Tetesi: Kijana aua askari wa JW/kunduchi

Tetesi: Kijana aua askari wa JW/kunduchi

Magufuli alifanikiwa kuwamaliza Panya road daresalam wale panyariad walikuwa hatari waliwahi nijeruhi kwa kunikata panga kichwani asisee mpaka leo nina alama

Magufuli alifanikiwa kukomesha yale magaidi ya KIBITI ilikuwa hatari kuke kibiti..
Musukuma hacheki na kima
 
Ndo shida ya kuajiri watu kwa connection na mishahara

Uyo ni mwanajeshi au ndo wale wanaofata mishahara mizuri kisa mjomba au baba ni mwanajeshi

Angekufa raia ningeumia na ninge sapoti posti yako ila kwakua ni mwanajeshi bas nasema iv malipo ni hapa hapa dunian
 
Kijana asilaumiwe.Yametokea mengi sasa matokeo yake ndo haya tunaanza kuyaona.Kizazi hiki si kile.Raia na jeshi si marafiki tena.
 
Yaani upigwe panga la kichwa halafu leo una comment hapa au ulivaa helment nini jamaa yetu
Inategemea na aina ya upigwaji mbona hayo matukio yapo na wengi walinusurika sehemu mbaya zaidi huwa shingoni.
 
Hiyo mitaa waende likizo

.mazishi.yakiiisha naamini wajeda watakua wanakatiza mitaa hiyo.na mafuta yao ya mawese kumpaka mgongoni mtuhumiwa
 
Back
Top Bottom