LIGEDENGE 1
Senior Member
- Nov 15, 2013
- 184
- 29
kijana umemaliza zako chuo ukapata ajira (msahara hauzid 1m) basi ukafanikiwa kupata ki-mkopo kisichozd 14m kisha unajitesa eti unaenda kununua kiwanja ili ujenge nyumba hv niulize utajenga chumba ama nyumba na 14m? Achen mawazo ya kimaskini hiyo hela iingize kwenye biznes uzichange kwanza
mawazo finyu+uvivu wa kufikiri