Kijana kati ya miaka 18-35 anaesapoti CCM akapimwe akili

Basi vijana wakichagga na kipare ndio wenye akili timamu nchi hii

Una bahati niilitaka kukwambia unatumia masaburi nikaahirisha. Tukisema nyie ndio mnaoeneza ukabila na udini usiokuwepo mnakanusha...I am about to tell you unatumia makalio kufikiri...nimeahirisha walau kwa sasa.

Hii imekaa vyema japokuwa hujatoa sourse ya utafiti wako.
Kwa utafiti nilioufanya kwenye mitandao ya kijamii Twitter,Facebook na Jamii forum ni kweli kwamba vijana wengi wameichoka CCM .Hoja inapoletwa kuhusu CCM ni dhahiri utaona michango inayotolewa zaidi ya asilimia 70 watakuwa against CCM.Pia umahiri na uwezo wa kujibu hoja kwa vijana wanaoipinga CCM imesababisha wachache wanaoisupport CCM kufungua acc zaidi ya moja ili kuchangia kwa majina tofauti ,hii ni kuhadaa watu kuwa wapo vijana wengi wanaoisupport CCM.Tena hao vijana wachache wanaoisupport CCM ukifuatilia ni kwamba wana maslahi binafsi ya moja kwa moja ama kupitia wazazi /ndugu na jamaa.
Uchunguzi wa vijana wa CCM kuwa na acc zaidi ya moja nimeufanya fb kwani kwenye facebook ni rahisi kugundua fake acc kwa uzoefu nilionao.
Suala la vijana kuchoshwa na uongozi wa CCM ni kutokana na ukiziwi na ulemavu wa akili wa baadhi ya viongozi wa ngazi za juu ,ambao kimsingi wanakataa kukubali ukweli kuwa mawazo yao sio sahihi kwa karne hii.Wengi wameonyesha uchu na uroho wa madaraka hadi kufikia kuanza kuaandaa watoto wao /ndugu na jamaa ambapo si sahihi.
Pia umaarufu wa CCM kwa rika hili la vijana unashuka kwa mwendo wa Concord Super Sonic Jet kutokana na Serikali ya CCM kutojua ama kutokuwa na mbinu mbadala/sahihi katika kutatua matatizo ya vijana ikiwemo ajira,mikopo kwa wajasiriamali wadogo/wanafunzi wa vyuo na mengine mengi.

Wewe huna akili kabisa heri ambaye hana ubongi anatumia makalio kufikiri usidanganye watu kuwa hakuna kilichofanywa hAta vipofu wameiona kilichofanywa we choko kweli!!

Naona unanitafutia ban....ila ngoja nkuache tu...... choko utamzaa wewe

Una bahati niilitaka kukwambia unatumia masaburi nikaahirisha. Tukisema nyie ndio mnaoeneza ukabila na udini usiokuwepo mnakanusha...I am about to tell you unatumia makalio kufikiri...nimeahirisha walau kwa sasa.

we nitafutie ban tu hapa jf unashndwa kujibu hoja unatukana unakuwa kama sio mwanamke vile?! Na bado nchi hii hamji kupata labda mkajenge yakwenu uchaggan huko,ubunge na uwaziri vivuli ndo mwisho wenu! Unakuwa kama hawakurekebishi huko wewe nawe he!

Watoto wa CDM JF wanani-bore sana! Hivi kwa nini muna dhani watu watakuwa akili zinazofanana? Unadhani kushabikia mazee yasiyotaka kuoa ni akili? Kama kwako YESU ni mungu kwa wenzio ni BINADAMU tuu! Na hizi zote ni imani tuu, hakuna mwenye akili kuliko mwingine! Fanyeni kazi vijana, ujinga utawapelekeni kubaya!

