Egwugu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,558
- 8,555
Lowassa ni mwizi. Sina maelezo zaidi, tukutane 2015. Ni lazima UKAWA waangukie pua! Hakuna system itakayoruhusu mtu aliyenunuliwa kuingia ikulu. Angekuwa Lipumba au Slaa au Lissu OK. CDM mpaka sasa wapo chini kabisa, siwapi kura yangu. Nitampatia mbunge wangu wa CHADEMA ila rais ni Dr. John Pombe Magufuli!
Uko sahihi mkuu, binafsi siwezi kumpigia kura Lowassa hata malaika walijua hili ..urais umeuzwa? umegeuzwa biashara? raisi ananunua urais wazi wazi bila kificho? it's a very big shame on the planet