Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kama kweli CHADEMA kwisha kazi. Wamejipeleka kaburini huku wakiona na kutizama. Inatia huruma kwa Watanzania waliokuwa na matumaini kwa chama chao cha CHADEMA. Watakimbilia wapi??? Sitashangaa wakirudi kwa CCM ambao wameonyesha kuanza vita dhidi ya ufisadi kwa kumuengua Lowasa kwenye kugombea urais wa nchi.

Hehehehe....ccm wamemkata lowasa lakini hawakusema sababu za kumkata?..
je ni kukiuka maadili, ufisadi, sio mchapa kazi au ninini hasa?... yawezekana lowasa anasiri nzito kuhusu tuhuma anazo pewa za ufisadi hivyo kaamua kumwaga mboga kwa kueleza ukweli wananchi nani ni fisadi kwa kivipi kashiriki kuanzia enzi za meremeta, kiwira, richmondi, epa na escrow zile za stanbic!!!...

akifanya hivyo kwa kueleza ukweli ndo tutajua nani ni msafi ccm kwa ujumla....hakika tampa kura yangu lowasa maana wananchi tumekuwa tukiaminishwa tuuu....
 
Weeeeraaaaaa karbu Jembe ccm bye bye Kifo cha mende
 
Nashindwa kuelewa akili ya mtz. Kama lowassa fisadi mwambieni kikwete ampeleke mahakamani. Eeh, tuone sasa.

Fisadi kikwte na serikali yake.

Tuanze kwanza mahakamani.

Ama kweli fedha fedheha! Leo mnabadili misemo tu! Ila kumbukeni watanzania wa leo sio wajinga kiasi mnachofikiri nyie chadema. "You can fool some people for sometime but you cant fool all the people all the time" ulaghai wa chadema na Mbowe sasa uko dhahiri.
 
wale wanajf waliojiapiza kutompokea lowassa UKAWA waseme chochote hapa nikamilishe reseach yangu
 
kweli Chadema Mambo yanaharbika,upinzani wa kweli umekwisha.mtuu waliyemtukana then anagombea uraisi kwa chadema.
kweli siasa mchezo mchafu
Shame kwa chadema na mbowe wao

list of shame yupo kikwete na mkapa yupo.Kama hutaki jinyonge magamba kimbunga kinakuja
 
Hapa Lowassa kaja kuongeza nguvu tu, CCM lazima wafunge goli la MKOŇO kwa Magufuli.
 
Back
Top Bottom