Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,850
- Thread starter
- #141
My mbona kama unashiriki katika kunihujumu na kunikatisha tamaa?Kabisa mkuu😂😂
My mbona kama unashiriki katika kunihujumu na kunikatisha tamaa?Kabisa mkuu😂😂
Subiri, jioni naleta uzi wa wimbo wangu mmoja nadhani kila mwanajf atakubali kazi.Naamini ila siyo sanaa ya singeli
Kuna mtu kaomba kazi mkuu?Kazi ipo
Aha nimekuelewaOoo huyo tuliachana kwa usalama kabisa ndiyo maana nilimsahau.
NaaminiKwa hiyo mkuu huamini katika sanaa?
Sasa kivipi kuingia kwangu katika sanaa useme ni uvivu wa kulima!Naamini
Nipo humo (VFX EDITOR & DJ)
Sasa livipi kuingia kwangu katika sanaa useme ni uvivu wa kulima!
Safi mkuu, pamoja sana.Ni ww tu
Kaz ni kaz inategemeana na maamuzi ya mtu na kitu anachoweza
Panya wabaka wa manzese1 DAY YES....
1 DAY YES....Panya wabaka wa manzese
Unapoteza muda singeli sio muziki huo hata kidogo ni kutamka maneno tuu yasiyo na vina wala mizani hata sifa ya mashairi haina. hauna sifa ya kuitwa wimbo kwa sababu sio melodic na kimataifi hauwezi kukidhi viwango, utaona unasifika maeneo ya dar kwa sababu hiyo ni ile ile ngoza za kienyeji za kizaramo zilizokuwa zinapita miataani wamebadili tuu jina hivo watu waswahili wa pwani wanapenda tuu hayo maneno ya vijembe na siu ozuri wa muziki. Mtu asiye mswahili ataona ni kelele tuuOyaa sikia.. wapi mwanangu dosho12 salimia sana mwanangu Harmful oya we Harmful salimia sana mwanangu Noma, Noma.. Nomadix
Awee shem langu Ms R salimia sana mtotomzuriwa kuitwa waifu material mwambie hii hapa sauti Ya Kijana Masikini a.k.a Mui........mba SINGELI.
Sawa mkuu lakini nimechagua kuwa upande huu.Unapoteza muda singeli sio muziki huo hata kidogo ni kutamka maneno tuu yasiyo na vina wala mizani hata sifa ya mashairi haina. hauna sifa ya kuitwa wimbo kwa sababu sio melodic na kimataifi hauwezi kukidhi viwango, utaona unasifika maeneo ya dar kwa sababu hiyo ni ile ile ngoza za kienyeji za kizaramo zilizokuwa zinapita miataani wamebadili tuu jina hivo watu waswahili wa pwani wanapenda tuu hayo maneno ya vijembe na siu ozuri wa muziki. Mtu asiye mswahili ataona ni kelele tuu
AiseeUnapoteza muda singeli sio muziki huo hata kidogo ni kutamka maneno tuu yasiyo na vina wala mizani hata sifa ya mashairi haina. hauna sifa ya kuitwa wimbo kwa sababu sio melodic na kimataifi hauwezi kukidhi viwango, utaona unasifika maeneo ya dar kwa sababu hiyo ni ile ile ngoza za kienyeji za kizaramo zilizokuwa zinapita miataani wamebadili tuu jina hivo watu waswahili wa pwani wanapenda tuu hayo maneno ya vijembe na siu ozuri wa muziki. Mtu asiye mswahili ataona ni kelele tuu
Tunasubiri mkuuSubiri, jioni naleta uzi wa wimbo wangu mmoja nadhani kila mwanajf atakubali kazi.
😂😂😂hamna nataniaMy mbona kama unashiriki katika kunihujumu na kunikatisha tamaa?
Ahaa sawa.😂😂😂hamna natania
Yaa of kozSingeli yaani hii miziki ya fasta fasta?
Sema kila mtu ana njia yake ya kutusua.Yaa of koz