Kijana Masikini nimeamua kuimba SINGELI sasa pengine nitatoboa

Kijana Masikini nimeamua kuimba SINGELI sasa pengine nitatoboa

Tutajitolea mimi na Muimba SINGELI tutauza figo zetu tukipata hela tunampa ndugu yetu Harmful hivyo Ms R tunaomba mvumilie ndugu yetu 😅😅
😂😂😂Msifike huko kesho tuna kikao Cha urithi nyumbani kwetu kwahiyo yajayo yanafurahisha Muimba SINGELI hela ya goma la kwanza natoa Mimi kesho wakinipa hela zangu za urithi wa babu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom