Sikia sasa usisahau Ile manati yako 😂 halafu kaa karibu na simuUsipo tajwa jina we tuma ujumbe tu si tutafika chap tuanze mishe
Sikia sasa usisahau Ile manati yako 😂 halafu kaa karibu na simuUsipo tajwa jina we tuma ujumbe tu si tutafika chap tuanze mishe
siwezi enda sehemu bila manati yangu 😅😅 na simu ninayo karibuSikia sasa usisahau Ile manati yako 😂 halafu kaa karibu na simu
Usikose sasa nakutegemea wasije kunipiga SI nimekwambia Kuna mjeda 😂siwezi enda sehemu bila manati yangu 😅😅 na simu ninayo karibu
Tunaanza na mjeda kwanza alafu wengine wanafata, vyovyote vile lazima tupate huo urithi 😁Usikose sasa nakutegemea wasije kunipiga SI nimekwambia Kuna mjeda 😂
Una masikhara wewe 😂😂😂 ila tukimkalisha huyu kesi imeisha 😂Tunaanza na mjeda kwanza alafu wengine wanafata, vyovyote vile lazima tupate huo urithi 😁
Nakubali kamanda, vuzi moja mkuu.Nataka niwe mpole maana Kuna mjomba etu mwanajeshi ila kama sitotajwa mpaka mwisho amini usiamini nang'ata mtu
subiri ya sikuiz inavuta bangi tuWw tulia mambo yanaenda taratibu haya usiwe na haraka
Maneno tu hayo kuwa mvumilivu nipo kwenye kikao Cha urithi hapasubiri ya sikuiz inavuta bangi tu
Mxiiiiiuuuu 😂😂😂Maneno tu hayo kuwa mvumilivu nipo kwenye kikao Cha urithi hapa
Oyaa sikia.. wapi mwanangu dosho12 salimia sana mwanangu Harmful oya we Harmful salimia sana mwanangu Noma, Noma.. Nomadix
Awee shem langu Ms R salimia sana mtotomzuriwa kuitwa waifu material mwambie hii hapa sauti Ya Kijana Masikini a.k.a Mui........mba SINGELI.
😅😅Thanks Mami loo sema nini nitupie buku mbili hapo nidake boda chap niingie studio.
Ooo huyo tuliachana kwa usalama kabisa ndiyo maana nilimsahau.Marry Diana
umepoteza Kumbukumbu nn?
Kwanini mkuu wakati tushaambiwa kazi na dawa.Kama inahitaji stimu nakushauri usitumie bhangi hasa ile ya tabora
Kabisa mkuu😂😂Na KILIMO ?
waifu material
Kwa hiyo mkuu huamini katika sanaa?Na KILIMO ?
waifu material
Naamini ila siyo sanaa ya singeliKwa hiyo mkuu huamini katika sanaa?
Kazi ipoOyaa sikia.. wapi mwanangu dosho12 salimia sana mwanangu Harmful oya we Harmful salimia sana mwanangu Noma, Noma.. Nomadix
Awee shem langu Ms R salimia sana mtotomzuriwa kuitwa waifu material mwambie hii hapa sauti Ya Kijana Masikini a.k.a Mui........mba SINGELI.