Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

kama kuna mtaalam wa photoshop anaweza kufanya hivyo nitamualika ...kazi ndio imeanzaaaaa
 
Lowassa: "Siwezi kuhama CCM, ambaye anaona hafai ahame yeye"

Mbowe: "Lowassa ni fisadi na yuko katika list of shame".

Slaa: "Hatupokei makapi ya CCM"

Leo hii they all have same mindset!?


Hahaha...Tanzania nchi yangu nakupenda sana, ila ukombozi wako bado sana!
 
ktk siasa duniani kote hakuna lisilowezekana kuanzia USA,Senegal,Zambia,Madagascar,Kenya,Malawi...
Hii sasa naona inakwenda kuiua ccm.Nionavyo mimi ccm inauawa kirahisi kama watatoka watu kutoka ccm huko huko waiache na watu wachache wasiotosha kitu

 
Dah! Kuda dadeek! Ccm peleka makumbusho sasa.
 
Uongo... Ccm hawajamuengua fisadi yyte ata uyu magufuli angeenguliwa sema chadema wamejichanganya asa huruma zaidi kwa dr slaa, who will trust his words again? Nitasupot wagombea wote wa majimbo kwa upande wa chadema lakini si lowasa... May b watoe sababu za maana ...japo bado naisapoti chadema 99%...1% naitoa koz of lowasa..

Lowasa hagombei...Anagombea Dr Slaa
 
Hivi una hitaji kuwa mtaalam kugundua hiyo picha ni ya kutengeneza?

Teh Teh hebu Muangalie lowasa na watu walio pande zote mbili...Teh Teh.
Bavicha kwa kujifurahisha
.View attachment 271458
 
Uhaini, Uhaini, Uhaini. Kwa zaidi ya miaka 7 Dr Slaa na wenzake wametuaminisha kuwa Lowassa ni fisadi na kwamba CHADEMA kinakataa usifadi, leo hii wanatumbia nini? What do CHADEMA stand for? Walioto wapi hadithi za Lowassa na ufisadi?

nyeti za kuku zinafunuliwa kwa kimbunga
 
Niliwapa angalizo wafuasi wa EL kuwa hawezi kupita ccm wakabisha mpaka pale ilipodhihirika.
Anaweza kuukana ufisadi wa Richmond (ambao kimsingi hausiki) sio akiwa mgombea bali akiwa nyuma ya benchi la mgombea cdm/ukawa maana angelitaka kusimama kupitia huku angeliukana pale kwenye mkutano wa Arusha.
Maamuzi yoyote mbali na haya itajulikana kuwa cdm ni nguvu ya umma na sio nguvu ya uongozi!
 
Lowassa: "Siwezi kuhama CCM, ambaye anaona hafai ahame yeye"

Mbowe: "Lowassa ni fisadi na yuko katika list of shame".

Slaa: "Hatupokei makapi ya CCM"

Leo hii they all have same mindset!?


Hahaha...Tanzania nchi yangu nakupenda sana, ila ukombozi wako bado sana!
 
Back
Top Bottom