Hata KANU naowalikuwa wanaota kama wewe hivi leo; subiri utainamisha kichwa muda si mrefu.Anahangaika tu huko
Nguvu ya mamba kumayi
Hiyo picha umeitoa wapi??
Kwa nia njema kabisa hebu muombeni awaeleze wajumbe ukweli wa richmond ili watu wautumie ukweli huo katika kumsafisha baba wa watu.Mambo yameivaa Bahari Beach Hotel.
View attachment 271473
View attachment 271476
************************** Updates *************************
Hakuna chama kina itwa ukawa na hawa watu wa chadema ni lazima wajuwe dhambi walio iyona inaitafuna ccm sasa wao inaenda kuwaangamiza kabisa binafsi nasubiri wamtangaze nikatupe likadi lao la chadema upumbavu huu
Kama kuna shetani nyumbani kwangu na linatesa wanangu lakini ili litoke nahitaji jini kumtoa basi lazima nitamwambia jini karibu tumtoe shetani.
CCM ni lazima itoke, kama lazima tutumie jini ndio itatoka basi sawa tuu wacha tutumie kisha jini tutaliombea liwe jini mahaba.
Kama kweli CHADEMA kwisha kazi. Wamejipeleka kaburini huku wakiona na kutizama. Inatia huruma kwa Watanzania waliokuwa na matumaini kwa chama chao cha CHADEMA. Watakimbilia wapi??? Sitashangaa wakirudi kwa CCM ambao wameonyesha kuanza vita dhidi ya ufisadi kwa kumuengua Lowasa kwenye kugombea urais wa nchi.
Hivi una hitaji kuwa mtaalam kugundua hiyo picha ni ya kutengeneza?
Teh Teh hebu Muangalie lowasa na watu walio pande zote mbili...Teh Teh.
Bavicha kwa kujifurahisha
.View attachment 271458