Kijana Masikini nimeamua kuimba SINGELI sasa pengine nitatoboa

Kijana Masikini nimeamua kuimba SINGELI sasa pengine nitatoboa

Oyaa sikia.. wapi mwanangu dosho12 salimia sana mwanangu Harmful oya we Harmful salimia sana mwanangu Noma, Noma.. Nomadix

Awee shem langu Ms R salimia sana mtotomzuriwa kuitwa waifu material mwambie hii hapa sauti Ya Kijana Masikini a.k.a Mui........mba SINGELI.
Kwa ujinga unaoingizwa humu,binafsi si sikilizi huo utumbo,bora mjitambue mjue singeli sii kwa ajili ya jamii ya pwani pekee,ila mnatamani iende kimataifa,ile maana ya dunia kijiji ni maana pana sana,wewe tumia maneno na matusi ya kizaramo ,kindengereko ukifikiri wewe pekee ndiye unaeelewa kizaramo au kindengereko,utabakia ukisikiliza kazi yako wewe pekeyako na mkeo ikizidi na wanao.
 
🤣🤣🤣
Tuneto na tudeto hoo!!! Baby Kama Baraka tuombe kwa aliye juu Mimi nakumbembeleza bodi kushekia shekia .🎶🎶🎶

Baiila baila upendo wako unanitosha .


Ewe dogo rema utatuua what a song🎶🎶
Wanasema nguvu zote anamaliza kwenye kucheza hivyo hawezi tena kubaki na nguvu ya ziada ya kuimbia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom