Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Umeongea maneno ambayo yanaumiza sana.Ninajiuliza kama Dr.Slaa ataendelea kuwa kiongozi ndani ya CDM sitakaa nimuamini au kumuheshimu kama mtu aliyeukataa ufisadi na akaonekana hivyo.

Sababu kama viongozi wameshindwa kutuheshimu watanzania tunaumia au tulioumia na uzembe,rushwa na ufisadi uliofanywa na viongozi wakiwa ndani ya uongozi ambao walishindwa hata kusema ni nani muhusika mkuu wa ufisadi ule,leo Wanamkaribisha Lowassa,atakuja na akina Rosatam na Chenge,utawa kimbiza hao?

Itabidi viongozi wa CDM watueleze vigezo walivyotumia kumteua Lowassa awe Mgombea urais,hivi pesa alizotapanya wakati akigombea kuteuliwa kuwa Mgombea kwa tiketi ya CCM anazirudishaje?Hivi viongozi wetu hata hili wameshindwa kuliona?

Ninajiuliza wamelipwa kiasi gani cha kutudhalilisha wanachama wa CDM kwa kiasi hicho?Hivi nani mwenye ubavu atakayekuja kumnadi Lowassa?

Kwa kweli kwangu KURA yangu sitompa FISADI hata siku moja.

Mbowe,Dr.SLaa na Tundu Lissu mtueleze mmelipwa kiasi gani na Lowassa?

Mkuu umezungumza kweli tupu na mimi naongeza kuwa kwa mwendo huu hakunachama cha kizalendo wote wapigaji tu! Dr.slaa na lisu wanachakutuambia wanachadema !

Naomba kama haya yasemwayo ni tetesi basi yabaki hivyo lkn dr.slaa ama mwingine yoyote lkn co huyo lowasa tutapoteza tena
 
Kwa fununu watanzania wamekasirika sana juu ya ukigeu geu wa CHADEMA. Kipindi wanatangaza majina ya list of shame, watanzania walifurahi sana na CHADEMA walipata umaarufu. Moja ya fisadi papa ndani ya CCM na aliyetakiwa kujivua gamba tangu mapema alikuwa Lowassa. Ila cha ajabu aliendelea kukomaa ndani ya CCM akijua kwamba anaweza kuwanunu wajumbe mpaka rais na baraza la ushauri la wazee. Ila kumbe system (UT) waligundua kuna mtu anataka kuuza nchi. JK ukamuingia uzalendo na kufanya maajabu ya kutuletea mgombea asiye kuwa na doa. Sasa upande mwingine wa shilingi.

Iwapo Lowassa angepitishwa na CCM, tungeshuhudia magazeti kama ya Tanzania daima yakilemba;
  • CCM wapitisha fisadi urais
Je ndani ya CDM sasa watamuitaje??? Je hii si ndiyo dalili kufa CDM?
"Kilichowapa umaarufu Dr. Slaana CHADEMA ndicho kinawashusha."

Zitto aliitwa na anaendelea kuitwa Yuda Msaliti, wakati Mbowe ana damu za wana CDM waliokufa kwenye maandamano na mikutano ya CDM Kwa mil 10!! Inasikitisha.

Kwa kauli yako ni kuwa waTanzania ni wajinga kweli yaani wanakusanyika na kupoteza muda wao kumshabikia FISADI? ebu changanya akili yako kidogo na utafakari kwa kina.

MMGL2436.jpg

MMGL2535.jpg

MMGL2536.jpg

MMGL0846.jpg

MMGL0984.jpg

MMGL0158.jpg

MMGL0175.jpg
 
Hakika hii ni wiki muhimu sana kwa mstakabali wa maendeleo ya watanzania kwa siku zijazo kwa watanzania wanahitaji mabadiliko na wameyakosa ndani ya ccm hivyo wanayatafuta nje ya ccm na hivyo kila mwenye nia njema na nchi hii ajiunge na wanaukombozi oktoba mwaka huu kupata mabadiliko ya kuipeleka nchi yetu katika maendeleo na kuondoa umaskini miongoni mwa watanzania.

Amen. Mungu aibariki Tanzania....
 
Umeongea maneno ambayo yanaumiza sana.Ninajiuliza kama Dr.Slaa ataendelea kuwa kiongozi ndani ya CDM sitakaa nimuamini au kumuheshimu kama mtu aliyeukataa ufisadi na akaonekana hivyo.

Sababu kama viongozi wameshindwa kutuheshimu watanzania tunaumia au tulioumia na uzembe,rushwa na ufisadi uliofanywa na viongozi wakiwa ndani ya uongozi ambao walishindwa hata kusema ni nani muhusika mkuu wa ufisadi ule,leo Wanamkaribisha Lowassa,atakuja na akina Rosatam na Chenge,utawa kimbiza hao?

Itabidi viongozi wa CDM watueleze vigezo walivyotumia kumteua Lowassa awe Mgombea urais,hivi pesa alizotapanya wakati akigombea kuteuliwa kuwa Mgombea kwa tiketi ya CCM anazirudishaje?Hivi viongozi wetu hata hili wameshindwa kuliona?

Ninajiuliza wamelipwa kiasi gani cha kutudhalilisha wanachama wa CDM kwa kiasi hicho?Hivi nani mwenye ubavu atakayekuja kumnadi Lowassa?

