Domy
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 4,700
- 1,090
Makamanda mpo!!!!!!.
Tupooo!!!!,lazima mkae safari hii
Makamanda mpo!!!!!!.
Ina maana Slaa babu ndio hana chake tena? Au anarudi kugombea ubunge tena? Teh Teh Teh,
nataka kujiridhisha kama kweli naenda ufipa kuwarejeshea kadi yao naenda zangu ccm.mageuzi nchi hii yamesalitiwa
miye mwili wote unatetemeka sijui kwa nini ebu wadau hiyo ni real au photoshop
ktk siasa duniani kote hakuna lisilowezekana kuanzia USA,Senegal,Zambia,Madagascar,Kenya,Malawi...
Utashangaa sana Lowasa ndio kaishakuwa mgombea wa chadema, chama ambacho kipo zaidi ya miaka 20 lakini leo kimekosa mgombea kabisa hadi kudaka mkwanja wa jamaa na kumpa usukani! Ha ha ha ha siasa za chadea pasua kichwa!
Hii thread kwangu ni nzito, nasubiri wajuzi wa mambo wanihabarishe nini ni nini
ktk siasa duniani kote hakuna lisilowezekana kuanzia USA,Senegal,Zambia,Madagascar,Kenya,Malawi...
ktk siasa duniani kote hakuna lisilowezekana kuanzia USA,Senegal,Zambia,Madagascar,Kenya,Malawi...