Hii imekaa vyema japokuwa hujatoa sourse ya utafiti wako.
Kwa utafiti nilioufanya kwenye mitandao ya kijamii Twitter,Facebook na Jamii forum ni kweli kwamba vijana wengi wameichoka CCM .Hoja inapoletwa kuhusu CCM ni dhahiri utaona michango inayotolewa zaidi ya asilimia 70 watakuwa against CCM.Pia umahiri na uwezo wa kujibu hoja kwa vijana wanaoipinga CCM imesababisha wachache wanaoisupport CCM kufungua acc zaidi ya moja ili kuchangia kwa majina tofauti ,hii ni kuhadaa watu kuwa wapo vijana wengi wanaoisupport CCM.Tena hao vijana wachache wanaoisupport CCM ukifuatilia ni kwamba wana maslahi binafsi ya moja kwa moja ama kupitia wazazi /ndugu na jamaa.
Uchunguzi wa vijana wa CCM kuwa na acc zaidi ya moja nimeufanya fb kwani kwenye facebook ni rahisi kugundua fake acc kwa uzoefu nilionao.
Suala la vijana kuchoshwa na uongozi wa CCM ni kutokana na ukiziwi na ulemavu wa akili wa baadhi ya viongozi wa ngazi za juu ,ambao kimsingi wanakataa kukubali ukweli kuwa mawazo yao sio sahihi kwa karne hii.Wengi wameonyesha uchu na uroho wa madaraka hadi kufikia kuanza kuaandaa watoto wao /ndugu na jamaa ambapo si sahihi.
Pia umaarufu wa CCM kwa rika hili la vijana unashuka kwa mwendo wa Concord Super Sonic Jet kutokana na Serikali ya CCM kutojua ama kutokuwa na mbinu mbadala/sahihi katika kutatua matatizo ya vijana ikiwemo ajira,mikopo kwa wajasiriamali wadogo/wanafunzi wa vyuo na mengine mengi.

Unachosema inaweza kuwa sahihi kabisa! Hata hivyo, wakati ww ulikuwa unafanya utafiti kupitia mitandao ya kijamii, mimi nilipata bahati ya kufanya kazi kwa pamoja na vijana wengi sana ambao majority ni fresh graduates wa UDSM na wachache kutoka Mzumbe, IFM na Form VI Leavers! Tulikuwa vijana wengi sana pale; not less than 50! Natamani nipate nafasi nyingine ya ku-interact na vijana wengi kiasi kile ambao karibu wote ni wasomi. Ni kweli, over 90% ya vijana wale walikuwa wanai-support CDM na kuiponda vibaya sana CCM. Kimsingi, mimi c shabiki wa CDM wala CCM lakini kv mara nyingi maoni yangu yalikuwa yakikinzana na ya wana-CDM wale basi nilionekana ni CCM! Na kwaba bahati mbaya, karibu kila siku tulikuwa tukiingia kwenye ubishi; it was one of the very interesting moment in my life. Lakini frankly speaking, ingawaje hawa jamaa walikuwa wengi na mimi peke yangu; mara nyingi kama sio zote nilikuwa nawashinda kwa hoja! Nimegundua wengi wanaoipinga CCM na serikali yake ni wafuata upepo au fasheni; kv ni vijana basi ni lazima wai-support CDM ingawaje wengi wao wala hawana hoja! Na pale ambapo mara kwa mara nilipokuwa nawabana kwa hoja; wakafikia kuniita eti mimi ni mtu wa usalama kv mengi niliyokuwa nawaambia walikuwa hawayajui!!!!! Na mara nyingi waliishia kutoa hoja dhaifu zisizo na mashiko kama vile moja ya complain zao hususani graduates wa UDSM kwamba eti JK tangu aingie madarakani hajawahi kwenda pale UDSM na nilipowauliza wanataka akafanye nini kama rais waliishia kusema mbona UDOM anaenda!!!!!! Kwahiyo naungana na wewe kwamba vijana wengi wanaiponda CCM na kuiunga mkono CDM lakini wengi wao hata kama ni wasomi bado ni wale wenye uwezo mdogo wa kuchambua mambo na kuishia kufanya mambo kama watu wasio wasomi!!! Sioni taabu kwa kijana yeyote kui-support CCM au CDM lakini najisikia kinyaa sana nikiona supporter huyo ni msomi lakini hajui what's exactly happening na kuishia kuwa shabiki!!!!!

Wewe huna akili kabisa heri ambaye hana ubongi anatumia makalio kufikiri usidanganye watu kuwa hakuna kilichofanywa hAta vipofu wameiona kilichofanywa we choko kweli!!

Mkuu, usifuate lugha zao kv tayari humu ndani wenye akili zao wameshabaini kuwa hawa ni watuwa namna gani hivyo mtu anaposoma tu post zao tayari anakuwa ameshajua kwamba ni wale wale ambao wajuacho ni matusi na lugha zisizo na kiungwana.

