Kijana aliyemuua askari, naye auawa

Kijana aliyemuua askari, naye auawa

yule polisi nahis namfaham
jamni alisoma longido miaka ya 2009
nimeona picha yake like w hrs ago asieeeee
 
Du ya kichwa hii. Kwa nini wasinge mpiga mkono au mguu ili afikishwe kwenye vyombo vya sheria?.


ili iweje,mwisho wa siku akale msosi wa bure kwa kodi yetu,alichofanya kwa huyo askari ni zaidi ya unyama
 
Ukitaka kujua kuwa Polisi ni washenzi siku wakukamate na kosa dogo halafu wakupeleke kituoni kwao
 
Mleta mada ni jinga jinga, analeta habari isiyojitosheleza,bila kusema kauawa wapi,na nani? ilikuwa saa ngapi? na ktk mazingira gani? nyambaf zako sana mleta mada.

Mtoa taarifa ni OG mbululaz
 
Kijana Tissi aliyemuua askari Joseph Isack, nae auawa jana!

Nilichokiona; Wananchi wamefurahishwa sana na kifo cha huyu askari. Jiulize amekufa katika mazingira gani; ya kuokoa au kuangamiza? Na asingefika tungesemaje?

Watanzania tuamke, tusipandikizwe chuki na siasa. Askari tupo nao na tunakaa nao kitaa!

Kaka kajipange
 
Ukitaka kujua kuwa Polisi ni washenzi siku wakukamate na kosa dogo halafu wakupeleke kituoni kwao

Umeambiwa polisi alikuwa anaokoa maisha ya mtoto aliyekuwa anachinjwa, we umekomaa tu kuwa ni wabaya! Nyie mnaweza kuwa mnajihusisha na mauaji ya wanausalama watu kama nyinyi.
 
​hebu weka sawa hii habari kuna aliyeuawa Dodoma mwingine Mbeya so which is which
 
Mada kama hizi ukizisoma wakati umeshiba utagundua baada ya kumaliza tu kusoma njaa kali inakupata.
 
[/COLOR]

ili iweje,mwisho wa siku akale msosi wa bure kwa kodi yetu,alichofanya kwa huyo askari ni zaidi ya unyama

Hivi Mkuu ile kauli ya pinda inasemaje vileee. Au hujui kama piga nikupige imeruhusiwa na PM
 
Mtoa mada akili yako haiko sawa
Muuaji unamuita kijana?
Ananyanyasa mtoto wa miezi 8 kweli bado unamuona shujaa?
Kajipime milembe.
Bora raia walivyo muua kwani licha ya kumuua askari pia hafai kuishi na jamii.
 
Back
Top Bottom