Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Aje tu kwenye wokovu tutambatiza na atakua safi kabisa ameamua kuachana na maovu na kuungana na wakombozi
 
CCM hawawezi kukabidhi nchi kwa wapinzani, kuna hitajika kuchanganya nguvu ya watu wa ndani ya ccm ili kushinda uchaguzi. Wafuasi wa CDM wanatakiwa wachague jini lenye unafuu, CCM iendelee kutawala ama kumtumia mtu wao kuing'oa madarakani ambapo nao wanasaidia kuleta mabadiliko kwani na wao watakuwa madarakani.

EL akitoka ataacha wafuasi wake wengine ndani ya ccm/system ambao watasaidia kuindoa ccm. CHADEMA ina wafuasi wengi na ukijumlisha wafuasi wa EL kwa namna walivyo mpokea wakati wa kutafuta wadhamini, ccm hawaponi mwaka huu. Ni kweli EL si msafi lakini anaweza leta mabadliko akiwa na CDM kuliko kuwaacha ccm waendelee kutawala.
 
haya haya hayaaaa..dah mbona watasanda this time
 
Augustino alianza hivi hivi, lakini leo hii hata ubunge kupata ni ngumu sana. Kikubwa hapa ni kuongeza upinzani wa Tanzania. There is no way mshindi wa October hawezi kumonopolize bunge kama la Makinda.
 
Ama kweli fedha fedheha! Leo mnabadili misemo tu! Ila kumbukeni watanzania wa leo sio wajinga kiasi mnachofikiri nyie chadema. "You can fool some people for sometime but you cant fool all the people all the time" ulaghai wa chadema na Mbowe sasa uko dhahiri.

kama hutaki hama nchi,Ukawa kucheleeeeeeeeeeeeee.legwanani ndani ya gwanda
 
Nina wasiwasi na hii picha
ukiangalia vizur wau wote wana chupa ya maji ya k/njaro na glass...lakin ni lowasa pekee ambaye hana chupa ya maji ana glass pekeyake....kwanini wamwekee glass pekee bila chupa???????
Siyo yeye peke yake ambaye hana chupa! Wa kwanza kulia ana chupa yake?

Chupa ziko nne, watu wako sita, tafta jingine...
 
Kama hivi ndivyo, sijui kama tutafika, najiuliza tu hivi ikulu kuna nini
 
Kama kuna shetani nyumbani kwangu na linatesa wanangu lakini ili litoke nahitaji jini kumtoa basi lazima nitamwambia jini karibu tumtoe shetani.
CCM ni lazima itoke, kama lazima tutumie jini ndio itatoka basi sawa tuu wacha tutumie kisha jini tutaliombea liwe jini mahaba.
 
Lowasa anautaka Urais kwa garama yoyote ile,cielewe yapi mengine anaweza fanya kutimiza ndoto yake
 
CCM hawawezi kukabidhi nchi kwa wapinzani, kuna hitajika kuchanganya nguvu ya watu wa ndani ya ccm ili kushinda uchaguzi. Wafuasi wa CDM wanatakiwa wachague jini lenye unafuu, CCM iendelee kutawala ama kumtumia mtu wao kuing'oa madarakani ambapo nao wanasaidia kuleta mabadiliko kwani na wao watakuwa madarakani.

EL akitoka ataacha wafuasi wake wengine ndani ya ccm/system ambao watasaidia kuindoa ccm. CHADEMA ina wafuasi wengi na ukijumlisha wafuasi wa EL kwa namna walivyo mpokea wakati wa kutafuta wadhamini, ccm hawaponi mwaka huu. Ni kweli EL si msafi lakini anaweza leta mabadliko akiwa na CDM kuliko kuwaacha ccm waendelee kutawala.

Natamani watu wote wangejua hili
 
Back
Top Bottom