Mmezicheza karata zenu vizuri sana CCM.Neno gani tena kamanda tumeishavuta bilioni 10 sasa hivi tuna mpango wa kumtoa kwenye list ya mafisadi.
TupoooooooooMakamanda mpo!!!!!!.
Teh teh teh kwishaaaaaaaaaa kazi!CDM inazikwa rasmi!
Sasa unabisha nini sababu wewe mbishi kusoma unaweza usijue kweli ukabisha hata picha huoni?haiwezekani kihvyo,na sio rahisi kihivyo