Kwa mtizamo wangu katika kipindi hiki cha miaka 50 ya uhuru Kama yupo kijana mwenye umri huo tajwa hapo juu ambae bado anaishabikia CCM inabidi akimbizwe milembe kwani kwani akili yake itakuwa ina ufa na hvo anahitaji uchunguzi wa kina. Katika nyanja zote kiuchumi, kisiasa,kijamii n.k. bado tuna safari ndefu ya kutembea........ukweli CCM haijaitendea haki nchi yangu Tanzania hivyo sioni sababu ya kijana ambaye bado uwezo wake wa kufikiri bado uko juu ashabikie upumbavu.

nadhani inabidi urudi shule na ukijifunze nini maana ya DEMOKRASIA....

Nadhani kuna kitu tunakikosea hapa. CCM ilishapoteza mwelekeo na kupendwa na watanzania mara tu mwenyewe(Mchonga) alipoondoka. Baada ya jamaa kuondoka chama kikatekwa na mafisadi na kupigwa 'nyuma geuka' kuelekea kusikojulikana.

Tangia hapo watu wote ambao hawakubahatika kuwa kwenye njia ile ambayo ccm mpya ilipokuwa inapita waliachana nayo.

Na ndiyo maana huwezi kuamini kwa nini CCM iliyokuwa na wananchama karibia watanzania wote(zaidi ya 35m), lakini uchaguzi wa mwaka 2010 ilikuwa na wananchama 5m tu tena pengine ni uongo.

Kimsingi 95Perc ya watanzania si wananchama wa chama chochote cha siasa maana walishadharau . Kinachotokea sasa hivi ni upenzi wa chama fulani tu ambacho lazima kiwe na uwezo wa kuwavutia watu hawa.

CCM haina mvuto hata mdogo kwa sasa zaidi ya kuwavutia watu kwa kutumia pesa za umma maana pesa haishindwi.

CCM imebakiwa na kete moja tu ya wananchi wa vijijini bado hawajui kuwa wanaweza kula hela za ccm wakati wa uchaguzi na bado wakachagua wagombea wa vyama vingine pasipo ccm kujua. Wananchi wanamini wanaweza kufatiliwa baada ya uchaguzi kwa kutoichagua ccm na huku wamekula hela zao.

Kifo chao kinakuja maana vijana hawaogopi kula hele zao na bado wakawapiga chini na hii ndo hatari iliyo mbele ya ccm. Hakuna kitu kibaya kama kutumia hela yako kwenye uchaguzi halafu ukashindwa matokeo yake huwa ni mabaya siku zote.

Nahisi unachanganya mambo kati ya Watanzania, wapiga kura na wanachama!!!
NI MTAZAMO TU!

Topic zingine bana, sasa wewe kama una njaa zako basi lazima uilaumu CCM? wenzako wanajiendeleza kimaisha wewe umekaa ukingoja serekali ikusaidie, kuna watanzania wengi wasio jali siasa na wanasonga mbele, we utabaki na uchadema wako wakati wenzako wana tengeneza hela.

Si vijana peke yao. Mwaka jana baada ya uchaguzi Moshi njiani kurudi Dar-es-Salaam tulisimama Korogwe kuongeza mafuta. Gari ya mbele ilikuwa ya Freeman Mbowe na mimi nilikuwa gari inayofuatia.

Ukaja umati pale kutupa sapoti na alikuwepo mzee mmoja mwenye umri nakisia kuwa miaka 75 kuendelea mbele akitembea kwa taabu.

Akaelekea gari ya Freeman na mimi nikashuka kusikia anachotaka kumwambia mwenyekiti wa Chadema. Mzee huyo alisema "ninyi ndio wakombozi wetu." That is all the message he wanted to share with Freeman.

Nikamwangalia yule mzee sikummaliza. Nikasema huyu mzee amekuwepo enzi za TANU. Alikuwa kijana na amekomaa enzi za CCM. Leo anatambua kuwa CCM si mkombozi wake tena.

I carry that picture in my head all the time. Kwa hiyo si vijana peke yao. Kwa wote wale wanaoitakia mema Tanzania CCM si mkombozi wao.

