kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,095
Go aheadSAWA mkuu. HIVI NIKUULIZE swali moja TU
Kwishaaa
Go aheadSAWA mkuu. HIVI NIKUULIZE swali moja TU
Kwishaaa
Go ahead
Nimewapa burudani wakasema miguu imepata nguvu, kesho nitaitwa kuwatumbuizia wengine hadi mambo yaende sawa.Jamani pole yao😂😂
Asante kiongozi.Hii nyimbo Kali San kaka, lazima utoboe.
Hongera sana mkuu endelea kuwapa burudani waheshimiwa😎Nimewapa burudani wakasema miguu imepata nguvu, kesho nitaitwa kuwatumbuizia wengine hadi mambo yaende sawa.
Sawa ila umeshindwa kuandika mume hapo?Hongera sana Mkuu endelea kuwapa burudani waheshimiwa😎
Pamoja mkuu.Popote kambi kila la kheri
Bado hujatoboa sasa hivi mapenzi achana nayo😂😂Sawa ila umeshindwa kuandika mume hapo?
Sahihi.Mental illness is real
Labda uimbe kwa kuisafisha singeli yenyewe kwa kuwa imecjafuka.Oyaa sikia.. wapi mwanangu dosho12 salimia sana mwanangu Harmful oya we Harmful salimia sana mwanangu Noma, Noma.. Nomadix
Awee shem langu Ms R salimia sana mtotomzuriwa kuitwa waifu material mwambie hii hapa sauti Ya Kijana Masikini a.k.a Mui........mba SINGELI.
🤔🤔Bado hujatoboa sasa hivi mapenzi achana nayo😂😂
Sahihi mkuu, kwenye njaa kula kuku aliechinjwa na padri hewallahNjaa inasabisha vijana wengi kutokuwa focus na kitu kimoja
Oyaa sikia.. wapi mwanangu dosho12 salimia sana mwanangu Harmful oya we Harmful salimia sana mwanangu Noma, Noma.. Nomadix
Awee shem langu Ms R salimia sana mtotomzuriwa kuitwa waifu material mwambie hii hapa sauti Ya Kijana Masikini a.k.a Mui........mba SINGELI.
Sawa mkuuLabda uimbe kwa kuisafisha singeli yenyewe kwa kuwa imecjafuka.