ya wahariri ni wazi picha hizo ni halisi kabisa sema imembidi azikane tuu!Teh teh teh siasa hizi! Mkuu achana na hiyo picha inamuonyesha Lowassa akilisilimiana na viongozi wa CHADEMA. Jaribu kuangalia ile picha aliyokaa meza kuu na viongozi wa CHADEMA kwa umakini kabisa nayo unaweza kusema ni edited?
Umeongea maneno ambayo yanaumiza sana.Ninajiuliza kama Dr.Slaa ataendelea kuwa kiongozi ndani ya CDM sitakaa nimuamini au kumuheshimu kama mtu aliyeukataa ufisadi na akaonekana hivyo.
Sababu kama viongozi wameshindwa kutuheshimu watanzania tunaumia au tulioumia na uzembe,rushwa na ufisadi uliofanywa na viongozi wakiwa ndani ya uongozi ambao walishindwa hata kusema ni nani muhusika mkuu wa ufisadi ule,leo Wanamkaribisha Lowassa,atakuja na akina Rosatam na Chenge,utawa kimbiza hao?
Itabidi viongozi wa CDM watueleze vigezo walivyotumia kumteua Lowassa awe Mgombea urais,hivi pesa alizotapanya wakati akigombea kuteuliwa kuwa Mgombea kwa tiketi ya CCM anazirudishaje?Hivi viongozi wetu hata hili wameshindwa kuliona?
Ninajiuliza wamelipwa kiasi gani cha kutudhalilisha wanachama wa CDM kwa kiasi hicho?Hivi nani mwenye ubavu atakayekuja kumnadi Lowassa?
Kwa kweli kwangu KURA yangu sitompa FISADI hata siku moja.
Mbowe,Dr.SLaa na Tundu Lissu mtueleze mmelipwa kiasi gani na Lowassa?
Inatia huzuni sana,najiuliza mara mbili mbili sipati jibu.Wametuona watanzania wapuuzi sana.Yaani ninaumia nikikumbuka wanachama walivyojitoa muhanga kuitetea CDM,wamepoteza familia na wengine viungo vyao,leo wanamuweka mtu ambaye hata kuwatetea BUNGENI tu hakuthubutu,leo wanamuona wamaana kuliko hawa wanachama?
J J Mnyika atuambie Bungeni alikuwa anatetea nini?Na sasa anafanya nini?Ngoja nifanye maamuzi magumu sasa.
Watanzanzania wote wenye mapenzi mema sema HAPANAAAAAAAAAAAA kwa Lowassa
Mke wa mtu unaweza kumuowa akishaachwa na mumewe. Kwa hivyo hata LOWASA amekua safi baada ya kukatwa na CCM laiti angepewa nafasi ya kupeperusha bendera ya MAGAMBA heeeeeeeeeeeeee UKAWA wasingeona cha kukampeni zaidi ya Lowasa + Richmind. Tutaendele kuyaona maajabu
Mimi picha hiyo ya chini nilisema wazi ni edited lakini hiyo ya juu hakika ni halisi kabisa na ni wazi Chadema hawakutaka picha hii ivuje na Mbowe ana sema za kutengenezwa lakini kwa aliyo yasema mbele ya wahariri ni wazi picha hizo ni halisi kabisa sema imembidi azikane tuu!
Kamwe hakuna chama cha kuiondoa CCM madarakani kamwe...Chiwa are you serious
Unaongelea 2025....unaona hali ya uchumi wa nchi yetu ulivyo sasa?
CCM has to go NOW.......Hakuna muda wa kusubiri
Sometimes ni bora kuharibu mfumo uliopo na kuanza kuijenga nchi upya...hAKuna haja ya kusubiri subiri
Sikia ndugu yangu....Viongozi waliopita ni binadamu...sio Miungu...wana madhambi yao pia....na ni hao hao walioifikisha nchi yetu katika hali hii mbaya.
Kwa hio hata wanapotoa maoni yao wanaangalia nani atawalinda
Lowasa ni mtu ambaye hua hana compromise na Ujinga
Tuepuke kuangalia mtu mmoja mmoja...Adui yetu ni CCM
Siwezi kuwa wa kwanza kuchangia;
Kwa kauli yako ni kuwa waTanzania ni wajinga kweli yaani wanakusanyika na kupoteza muda wao kumshabikia FISADI? ebu changanya akili yako kidogo na utafakari kwa kina.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Yaani uzuri w CCM ni kubadilika badilika kulingana na hali husika ktk wakati muafaka kama hili ni kweli la Lowassa ,? Ni ushindi wa wazi ktk opresheni ya kuvua gamba na muonekno mpya wa CCM imara inayozidi kukomaa kila leo. Magufuli kamaliza yote!!!!
Kama kweli CHADEMA kwisha kazi. Wamejipeleka kaburini huku wakiona na kutizama. Inatia huruma kwa Watanzania waliokuwa na matumaini kwa chama chao cha CHADEMA. Watakimbilia wapi??? Sitashangaa wakirudi kwa CCM ambao wameonyesha kuanza vita dhidi ya ufisadi kwa kumuengua Lowasa kwenye kugombea urais wa nchi.
pole sanaInauma sana kufanywa mtaji ktk siasa za maslahi. Now nimeichukia sana hii siasa