kATIKA wote walio-support thread husika ni wewe peke yako ambae nimekuelewa!!! Ili mradi umesema ulikuwa njiani ukitokea MOSHI baada ya uchaguzi mkuu, basi sina shaka kwamba una kila sababu ya ku-support! Na kv ulikuwa kwenye msafara na Mbowe, basi hata ukimwaga matusi (nashukuru hukufanya hivyo) lukuki hapa na kuona wanaoi-support CCM ni wendawazimu; kwangu nitaona una kila sababu ya kufanya hivyo kv nawe ni mnufaika wa mtandao wa CDM!!! Ila ninapowaona watu wanatukana wengine kwa kui-support CCM wakati wenyewe si ajabu hata ofisi ya CDM ilipo hawapajui; basi hapo ndipo ninapoona ufinyu tulionao!!! sina shaka wewe ni miongoni mwa watu waandamizi wa CDM, hata hivyo umeongea lugha ya kiungwana. Sasa kwanini musiwaelimisha hawa makanjanja wenu humu JF wanaozani siasa ni matusi?! Sio siri, ingawaje wenyewe mnazani mna support kubwa ya vijana lakini ukweli ni kwamba ni support ya vijana ambao hata kama ni wasomi lakini ni wasomi wasio na busara na uwezo mdogo wa uchambuzi wa mambo!!! Wenyewe wanajiita eti wasomi; nitawazaje kumtofautisha msomi na kijana mvuta bhangi wa manzese au tandika ikiwa lugha zao zinafanana?! Wanawake ndio wapiga kura wakubwa nchii hii kuliko vijana; je mnazani staili yenu ya siasa ina uwezo wa kuwavuta wanawake wangapi na kuwa-push away wangapi hasa ukizingatia kwamba wengi wao si wafuasi wa siasa za vurugu na matusi?! Hivi mtu anafikia kusema kwamba wanaoi-support CCM wote hawana akili; hivi mtu kama huyo ana uhakika kwamba ndugu zake wote hawai-support CCM?! au nao hawana akili wanaostahili kupelekwa Mirembe?!!! Nakumbuka 2010 nilitoa up-date za matokeo ya uchaguzi wa ubunge TMK; makanjanja wenu wasiojuwa A wala Be wakaishia kuwatukana wana-TMK walioichagua CCM kwamba hawana akili na hawakusoma!!!! Ajabu, hata baada ya matokeo yote kutolewa; tukaja kuona hata huko Kilimanjaro na Arusha kunakoaminika ndiko iliko kambi ya CDM bado wengi wao waliichagua CCM ambao bila shaka kutokana na makanjanja wenu wasiojua siasa za kiungwana nao hawana akili ingawaje mtakimbilia kusema kwamba mliibiwa kura!!!!!

Watoto wa CDM JF wanani-bore sana! Hivi kwa nini muna dhani watu watakuwa akili zinazofanana? Unadhani kushabikia mazee yasiyotaka kuoa ni akili? Kama kwako YESU ni mungu kwa wenzio ni BINADAMU tuu! Na hizi zote ni imani tuu, hakuna mwenye akili kuliko mwingine! Fanyeni kazi vijana, ujinga utawapelekeni kubaya!

sikuwahi kudhani kama jf kuna watu wenye akili fupi kama wewe!
HESHIMU IMANI YA MTU KAMA WEWE UNAVYOTAKA YAKO IHESHIMIWE.

Kwa mtizamo wangu katika kipindi hiki cha miaka 50 ya uhuru Kama yupo kijana mwenye umri huo tajwa hapo juu ambae bado anaishabikia CCM inabidi akimbizwe milembe kwani kwani akili yake itakuwa ina ufa na hvo anahitaji uchunguzi wa kina. Katika nyanja zote kiuchumi, kisiasa,kijamii n.k. bado tuna safari ndefu ya kutembea........ukweli CCM haijaitendea haki nchi yangu Tanzania hivyo sioni sababu ya kijana ambaye bado uwezo wake wa kufikiri bado uko juu ashabikie upumbavu.

Utafiti wangu usio rasmi nilioufanya hapa JF na maeneo nayoishi kimsingi kuna hasara kubwa sana unapokuwa mwanachama au mshabiki wa CCM...mambo yafuatayo mara nyingi uwa yanatokea na hasa kwa vijana..
1. Unafiki...good example Nape Nnauye,January Makamba nk
2. Unakuwa mtu wa kuwalamba miguu mafias example RA na EL tazameni michango ya Mwita25 hapa JF.
3. Uwezo mdogo sana wa kujenga hoja na kutetea hoja...tazama hata wabunge wa CCM na Mawaziri wao
4. Utoto utoto mwingi na kutetea hata mambo usiyoyajua,kuongea bila kuwa na detailed information
5. Kujifanya ni marafiki wa watoto wa vigogo wa CCM mfano Mwita25 anajipendekeza sana kwa Nape,Ridhiwani,January na walimsaidia sana wakati anasoma degree yake ya uvuvi wa samaki pale UDSM...
6. Kutokuwa na huruma na umaskini wa Tanzania...kauli zao ni tata....
Haya ni baadhi ya mambo yanayowatokea vijana wanaopenda CCM....

