Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Hivi hizi picha tunazoziona nizakweli au niuongo''na kama niuongo kwanini wanadanganya uma
 
Hakuna shetani mbaya katika maslahi...nasisitiza Lowassa ni mali kwa UKAWA lakini wasimpe agombee urais (Slaa anatosha)

Tuliza boli....Ili nidhamu ije nchi hii...ccm inatakiwa kukaa pembeni.....

Lowasa atagombea na kuwa rais kwa five years tu

Subiri CCM itakavyopasuka uone
 
Naipinda nchi yangu nawapenda wa Tanzania, chonde chonde nawaombeni CDM Lowasa aseme Richmondi ilikuwa nini kabala hatujampokea.
 
Yule fisadi kawa malaika kwa CHADEMA!! Kweli umalaya na siasa ni kitu kimoja.
 
Adui namba moja wa taifa hili kwa sasa hivi ni CCM. Tuondokane naye kwanza hayo mengine baadaye.
 
Ni dhahiri sasa anguko la ccm live. Mwaka huu CHADEMA na UKAWA itapita bila Kupingwa majimbo mengi mno. Magufuli anakuwa m/kiti wa kwanza wa ccm asiyekuwa rais. Kiukweli JK alikuwa chaguo la Mungu.

Maaskofu waliposema JK ni chaguo la Mungu kwa ajili ya mabadiliko Tanzania waliona mbali
 
Nimefurahi Sana Ila Furaha Yangu Itashuka Sana Akipewa Kugombea Urais Na Si Dr Slaa
 
Sote tunakumbuka kuwa kwenye ile list of shame ya slaa ya watu 11 Lowassa alikuwa mmojawapo.

Leo hii Slaa itabidi aanze kwanza kumtoa kwenye ile list na kuwabakiza 10. Kwamba nilikosea kumtaja Lowassa, kwani majina niliyoletea na vijana wangu yalikuwa 10 shetani akaongezea na la Lowassa, ashindwe na alegee kabisa, hahaaaaa!

Ndugu wananchi nawahakikishia Lowassa ni kamanda na mtu msafi kabisa kuliko mnavyofikiria.

Pipoooooooooooooooz!!! Pawaaaaaaaaaaaaaaaa.

lowassa angekua ni fisadi hasinge weza ondoka ccm ndugu, mtulie tu dawa iwaingie,
 
Lowasa ndio rais ajae wa Tanzania.. Watanzania wanampenda sana.

Well said..... Lowassa ndio Rais wa 2015.....

CCM wajinga sana, walifikiri Lowassa anafanya mchezo kwa hii miaka yote alivyoanza mishe mishe za urais. Kwa taarifa yao mpaka jana usiku Lowassa alikuwa na uwakika wa kura Millioni 7.8. Hao ni ambao wako kwenye data base, ambao wengi wao ni vijana wa 4U Movement....

Mama Salma na Riz one wamekiuwa chama....
 
Hali si shawri ndani ya Uongozi wa juu wa CHADEMA kutokana na mambo yanavyoendeshwa kwa sasa hasa kuhusiana na upingaji wake kuhusiana na suala la mgombea uraisi.Yuko mbioni kufanya maamuzi magumu muda wowote kuanzia sasa na atatimka na viongozi na wanachama kibao wa CHADEMA.Stay tuned.

Arudi nyumbani CCM. Kwani Edo hasafishiki!! Maana ni rahisi Kwa Dr. Slaa ndani ya CCM kujitetea kuliko kuwa na Edo ndani ya CDM
 
Hali si shawri ndani ya Uongozi wa juu wa CHADEMA kutokana na mambo yanavyoendeshwa kwa sasa hasa kuhusiana na upingaji wake kuhusiana na suala la mgombea uraisi.Yuko mbioni kufanya maamuzi magumu muda wowote kuanzia sasa na atatimka na viongozi na wanachama kibao wa CHADEMA.Stay tuned.

Ulirithi lini mikoba ya Shekhe Yahaya?Hahahahahaha
 
Hapo sasa...kina nape na makonda watashughulikiwa tu kivingine.....
 
Back
Top Bottom