Kwa kweli kwangu KURA yangu sitompa FISADI hata siku moja.

Mbowe,Dr.SLaa na Tundu Lissu mtueleze mmelipwa kiasi gani na Lowassa?

Nadhani sasa waelewa tutaelewa kazi ya Mh. Mabere Marado shushu maarufu wa CDM. Walifanikiwa kuwachonganisha na Zitto, na sasa wamemleta Fisadi ili kuzika chama. Sema roho inuma, kurudi tea nyuma. Maana sasa tulianza kuona wabunge wanaondoka kwenye u ndiyo mzee (mfano Mwigulu, Deo), je upinzani ukifa itakuwaje tena?
 
Ndugu zangu,
Imeniumiza Sana kugundua nchi hii haina Chama cha upinzani ila wachumia matumbo tu.

Lowasa akiwa CCM atakuwa mwizi, fisadi na mgonjwa.
Ila akiwa CHADEMA ni mtu Safi ni mwenye afya na mwaminifu.

Mimi ninamkubali Sana Lowasa ila chadema ni matapeli wanamchafua mtu kwa hila na unafiki Mungu awalaani kwa kuwarubuni watanzania.

Lowasa ukishika uongozi jua Hao siyo watu kaa nao kwa akili, wamependa pesa zako!.

Ukishika tu madaraka sambaratisha kwanza ngome ya huyu mmachame.

Ndugu zanguni kama siasa haikuingizii pesa achana nayo wenzenu wanatafuta pesa nyie mnajiita Makamanda.
 
It is really unbelievable, hivi kumbe sisi Watanzania karibu wote ni wachumia tumbo? Hivi ni kweli hili limetokea? Sipati picha hawa waliomsema Lowassa ni fisadi mkubwa mpaka wakamtaja kwenye list of shame leo hii wanakaa meza moja na kujadiliana apate nafasi ya kuwa rais.Shame. Mbowe anakiua chama. Hivi huyo Slaa anajisikiaje? anakula matapishi yake mwenyewe? Yaani hainingii akilini kwa kweli. Mnyika, Tundu Lisu, Lema, Mdee mmekubali kweli haya yatokee? Kweli sasa nimeamini pesa inavunja milima!!!

Issue ni kuobdoa ccm madarakani sio madaraka
 
Kama kweli CHADEMA kwisha kazi. Wamejipeleka kaburini huku wakiona na kutizama. Inatia huruma kwa Watanzania waliokuwa na matumaini kwa chama chao cha CHADEMA. Watakimbilia wapi??? Sitashangaa wakirudi kwa CCM ambao wameonyesha kuanza vita dhidi ya ufisadi kwa kumuengua Lowasa kwenye kugombea urais wa nchi.

kumwengua lowassa kwenye kugombea urais wa nchi? manake lowassa ni tishio kubwa kwao. hivyo uamuzi wa Chadema ni muafaka
 
CCM inaenda kufa, kifo cha ghafla sana...

Lowassa + UKAWA, hakuna jinsi CCM isife, kwanza kimeshazeeka sana...ni Grand Old Party... imetosha, pumzikeni sasaaaa...

Mamilioni, kuhamia UKAWA wiki hiii... mtaoanaaaaaa....!!!
 
ukiona maccm yanakataa jambo ujue hilo ndo linalotakiwa na Watanzania. Ukiyaona yanakubali jambo jua hilo kwa Watanzania ni kifo. Ukitaka kusimama kwenye haki basi simama kinyume na ma ccm.

Hahahahaha mkuu umenena ukweli kabisa.
 
Inanishangaza mno na kunisikitisha kwa CDM hata kujihusisha tu na Fisadi Lowasa.
Dhambi mnayotenda haisameheki.Na kumbukeni hamtashinda Uchaguzi kwa sababu ya kumruhusu Lowasa akae na nyinyi wema.Mmejinajisi.Hata kama hamtamteua agombee urais,lakini mkimpatia hata uanachama tu mmekwisha.
 
Hakika mimi ni wa mwisho kabisaa, tulikuwa tupambane humuhumu sasa umeondoka, daaaah sijui itakuwaje
 
Ndugu zangu,
Imeniumiza Sana kugundua nchi hii haina Chama cha upinzani ila wachumia matumbo tu.

Lowasa akiwa CCM atakuwa mwizi, fisadi na mgonjwa.
Ila akiwa CHADEMA ni mtu Safi ni mwenye afya na mwaminifu.

Mimi ninamkubali Sana Lowasa ila chadema ni matapeli wanamchafua mtu kwa hila na unafiki Mungu awalaani kwa kuwarubuni watanzania.

Lowasa ukishika uongozi jua Hao siyo watu kaa nao kwa akili, wamependa pesa zako!.

Ukishika tu madaraka sambaratisha kwanza ngome ya huyu mmachame.

Ndugu zanguni kama siasa haikuingizii pesa achana nayo wenzenu wanatafuta pesa nyie mnajiita Makamanda.

wewe ndiyo akulaani, kwa sababu Lowasa ni daraja ya kiangamiza CCM, bila Lowasa kudelete ccm inakuwa ngumu.
 
Back
Top Bottom