Watoto wa CDM JF wanani-bore sana! Hivi kwa nini muna dhani watu watakuwa akili zinazofanana? Unadhani kushabikia mazee yasiyotaka kuoa ni akili? Kama kwako YESU ni mungu kwa wenzio ni BINADAMU tuu! Na hizi zote ni imani tuu, hakuna mwenye akili kuliko mwingine! Fanyeni kazi vijana, ujinga utawapelekeni kubaya!

Una matatizo mkuu...pole sana,tuwasiliane kwa ushauri nasaha,nimesoma masuala ya saikolojia..I will help you as my fellow Tanzanian,free of charge....

Utafiti wangu usio rasmi nilioufanya hapa JF na maeneo nayoishi kimsingi kuna hasara kubwa sana unapokuwa mwanachama au mshabiki wa CCM...mambo yafuatayo mara nyingi uwa yanatokea na hasa kwa vijana..

Unafiki...good example Nape Nnauye,January Makamba nk

Unakuwa mtu wa kuwalamba miguu mafias example RA na EL tazameni michango ya Mwita25 hapa JF.

Uwezo mdogo sana wa kujenga hoja na kutetea hoja...tazama hata wabunge wa CCM na Mawaziri wao

Utoto utoto mwingi na kutetea hata mambo usiyoyajua,kuongea bila kuwa na detailed information

Kujifanya ni marafiki wa watoto wa vigogo wa CCM mfano Mwita25 anajipendekeza sana kwa Nape,Ridhiwani,January na walimsaidia sana wakati anasoma degree yake ya uvuvi wa samaki pale UDSM...

Kutokuwa na huruma na umaskini wa Tanzania...kauli zao ni tata....

Haya ni baadhi ya mambo yanayowatokea vijana wanaopenda CCM....

Mkuu una uhakika unachokinena? Kama huna uhakika kwanini unajisifu hivyo. Hivi ni chama gani ambacho kipo madarakani kwa sasa?

Watoto wa CDM JF wanani-bore sana! Hivi kwa nini muna dhani watu watakuwa akili zinazofanana? Unadhani kushabikia mazee yasiyotaka kuoa ni akili? Kama kwako YESU ni mungu kwa wenzio ni BINADAMU tuu! Na hizi zote ni imani tuu, hakuna mwenye akili kuliko mwingine! Fanyeni kazi vijana, ujinga utawapelekeni kubaya!
kuwa na heshima kuhusu ishu za Yesu. Sio unaingiza mambo ya imani hapa. Boya wewe, umenikera sana.. Tena sanaaaa. Ujinga umekujaa kichwani, unataka kuleta udini na siasa. Kwenda zako! (umenikera sana, tena sana, bahati yako mimi huwa nipo peace) peace!

