Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kabana huku nyuma, huku akishikilia kwa mbele kisa anajiandaa kumpokea mfalme juha.
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    15.5 KB · Views: 609
Ha haa Siasa hivi. Acheni tu. Hapa hata mkisema tukimsimamisha wema sepetu ccm itafinfoka tutamsimamisha tu hata atolee cchoko tutamsimamisha ili mradi tu ccm iondoke zake.
 
Hivi Magufuli yupo kweli? Maana anavyoshambuliwa Lowasa kwa nguvu kubwa utadhani yeye sasa hivi ndiye mtawala
 
Kadri mnavyomsema vibaya Lowassa ndiyo mnazidisha apendwe zaidi. Pigeni sana majungu maana ndiyo mnatangazia mema. Lowassa kanyaga twende baba.
 
Pesa ni sabuni ya roho...mchungaji hatosheki na sadaka!
 
Back
Top Bottom