Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
Watakuwa clouds media kuongea saa 9
Lowassa karibu sana na waitee na wengine waambie bado nafasi wanayo ya kutubu na kuwatumikia watanzania kwa upendo, huna mpango na urais lakini Monduli Ubunge kama kawaida kupitia CHADEMA .
Wataisoma namba CCM huu mwaka.
Unasema agenda au manifesto! Hujui kuwa walikuwa nazo lakini kwa miaka ishirini watu hawajazielewa. Nadhani hii wataielewa, ni ubunifu mzuri wala usikutishe.Kumpokea yeyote hata Lucifer ni kuonyesha chama hakina agenda, hakina manifesto ya kuwashawishi wapiga kura wakichague kiwaongoze. Shame on CHADEMA kama hii ni kweli.
Mkuu kama LOWASA anaweza kuindoa CCM acha apeperushe bendara ya CHADEMA/UKAWA we are so tidy with CCM haina haja ya kueleza kwa nini tumechoka najua, unajua
Kwa fununu watanzania wamekasirika sana juu ya ukigeu geu wa CHADEMA. Kipindi wanatangaza majina ya list of shame, watanzania walifurahi sana na CHADEMA walipata umaarufu. Moja ya fisadi papa ndani ya CCM na aliyetakiwa kujivua gamba tangu mapema alikuwa Lowassa. Ila cha ajabu aliendelea kukomaa ndani ya CCM akijua kwamba anaweza kuwanunu wajumbe mpaka rais na baraza la ushauri la wazee. Ila kumbe system (UT) waligundua kuna mtu anataka kuuza nchi. JK ukamuingia uzalendo na kufanya maajabu ya kutuletea mgombea asiye kuwa na doa. Sasa upande mwingine wa shilingi.
Iwapo Lowassa angepitishwa na CCM, tungeshuhudia magazeti kama ya Tanzania daima yakilemba;
Je ndani ya CDM sasa watamuitaje??? Je hii si ndiyo dalili kufa CDM?
- CCM wapitisha fisadi urais
"Kilichowapa umaarufu Dr. Slaana CHADEMA ndicho kinawashusha."
Zitto aliitwa na anaendelea kuitwa Yuda Msaliti, wakati Mbowe ana damu za wana CDM waliokufa kwenye maandamano na mikutano ya CDM Kwa mil 10!! Inasikitisha.
Jamani watu wote sasa hivi wamekuwa wakiongelea lowassa kusimamishwa ukawa kupitia chadema. Lakini siyo chadema wala ukawa wanaojiuliza je, wakishindwa urais 2015 hatma yao itakuwaje?
Safairi ya ukombozi wa Tanzania mikononi mwa mkoloni mweusi imeanzaLowassa akihudhuria kikao Kamati kuu CHADEMA
View attachment 271482
Waziri Mkuu Mstaafu wa JMT Mh. Edward Ngoyai Lowassa, akisalimiana na viongozi na wanachama wa CHADEMA
View attachment 271483
Waziri Mkuu Mstaafu wa JMT Mh. Edward Ngoyai Lowassa akiwa Meza Kuu na viogozi wa CHADEMA
ukiona maccm yanakataa jambo ujue hilo ndo linalotakiwa na Watanzania. Ukiyaona yanakubali jambo jua hilo kwa Watanzania ni kifo. Ukitaka kusimama kwenye haki basi simama kinyume na ma ccm.Kama kawaida tulitaraji CCM ndiyo wafurahi maana CDM inaenda kujifia wao ndiyo wanaongoza kulialia.
Hii inanikumbusha enzi za kumfukuza Zitto waliyokuwa wakilalamika walikuwa ni CCM.
Viva CHADEMA.
Mbowe na Mtei deal done.bilioni 10 mfukoni Thbitsha mkuu
Watakuwa clouds media kuongea saa 9
Kazi ipo