Tukio lisilo la kawaida limetoa huko Tanzania....
MALAIKA aanguka nchini TANZANIA na kuifadhiwa sehemu maalum ambapo watu wameanza kumiminika kwenda kumshuhudia
Lazma tukubali jamani, dr.slaa, prof lipumba hawana nguvu ya kumshnda magufuli akiwa na ccm katika uraisi.
Na hata kama tukisema slaa au lipumba agombee uraisi , hawatashnda huo ndo ukweli. Na magufuli alishajua kashnda, ila kwa ujio huu wa lowasa lazma ccm ikune vichwa, na itawabidi wafanye kazi ya ziada kama kweli lowasa atagombea upinzani!
Kila mtu anamjua lowasa, na tuhuma zilizokuwa zinamsibu, lakini mambo ya siasa hatuwez jua ni nini kilichotokea kihalisia. Wananchi tunampenda lowasa, despite ya yote hayo wanayomsingizia.
Kiukweli 2010, uraisi nilimpa slaa. Na 2015 bada ya EL kukatwa nilipanga kumpa magufuli, lakini kama lowasa atagombea akyamungu, kura yangu anayo.
Siasa ina siri kubwa,
Mbona kikwete alikuwepo na bado mkampa irais mwaka 2010. Wote walioko kwenye list of shame ccm iliwatetea na kuwapa uongozi, hiyo leo sio hoja, leta hoja nyingine.
List of shame unaijua wewe, watanzania na wana cc karibu milioni waliompa kura Lowassa hawaijui na hata kama wanaijua wanachotaka ni mabadiliko.
Ccm sasa mavi yanagonga chupi na kurudi, matumbo ya kuhara yamewaanza gafla.
wewe ndiyo akulaani, kwa sababu Lowasa ni daraja ya kiangamiza CCM, bila Lowasa kudelete ccm inakuwa ngumu.
Lazma tukubali jamani, dr.slaa, prof lipumba hawana nguvu ya kumshnda magufuli akiwa na ccm katika uraisi.
Na hata kama tukisema slaa au lipumba agombee uraisi , hawatashnda huo ndo ukweli. Na magufuli alishajua kashnda, ila kwa ujio huu wa lowasa lazma ccm ikune vichwa, na itawabidi wafanye kazi ya ziada kama kweli lowasa atagombea upinzani!
Kila mtu anamjua lowasa, na tuhuma zilizokuwa zinamsibu, lakini mambo ya siasa hatuwez jua ni nini kilichotokea kihalisia. Wananchi tunampenda lowasa, despite ya yote hayo wanayomsingizia.
Kiukweli 2010, uraisi nilimpa slaa. Na 2015 bada ya EL kukatwa nilipanga kumpa magufuli, lakini kama lowasa atagombea akyamungu, kura yangu anayo.
Siasa ina siri kubwa,
Kwa fununu watanzania wamekasirika sana juu ya ukigeu geu wa CHADEMA.
Mtaongea yote leo, ila ukweli utabaki kuwa ukweli.
Si ninyi ndio mliosema Lowasa Mwizi?
Sasa kama mlishindwa kumpeleka mahakamani, safari hii na yeye atawapeleka mahabusu kabisa.
Hivi umewai kuona wapi adui yako akakusaidia kufichua wezi wanaokuibia?
Hii ndio siasa bwana, unapigiwa mziki ukicheza unalipishwa kiingilio.
ni mfumo wa ccm ndo hatari. mfumo wa ccm ndo unaowalea wezi na mafisadi. dawa ni kuuondoa huo mfumo na si kudeal na mtu mmojammoja.
pale ccm hata ukipeleka malaika hawezi kubaki safi sababu mfumo wote wa ccm ni mchafu kuanzia juu hadi chini.
embu nipe sababu za kwanini lowassa alipokuwa ccm ulitaka asiibe ili iweje? kwa nini asiibe wakati wenzake wote wanaiba? ambao hawaibi ccm imewapa heshima gani zaidi ya kuwatenga na kuwadhalilisha? kina warioba ambao si wezi wamefanyiwa nini na ccm?
wastaafu waliokuwa wanaitumikia ccm kiuadilifu, na hata watumishi waadilifu ndani ya serikali ya ccm leo hii, wamefanyiwa nini na ccm? ukiwa ccm kuwa mwizi si optional ni lazima.
Ukiwa ccm na ukataka kuacha wizi na uzembe hatua ya kwanza ni kutoka nje ya ccm kama alivyofanya lowassa.
Lowassa akihudhuria kikao Kamati kuu CHADEMA
View attachment 271482
Waziri Mkuu Mstaafu wa JMT Mh. Edward Ngoyai Lowassa, akisalimiana na viongozi na wanachama wa CHADEMA
View attachment 271483
Waziri Mkuu Mstaafu wa JMT Mh. Edward Ngoyai Lowassa akiwa Meza Kuu na viogozi wa CHADEMA
Inatia huzuni sana,najiuliza mara mbili mbili sipati jibu.Wametuona watanzania wapuuzi sana.Yaani ninaumia nikikumbuka wanachama walivyojitoa muhanga kuitetea CDM,wamepoteza familia na wengine viungo vyao,leo wanamuweka mtu ambaye hata kuwatetea BUNGENI tu hakuthubutu,leo wanamuona wamaana kuliko hawa wanachama?
J J Mnyika atuambie Bungeni alikuwa anatetea nini?Na sasa anafanya nini?Ngoja nifanye maamuzi magumu sasa.
Watanzanzania wote wenye mapenzi mema sema HAPANAAAAAAAAAAAA kwa Lowassa