Kijana, kujenga nyumba ni uoga wa maisha

kijana umemaliza zako chuo ukapata ajira (msahara hauzid 1m) basi ukafanikiwa kupata ki-mkopo kisichozd 14m kisha unajitesa eti unaenda kununua kiwanja ili ujenge nyumba hv niulize utajenga chumba ama nyumba na 14m? Achen mawazo ya kimaskini hiyo hela iingize kwenye biznes uzichange kwanza

mawazo finyu+uvivu wa kufikiri
 
mkuu uko right,mie nimejifunza kitu hapa sijengi mpaka niwe na hela ya kutosha,kama ni mkopo then nakopa mkopo mkuubwa wa kujenga ukamaliza kabisaa nyumba....sio kwa awamu
 
wengi tu hapa ofisini kutwa kulalamika na kupiga mizinga kudai maisha magumu kisa kanunua kiwanja/anajenga

Hujaoa wewe, siku ukioa ndo utajua kwa nini watu wanajenga.

Mwenye nyumba akiishiwa anakuja kukuomba umuazime pesa, ukikataa jiandae kuondoka mkataba ukiisha, ukukubali mkataba ukiisha anakuongezea kiasi ambacho kinacover lile deni na kodi ibaki pale pale!
 
Sio pesa tu, anaweza kumuomba amuazime hata mke
 
Watu wengi hawajengi nyumba moja kwa moja, wengi wanajenga taratibu, mtu akikwambia kajenga nyumba yenye thaman ya mil 40 haimaanishi alikuwa nazo zote..ukishanyanyua kuta na kuezeka kwa mfanyakazi basi umewini, mengine hapo ni kidogo kidogo mwezi huu ukipata laki tatu, unanunua madirisha mawili, mwezi ujao tena mawil, unaofuata 150000 lori la mchanga, hivy hivyo mpaka nyumba inaisha. Na sio wote wana nafasi ya kuzungusha hela ktk biashara, ukizingatia biashara ili ifanikiwe inahitaji usimamizi wa karibu,
 
kwa mjini ukitaka kiwanja right place ni shilingi 12 milioni hapo itabaki 2 milioni sasa utachimba msingi na kamilioni kako kitaisha kumbuka kale kahela ni kamkopo hivyo kila mwezi wanakakata asilimia kumi on salary 1 milioni wanakata laki moja unabakia na laki tisa, matumizi yako kwa mwezi laki tatu, maji 2000 umeme 15000, nauli kwa mwezi 50000 hapo ni pamoja na bodaboda utabakiwa na katabaki 578000 hapo ndo utajua unajenga mpaka unastafu nyumba haina plasta
unakuja kuhamia nyumba imeshachakaa unatumia maisha yote kujenga. nasikitika vijana wamekkuwa na mawazo ya nyumba na magari na kuishia kufa maskini.
 
578000 inabaki baada ya kuondoa mambo yote hayo, hujui hyo ndio tgs D ya graduate kabla ya makato na bado watu wanajenga kibishi
 
Kijana umemaliza zako chuo ukapata ajira (msahara hauzid 1m) basi ukafanikiwa kupata ki-mkopo kisichozd 14m kisha unajitesa eti unaenda kununua kiwanja ili ujenge nyumba hv niulize utajenga chumba ama nyumba na 14m? achen mawazo ya kimaskini hiyo hela iingize kwenye biznes uzichange kwanza

Kumbe humu kuna wanaume wenye nawazi zero kiasi hiki??? Aiseee, hakuna asset ya maana kama nyumba,ukitaka kuwekeza nunua viwanja ujenge men
 
kweli kabisa kujenga ni woga wa maisha na bizness ni kujipa stress tu mpango mzima ni kuweka heshima bar ya nn kujipa tabu halafu unawaachia watu watumie tumia fwedha ikuzoee
 
Kijana umemaliza zako chuo ukapata ajira (msahara hauzid 1m) basi ukafanikiwa kupata ki-mkopo kisichozd 14m kisha unajitesa eti unaenda kununua kiwanja ili ujenge nyumba hv niulize utajenga chumba ama nyumba na 14m? achen mawazo ya kimaskini hiyo hela iingize kwenye biznes uzichange kwanza

Kweli wewe ndio zero brain kabisa.
 
578000 inabaki baada ya kuondoa mambo yote hayo, hujui hyo ndio tgs D ya graduate kabla ya makato na bado watu wanajenga kibishi

Siumewahi ona wazee kitaa wameanzisha nyumba mpya mwaka 2003 mpaka sasa ndio anaanza kuweka angalau siling board, hapa mkuu cha maana ni kukuza kipato kabla ya kujenga kwanza maana kazi na mshahara ndio uwe mtaji ni hayo tu.
 
unakuja kuhamia nyumba imeshachakaa unatumia maisha yote kujenga. nasikitika vijana wamekkuwa na mawazo ya nyumba na magari na kuishia kufa maskini.

Hata ukichunguza watu wenye kipato hata mazingira ya kwenu watakwambia alikuwa mfanya biashara, mfanyakazi mwenye nyadhifa kubwa kabisa kazini kwake au mkulima maarufu hao ndo utawakuta wanamagari mazuri na nyumba yenye hadhi ila kwa sisi tunaofikiria kujenga wakati kipato hakiendani na hatutaki kukiongeza tutaishia matamanio mpaka tunakufa@red giant
 
ajira ni kama ndoa, biashara sambamba na ajira ni sawa na mchepuko! ipo siku itabuma tu!
 
