malimangapi
JF-Expert Member
- May 12, 2013
- 238
- 48
Kazi ipo.
Adui namba moja wa taifa hili kwa sasa hivi ni CCM. Tuondokane naye kwanza hayo mengine baadaye.
Hayo yatakuwa ni maamusi magumu sana kwa SLAA naye, ila ningekuwa SLAA ningeng'atuka siasa kuliko kupanda basi moja na fisadi wa Mwembeyanga.
This perception is totaly WRONG. lengo ni kuiondoa CCM ama kuikomboa Tanzania toka mikono ya WACHAFU, WALAFI, MAFISADI, WAFIA TUMBO???
Labda kama Lowasa anaingia CDM kama mwanachama wa kawaida na siyo kama mgombea uraisi.
hahahahahahha
Kampeni zitanoga sana
Kwa ninavyojua Magufuli atafunikwa sana....He is a good guy kwenye chama kisicho na mvuto..Chama kitamuangusha
Huwezi kuikomboa Tz bila kutokomeza ccm, ni sawasawa na kuua kunguni kwa kidole wakati kwenye kona za kitanda na chaga zake kuna milioni kumi za mayai ya kunguni.
Mimi nitakua wa mwisho kuchangia