Mrbwire
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 200
- 53
hivi ninyi mnaojifanya makamanda humu mnamkataa lowasa,,. Kwani lowasa ni adui wa chadema au ccm ndio adui yetu????! Tunapambana kumtoa ccm madarakani na mfumo wa kifalme,,,, alojiwekea,,,.
As long as lowasa anauwezo wa kuifutilia mbali ccm na mfumo wake, akishirikiana nasi ukawa,,,, then hatuna budi kumpigia magoti ajiunge nasi tuweze kuwaondolea wananchi kero za ccm.
sijui kwa nini watu wanashindwa kuelewa fact rahisi kama hii!!! Je hii ina maana makanda hawakuwa wakijua tunapambana na mfumo? Ni wakati ambao safari yetu ya kuitoa sisiem inakaribia ukingoni kwa matumaini... Tumeukaribia sana ushindi!