Hapa mjini hakuna Baba mwenye gari, kuna Baba mwenyenyumba, shtuka utapanga na kuhama mpaka uzeeni, jenga kabla majukumu hayajaongezeka, shauri yako ukistaafu utarudi bushi au utajenga mlandizi
 
We unamabanda ya urithi unataka kuwaingiza wenzio choo cha kike. Kila mtu akiwa mfanyabiashara nani atakuwa mteja?
 
Mtu akikopa akajenga naona ni sahihi kabisa, kwa sababu kodi anayolipa kila mwezi inaweza kuwa kubwa kuliko hata makato anayokatwa katika mkopo, kitu kingine huyu bado ana nafasi ya kukopa tena ili afanye hyo biashara unayotaka kwani atakuwa na nyumba kama collateral, so atakuwa na viwili nyumba na biashara ikiwa anataka. Cha msingi ni kila mtu ana kipaumbele chake wewe umepanga unalipa kodi 150000 kwa mwezi, mwenzio kakopa kajenga na anakatwa 150000 kwa mwezi, huoni atakuwa kakuzidi kwani yeye inamcost pesa ile ile lakini ana uhuru katika nyumba yake na mkopo ukiisha atabaki na nyumba

nimepata somo hapa.. thanks
 
kujenga nyumba kwa watanzania wengi ni jambo la kijamii zaidi na si kwa sababu ya mahitaji..ili kuleta heshima mbele ya jamii kuwa nae ana nyumba. Mi nawaangaliaga wahindi hawa jamaa anaweza hata kuwa na viwanda kadhaa hapa TZ hata nchi jirani but unaweza kukuta amepanga nyumba si kujenga mpaka leo sijaelewa kwa nn wanafanya hiv

kwel katika cku nimeumia ni leo baada ya kusoma uz huu. ndugu kwa kukusaidia asilimia kubwa ya nyumba za NHC zilikuwa za Wahindi ni nyerere aliwanyang'anya halafu akawapangisha halafu pia Mhindi ucmwone amepanga hapa ukadhan anatafuta kwanza hela ndio ajenge kwake. mara nyingi unakuta anajenga apatiment labda Nairob south Africa au hata Canada. so wewe utabak kumwona mpangaji hapa kumbe kapangisha watu nje. mi kuna mmoja namjua wanakampun yao hapa nimewakuta Guanzhou china wamejenga hizo apatment floor 40 zikiwa tatu zinafuatana. so hakuna mtu msiri hapa dunian kama mhindi na ndio maana wazee wanawatumia sana kuiba coz. ukija kwenye mada ni hv, kila mtu ananjia ya kufikia malengo alojiwekea kwenye maisha. mi coz ckwenda shule awal nilianza kwa kutafuta msing nikawa machinga kwa muda then duka halafu mtaji wa kusafir kufuata mizigo nje then ndio nikaanza kununua kiwanja na kuanza ujenz mdogo mdogo. niseme tu kuwa mimi gar ya kwanza nimenunua nikiwa tayari nina Mlioni 130 kwenye mzunguko wangu. so kwenye
maisha nachojua mimi cha kuchunga katika pesa zaid ni matumiz yako na si mapato yako. lakn pia maisha yanategemea na mtu kujitambua wakat sahh wa neema kwake. mim nakumbuka nilinunuaga maeneo kule ndege beach kule viwanja viko bahari kabisa na nilinunua milion kumi vingine 20 vingine 15 viko 4 wakat huo 2005 juz kuna jamaa ananisumbua milion 120 so unaweza pia kuona faida ya kuwekeza ukiwa na hela kidogo. na ujenz wa nyumba ndugu haufanyik cku moja unaanza kidogo kidogo.
 
Yaani umegonga penyewe kabisa, inategemea mtu na malengo yako na wakati uliopanga. Lakini usiseme tu eti nyumba sio biashara nzuri sana na value inakuwa daima haishuki, pili ni biashara ambayo hata mfanyabiashara au mfanyakazi asiyekuwa na muda aweza kuwekeza na mwisho wa miaka akavuna faida kubwa na kwa muda mrefu. Ukinunua kiwanja na kukiacha tu tayari ni biashara, kujenga sio lazima umalize leo, kila ukipata unanunua tofali, nondo, kisha cement unamwita fundi anajenga hatua fulani unapumzika, waweza tumie pagale au site yako kufugia, kama gereji, yard hata kulimia bustani hadi ujenge na kuhamia. Kama hutaki kukaa eneo hilo hukosi mpangaji ukiwa mbunifu waweza ifanya mgahawa, gesti, hosteli au shule ya awali. Fremu za biashara. Mkuu hata biashara mfanyazo kwenye maeneo ya watu sio za kudumu. Watu wengi wanafikiri kuwa na maduka, magari, hoteli au biashara nyingine zinazoingiza kipato haraka ni faida lakini iwapo eneo sio lako mwisho wa siku utaadhirika tu, mtizame yule Dr wa moyo marehemu alivyoharibiwa biashara yake ilipokuwa juu kwa kunyanganywa nyumba na serikali. Na kuna wengi tu biashara ikichanganya mwenye eneo ananyanganya anaweka yake au kodi juu.
Kifupi wastaafu wengi wanaoathirika vibaya ni wale wanaohitaji kutumia pension yao kujengea nyumba ya kuishi wakati ilikusudiwa iwe ni ya kujikimu. Mwisho wa siku anauza hiyo nyumba na kurudi kijijini ambako hakuwahi kuwekeza wala kuishi toka alipoanza kazi.
Mimi nafikiri ukiwa kijana waweza fanya biashara zote nguvu unazo, lakini uzeeni ni kusaini cheque na mkataba na mpangaji basi:)

Back
Top Bottom