Scientist ZAK
Member
- Apr 11, 2026
- 22
- 29
Hata wao waliua watanganyika mo29.huyu aende akamalizie kazi dpdoma
Acheni kumpa promo Jiwe .Magufuli alifanikiwa kuwamaliza Panya road daresalam wale panyariad walikuwa hatari waliwahi nijeruhi kwa kunikata panga kichwani asisee mpaka leo nina alama
Magufuli alifanikiwa kukomesha yale magaidi ya KIBITI ilikuwa hatari kuke kibiti..
Yaani upigwe panga la kichwa halafu leo una comment hapa au ulivaa helment nini jamaa yetuMagufuli alifanikiwa kuwamaliza Panya road daresalam wale panyariad walikuwa hatari waliwahi nijeruhi kwa kunikata panga kichwani asisee mpaka leo nina alama
Magufuli alifanikiwa kukomesha yale magaidi ya KIBITI ilikuwa hatari kuke kibiti..
labda ndio maana huwa nasahau sahau,inawezekana ni kwa sababu ya lile panga nililikatwa kichwani na wale panya road...aisee kama sio Malaika wa Mungu kuniokoa ..nisingekuwa hai leo..nilipoteza fahmuYaani upigwe panga la kichwa halafu leo una comment hapa au ulivaa helment nini jamaa yetu
Kwa nini jamaa amdhulum hela yake ya bange..Wakuu HABARI!
Hii tabia ya police au mahakama kuwaachia hawa wahalifu ambao hadi kweny jamii wanafahamika ni mbaya sana, kisa tu ushaidi au mashaidi hawajitokezi wakati wa kesi,unakuta kibaka mzoefu anakamatwa baada ya siku mbili tatu katoka jela au police,
Sasa kunduchi kule kuna kijana anaitwa Chanongo ,alishawai kushiriki kwenye matukio ya panya road,alishawai kumpola simu mke wa mwanajeshi akamjeruhi vidole vyote,akakimbia baadae akarudi na maisha yakawa yanaendelea,na akafungua kijiwe cha kuuza Bange kwenye uwanja wa mpila kule kunduchi, police wa kunduchi wanamfahamu,lakini sio wadilinae hata kumuua,Jana kamtia kisu cha shingo askari wetu wa JW ,leo yule Askari amefariki dunia....
Watu kama Huwa ndio inatakiwa wauliwe hawafai kwenye jamii yetu,tunamlea Hadi leo anaenda kuwaua wenyewe sasa, kijana mwenyewe ana miaka 22 tu! police wanafeli wapi sikuiz kucheka na hawa vibaka.....
nani kadhulumu hela ya bange?Kwa nini jamaa amdhulum hela yake ya bange..
Sio kila kitu ni siasaJWTZ- Jeshi la Watawala TZ
Hilo jeshi liliacha kuwalinda raia tarehe 29 October na kuwalinda watawala huku likiacha raia wakiuawa kama kuku wenye kideri. Wacha tu na wenyewe wauawe, tuone kama hao watawala watawaimarishia usalama wao
Siasa ni maisha yetu ya kila siku.Sio kila kitu ni siasa
Sijaelewa mkuu unasema tabata mlilawitiwa🤔Tabata Liwiti tulilazwa saa moja jioni, mtaa wote kimyaa mpaka kesho, chezea woga wa wanaume wa Dar
ASilimia kubwa polisi na wanajeshi wamejaa failure, reasoning capacity yao ipo chini mno wao wanajua kutumia mabavu wanajiona wapo juu ya sheria.Wadogo wanajichukulia sheria mkononi ila askari hawana mbinu za kupigana ila wanapenda kutumia nguo kuonyesha ubabe nilipokua chalii nilikutana na kisanga kimoja mbalizi nilienda hotel moja nikapaki gari nikawa nakula ndani mara akaja mdada mmoja nikiwa nakula akaniomba nitoe ile gari pale ni parking ya mwanajeshi nikawaambia namaliza kula naondoka apaki sehemu ingine nikitoka ntatoa gari..
Akaenda kuwajibu hivyo jamaa mmoja MP na mwingine anaonekana alikua ofisa wa jeshi walikua wawili eti yule Mp anamwambia tumpeleke kikosini huyu anakataa amri ya jeshi..
Niliwajibu hakuna wa kunitoa hapa na nikila pia sitoki na sitoi gari nilikua na mbavu na mazoezi ya kwenye Meli wakaona kidali wakaondoka wao sasa mwingine ukimletea huo ujinga anakuua na nguo zako za jeshi kwa mambo ya kijinga tu..
Walivyo wajinga wanaweza kugombea mwanamke na wanafikia level ya kuuana jamaa wapuuzi sana..ASilimia kubwa polisi na wanajeshi wamejaa failure, reasoning capacity yao ipo chini mno wao wanajua kutumia mabavu wanajiona wapo juu ya sheria.
Sasa wakae waelewe watu mtaani raia wamechoka,huo upuuzi wao wapeleke kwa familia zao.
Hawa jamaa wana ushamba mwingi sana