Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Utabiri wa TB Joshua unaelekea kutimia sasa.
 
Photoshop

Utashangaa sana Lowasa ndio kaishakuwa mgombea wa chadema, chama ambacho kipo zaidi ya miaka 20 lakini leo kimekosa mgombea kabisa hadi kudaka mkwanja wa jamaa na kumpa usukani! Ha ha ha ha siasa za chadea pasua kichwa!
 
Ina maana Slaa babu ndio hana chake tena? Au anarudi kugombea ubunge tena? Teh Teh Teh,
 
Great changes around the corner, kwa ajili ya ukombozi wa nchi hata W.Slaa yupo tayari kumpa kiti EL, this is maturity!! Mimi sina hofu kabisa najua EL ni mpinzani wa madudu ya ccm na serikali yao dhaifu. Pili ukawa ni mfumo rais ni aspect moja tuu ukijiunga ukawa naye anakuwa ukawa so hawezi kuwa msaliti kwani naye mwenyewe anatamani ukombozi wa nchi. MUNGU AMPE AFYA NJEMA NA UKAWA IZIDI KUWA UNITED
 
Hahhaa dah yaani ccm hawatahangaika kabisa kwenye kampeni njia nyeupee, bil 10 tu watu wameuza malengo na mipango iliyotumika kujenga upinzani kwa miaka 22, sasa wanaanza upya kabisa, CCM tawala milele nchi hii imejaa mburula tupu

mr hero your bogus,hujui siasa magamba na mapanya buku tafute shimo mjifukie
 
tayari tumempokea lowasa, sasa kwa kuwa anawajua wezi wote wa CCM ndio tunamuweka getini wakiona sura yake tu, atawaambia yeye ashaokoka hawahitaji tena nao watasambaratika.
 
Lowassa: "Siwezi kuhama CCM, ambaye anaona hafai ahame yeye"

Mbowe: "Lowassa ni fisadi na yuko katika list of shame".

Slaa: "Hatupokei makapi ya CCM"

Leo hii they all have same mindset!?


Hahaha...Tanzania nchi yangu nakupenda sana, ila ukombozi wako bado sana!
Kikwete mbona yuko list of shame na mlimpa uraisi, hilo hamulioni mnaona lowassa tu, acheni unafiki.
 
Tatizo lowassa ana siri nyingi kuhusu serikali,akiamua kuachia folder ya uchafu wote wa ccm na serikali atakua mwiba sana kipindi cha kampeni
 
Back
Top Bottom