[MENTION]Mamdenyi[/MENTION]ngoja niwe wakwanza mimiSiwezi kuwa wa kwanza kuchangia;
Tatizo lowassa ana siri nyingi kuhusu serikali,akiamua kuachia folder ya uchafu wote wa ccm na serikali atakua mwiba sana kipindi cha kampeni
Baregu uso umemshuka kama dume la shupaza
Dr Slaa hajiamini ameweka tabasamu la mamba
Kama kuna shetani nyumbani kwangu na linatesa wanangu lakini ili litoke nahitaji jini kumtoa basi lazima nitamwambia jini karibu tumtoe shetani.
CCM ni lazima itoke, kama lazima tutumie jini ndio itatoka basi sawa tuu wacha tutumie kisha jini tutaliombea liwe jini mahaba.
Siwezi kuwa wa kwanza kuchangia;
Kama kweli CHADEMA kwisha kazi. Wamejipeleka kaburini huku wakiona na kutizama. Inatia huruma kwa Watanzania waliokuwa na matumaini kwa chama chao cha CHADEMA. Watakimbilia wapi??? Sitashangaa wakirudi kwa CCM ambao wameonyesha kuanza vita dhidi ya ufisadi kwa kumuengua Lowasa kwenye kugombea urais wa nchi.