kATIKA wote walio-support thread husika ni wewe peke yako ambae nimekuelewa!!! Ili mradi umesema ulikuwa njiani ukitokea MOSHI baada ya uchaguzi mkuu, basi sina shaka kwamba una kila sababu ya ku-support! Na kv ulikuwa kwenye msafara na Mbowe, basi hata ukimwaga matusi (nashukuru hukufanya hivyo) lukuki hapa na kuona wanaoi-support CCM ni wendawazimu; kwangu nitaona una kila sababu ya kufanya hivyo kv nawe ni mnufaika wa mtandao wa CDM!!! Ila ninapowaona watu wanatukana wengine kwa kui-support CCM wakati wenyewe si ajabu hata ofisi ya CDM ilipo hawapajui; basi hapo ndipo ninapoona ufinyu tulionao!!! sina shaka wewe ni miongoni mwa watu waandamizi wa CDM, hata hivyo umeongea lugha ya kiungwana. Sasa kwanini musiwaelimisha hawa makanjanja wenu humu JF wanaozani siasa ni matusi?! Sio siri, ingawaje wenyewe mnazani mna support kubwa ya vijana lakini ukweli ni kwamba ni support ya vijana ambao hata kama ni wasomi lakini ni wasomi wasio na busara na uwezo mdogo wa uchambuzi wa mambo!!! Wenyewe wanajiita eti wasomi; nitawazaje kumtofautisha msomi na kijana mvuta bhangi wa manzese au tandika ikiwa lugha zao zinafanana?! Wanawake ndio wapiga kura wakubwa nchii hii kuliko vijana; je mnazani staili yenu ya siasa ina uwezo wa kuwavuta wanawake wangapi na kuwa-push away wangapi hasa ukizingatia kwamba wengi wao si wafuasi wa siasa za vurugu na matusi?! Hivi mtu anafikia kusema kwamba wanaoi-support CCM wote hawana akili; hivi mtu kama huyo ana uhakika kwamba ndugu zake wote hawai-support CCM?! au nao hawana akili wanaostahili kupelekwa Mirembe?!!! Nakumbuka 2010 nilitoa up-date za matokeo ya uchaguzi wa ubunge TMK; makanjanja wenu wasiojuwa A wala Be wakaishia kuwatukana wana-TMK walioichagua CCM kwamba hawana akili na hawakusoma!!!! Ajabu, hata baada ya matokeo yote kutolewa; tukaja kuona hata huko Kilimanjaro na Arusha kunakoaminika ndiko iliko kambi ya CDM bado wengi wao waliichagua CCM ambao bila shaka kutokana na makanjanja wenu wasiojua siasa za kiungwana nao hawana akili ingawaje mtakimbilia kusema kwamba mliibiwa kura!!!!!
Tatizo si hoja bali ni upofu wa kisiasa ambao unafunga milango mingine ya fahamu ili kutuwezesha kuchambua mambo na kuchagua njia mbadala ya kutusogeza mbele miaka mingine 50. Uongozi wa kisiasa siyo dini ambapo unaimba maneno yale yale na namna ile milele yote. Na kwamba kule tunabadilisha watu siyo maudhui. Siasa ni chanagamoto, siasa ni uchumi, siasa na maendeleo, siasa ni uongozi, siasa ni watu na siasa ni mabadiliko siasa is everything except religion. Inatia shaka kuwa na chama kile kile watu wale wale kwa miaka 50 hasa pale panapokuwa kuna mambo ya hovyo hovyo. Sasa watanzania hasa vijana ambao ndio waliowengi wahisi jitihada zilizotutoa katika ukoloni haziwezi tena kutusogeza mbele kwa sababu wengi wa viongozi hawa wako usingizini na wamejifunika blanketi la historia ya ukombozi ambalo sasa miongoni mwetu limebaki historia na juhudi hizi zitaendelea kuenziwa lakini siyo silaha ya kutosha kuomba kuendelea kuwapo madarakani. CCM has to go if not today then tomorrow if not tomorrow then the day after tomorrow, this is our expectation na nafikiri kuanguka kwa CCM itakuwa mwisho wa historia yake kwa sababu hatujajenga misingi ya party continuity katika uelevu wa kisiasa bali katika misingi ya nguvu za dola. There is one unifying factor in CCM today and that is "being in power" watu wameacha kufikiri na wanadhani wakubwa watafikiri kwa niaba yao ndiyo maana hata mkakati wa kujivua gamba unafeli kwa sababu hoja hii ci ya wanaCCM ni ya kionghozi wao, haikujadiliwa walka kupewa nafasi ya kuwekewa mkakati na plan B, OR Plan C in case of anything. Kwa hiyo tunacho ona sasa ni mara baada ya plan Kushindwa wamekwama.

Naunga mkono. Nilishawahi kusema hapa kuwa hakuna kijana mwenye akili timamu anayeipende CCM kwa dhati bila kufuata hama maslahi ya pesa au baba, mjomba na ndugu wengine ni viongozi ndani ya Serikali na CCM.
Inaumiza sana kuona vijana ambao wako nje ya nchi hasa Europe & USA eti wana anzisha matawi ya CCM! Hivi kweli hawa watu wana uchungu na nchi yao au ndugu zao waliowaacha nyumbani? Hawa watu wanaishi katika nchi ambazo zimeendelea, wanaona jinsi serikali zinavyoendeshwa, wanaona jinsi watu wanavyowajibisha wakifanya utumbo, wanajua jinsi nchi yetu Tanzania inavyoendeshwa na bado wanaona inafaa na wanaanzisha hata matawi kuendelea kushabikia CCM. Hawa ndo maadui wakubwa wa nchi yetu. Naweza kumsamehe kijana aliye kijijini ambaye hajui nchi ikiwa imeendelea inafananaje lakini siyo watu ambao wameshapata kuona maendeleo yanafananaje na bado hawaoni kuwa Tanzania kuna janga la taifa ambalo ni CCM.

Back
Top Bottom