Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,850
- Thread starter
- #201
Napambana mkuu, mimi ndiyo natakiwa kuona namna gani naisaidia jobless.Mkuu inabidi jobless promax waone namna ya kukusaidia dah!
Napambana mkuu, mimi ndiyo natakiwa kuona namna gani naisaidia jobless.Mkuu inabidi jobless promax waone namna ya kukusaidia dah!
Nikikua nataka kuwa kama wewe mkuu😎Napambana mkuu, mimi ndiyo natakiwa kuona namna gani naisaidia jobless.
👊👊👊 pamoja kamanda.Nikikua nataka kuwa kama wewe mkuu😎
Dg rudi uje kuimba singeliWanaume tumeumbwa mateso.. mateso.. kuhangaika....
Natafuta pa kutobolea Mamtu.
Marry niajeKama jina la Mary halimo huo wimbo ni batili🤗🤗🤗
Ukimaanisha Nini we jamaa?Marry niaje
hakikisha hiyo bill asipewe mwingine 😅Ukimaanisha Nini we jamaa?