Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

I see!!!
 

Attachments

  • 1438000522404.jpg
    1438000522404.jpg
    47.8 KB · Views: 228
ccm inaenda kufa kifo cha mende wenye akili na kujitambua tayari wameanza kulokota cha kwao tukianza na mkulu kaenda kuweka a/c zke sawa na kutafuta pa kujisitir baada ya kukabidhi madaraka, hali inakwenda kuwa tete..mafuriko ayazuiliki kwa mkono mlidhani kitoto
 
Lazma tukubali jamani, dr.slaa, prof lipumba hawana nguvu ya kumshnda magufuli akiwa na ccm katika uraisi.

Na hata kama tukisema slaa au lipumba agombee uraisi , hawatashnda huo ndo ukweli. Na magufuli alishajua kashnda, ila kwa ujio huu wa lowasa lazma ccm ikune vichwa, na itawabidi wafanye kazi ya ziada kama kweli lowasa atagombea upinzani!

Kila mtu anamjua lowasa, na tuhuma zilizokuwa zinamsibu, lakini mambo ya siasa hatuwez jua ni nini kilichotokea kihalisia. Wananchi tunampenda lowasa, despite ya yote hayo wanayomsingizia.

Kiukweli 2010, uraisi nilimpa slaa. Na 2015 bada ya EL kukatwa nilipanga kumpa magufuli, lakini kama lowasa atagombea akyamungu, kura yangu anayo.

Siasa ina siri kubwa,
Hapa ndio nimeamini kuwa uchaguzi wangu wa kuwa mwana cdm ulikuwa ni sahihi kabisa kwani sasa cdm kinakuwa chama kikubwa sana cha upinzani nchini Tanzania,karibu sana mh,lowasa
 
Inatia huzuni sana,najiuliza mara mbili mbili sipati jibu.Wametuona watanzania wapuuzi sana.Yaani ninaumia nikikumbuka wanachama walivyojitoa muhanga kuitetea CDM,wamepoteza familia na wengine viungo vyao,leo wanamuweka mtu ambaye hata kuwatetea BUNGENI tu hakuthubutu,leo wanamuona wamaana kuliko hawa wanachama?

J J Mnyika atuambie Bungeni alikuwa anatetea nini?Na sasa anafanya nini?Ngoja nifanye maamuzi magumu sasa.

Watanzanzania wote wenye mapenzi mema sema HAPANAAAAAAAAAAAA kwa Lowassa
CCM kwa nini mnalia sana kwa lowassa kuhamia CDM?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Inatia huzuni sana,najiuliza mara mbili mbili sipati jibu.Wametuona watanzania wapuuzi sana.Yaani ninaumia nikikumbuka wanachama walivyojitoa muhanga kuitetea CDM,wamepoteza familia na wengine viungo vyao,leo wanamuweka mtu ambaye hata kuwatetea BUNGENI tu hakuthubutu,leo wanamuona wamaana kuliko hawa wanachama?

J J Mnyika atuambie Bungeni alikuwa anatetea nini?Na sasa anafanya nini?Ngoja nifanye maamuzi magumu sasa.

Watanzanzania wote wenye mapenzi mema sema HAPANAAAAAAAAAAAA kwa Lowassa

Usiwe na hofu mdau UKAWA ni taasisi haiongozwi na mtu mmoja na sera zao ni nzuri hata awepo mtu mchafu vipi atasafishwa na kuwa mweupe nikuambie kitu ccm ingekuwa ndio ile ya Azimio la Arusha isingetufikisha hapa tulipo sasa lakini kwa Azimio hili la Zanzibar walijitenga na mfumo woote uliokuwa imara na mzuri na kujiingiza kwenye ulafi na ufisadi kwa hiyo msingi na mfumo wowote ukiwa imara hata atakae kuja lazima afuate mfumo uliopo usivunjike moyo mdau aluta kontinyua.
 
Hivi,Kwa nini viongozi wa chadema wanatuabisha kiasi hiki?....Hivi mbowe na slaa wanafikiri wakimkaribisha lowasa watachukua dola?....Hata mapokezi yao yatakuwa ya hovyo kuanzia kanda ya ziwa mpaka kusini!...Amini.CDM Itapotea kwenye ramani ya kisiasa tanzania

Sasa furaha yenu si mnataka ife mbona mnaionea huruma tens!? Ccm bwana mtajuta mwaka huu
 
CHADEMA wamevua bonge la nyangumi hata kama uwaunganishe akina Shonza na akina Mwampamba changanya na akina Shibuda wote sijui na akina nani wale maelfu na maelfu hawawezi wakafikia tani za nyangumi mmoja aliyevuliwa na CHADEMA.
 
Pamoja na kwamba wewe ni ccm, nakubaliana na wewe kuwa hii picha ni photoshop. Naona watu wameamua kuwatia jambajamba Lumumba, chezea technology weweee. Ukiwa Engineer wa computer ni rahisi kujua kuwa hii ni edited!

Teh teh teh siasa hizi! Mkuu achana na hiyo picha inamuonyesha Lowassa akilisilimiana na viongozi wa CHADEMA. Jaribu kuangalia ile picha aliyokaa meza kuu na viongozi wa CHADEMA kwa umakini kabisa nayo unaweza kusema ni edited?
 
lowassa angekua ni fisadi hasinge weza ondoka ccm ndugu, mtulie tu dawa iwaingie,
ukweli ni huu
ukiwa ccm -fisadi
ACT-msaliti
chadema-msafi na mtakatifu.
hahaaa. mwaka huu mbona mtayakana maneno yenu wenyewe.
 
Ramli chonganishi hii! Kwani CCM waliposhindwa kuwavua magamba walitoa sababu gani? Kwanini CCM hawakumfikisha mahakamani mhusika kama walivyomfunga Mramba na mwenzake?
ukweli ni huu
ukiwa ccm -fisadi
ACT-msaliti
chadema-msafi na mtakatifu.
hahaaa. mwaka huu mbona mtayakana maneno yenu wenyewe.
 
Back
Top Bottom